Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
MnooooooNikiangalia paniki ya USA na NATO halafu nikicheki utulivu wa Urusi kwenye maamuzi.....aisee naona wazi kabisa Urusi ni akili kubwa mno...
Naskia tai wameanza kutafuna mizoga ya Wanamgambo wa UkraineJiji la liman limekuwa kaburi la wanajesh wa ukraine kila wanapojaribu kuingia wanapewa kichapo kikali maiti za wanajesh wa ukraine zimetapaka kila sehemu
Ndio Hawa hawaHivi Hawa si ndio majuzi hapo wameambiwa wajifunze namna ya kunya Kwny mifuko?
View attachment 2371756
Mobilised citizens depart from Sverdlovsk region to training units
[emoji829]️ The departure ceremony was held at the parade ground of a military base of the Central Military District.
[emoji407] Servicemen are to be distributed to units considering their professional title for attending interoperability training, replenishing their knowledge and restoring all the necessary skills.
#StrongerTogether
@mod_russia_en
Ni kweli warusi hawakurupuki katika maamuzi Yao.., maana walipiga hesabu kumaliza operesheni maalum ya kijeshi huko Ukraine ndani ya wiki chache..,na jamaa wamefanikiwa kwa kias kikubwa sana [emoji16][emoji16][emoji16]Nikiangalia paniki ya USA na NATO halafu nikicheki utulivu wa Urusi kwenye maamuzi.....aisee naona wazi kabisa Urusi ni akili kubwa mno...
[emoji3][emoji3][emoji3] mpaka Kyiv ingekuwa majivu ndiyo tutakuamini tena.Jiji la liman limekuwa kaburi la wanajesh wa ukraine kila wanapojaribu kuingia wanapewa kichapo kikali maiti za wanajesh wa ukraine zimetapaka kila sehemu
Mkuu hakuna mtu muongo kama Morogoro kaskazini huwa najikuta nacheka tu nikisoma comments zake.Tatizo lake kile ambacho huwa anatamani kitokee kichwani kwake ndiyo huwa anakileta hapa kama uhalisia.Ukimuuliza source ya habari zake hawezi kutoa [emoji3][emoji3]Hahahaha umerudi tena [emoji23], juzi hapa ulisema 50% ya mji wa Kupiansk umechukuliwa tena na warusi wakati ni Uongo mtupu mji wote upo chini ya Ukraine. Leo unakuja na story za Lyman,Kwa taarifa yako wanajeshi wa Ukraine wapo chini ya 20km kuufikia huo mji na wanawazunguka wanajeshi wa Urusi Pande zote kwahiyo kazi itabaki kwa warusi kama watakubali kuzungukwa wapambane na waUkraine au wakimbie wauchie mji.
Tegemea huo mji kufall ndani ya siku chache zijazo.
Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.Nikiangalia paniki ya USA na NATO halafu nikicheki utulivu wa Urusi kwenye maamuzi.....aisee naona wazi kabisa Urusi ni akili kubwa mno...
Endelea kupakuliwa (Misaada ya ARV na vyandarua) na wazungu, akili zikikukaa vizuri utaelewa.Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.
Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
Kwa hiyo wewe unaakili Sana Warusi hizi vita wameanza kupigana kabla ya mababu zako kuwepoUrusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.
Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
We jamaa bhana, umebakiwa na neno moja tu. Tazama... Ukrane is not the same as it was last week.Tazama wazee wa Referendum wanavyochezea kichapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa tunaomba Putin poooooKwa hiyo wewe unaakili Sana Warusi hizi vita wameanza kupigana kabla ya mababu zako kuwepo
Mkuu kubali wewe hujui chochote, wanaotuma silaha Ukraine na kupasua mabomba ya gesi ndio wanajua Nini kinaendelea...Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.
Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
We waache Tu wanawachukulia warusi poaHapa tunaomba Putin pooooo
Maana hali sio hali na pipe zinalipuliwa chini ya bahari sijui nani anafanya haya ingawa European wanasema ni Mrusi
Wasioijua hii vita wanadandia tu ila hali halisi mrusi ni mbabe kwa ardhi yake na alichonacho
Barafu ikianza huku tutatumia kuni tu hakuna namna maana Germany wameanza [emoji1]
Sio ya kucheka ila tuna safari ndefu na ngumu