Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Ndio habari ya mjini ,bila hizo no starehe Tanzania na Afrika.Jioni kwa utulivu kinywaji baridiiii.Tuwaachie wanaopambana djniani wakati futi sita zinawasubiri hata wakipata ulimwengu mzima kwa vita na nyukliaa.Niko na baba chamjaa tunachoma samaki hapa.Endelea kupakuliwa (Misaada ya ARV na vyandarua) na wazungu, akili zikikukaa vizuri utaelewa.
Yaani kuna watu wanatiririka wewe huku JF wanasema Mrusi kesho amachukua majimbo ya US haaaaHizi habari za ajabu. Kuhusu askari mpya kupewa bunduki zenye kutu. Askari kutumwa mbele kwenye mapigano hata bila mafundisho ya wiki moja??
newsweek.com
Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group
Russian State Media Figures Rail Against Army’s Mobilization Failures
A human rights group says that Russian men drafted to fight in Ukraine are being forced to the front lines with little to no preparation.
Perviy Otdel said on Telegram Wednesday that Russian authorities are illegally rushing conscripts to war zones in Ukraine without training exercises or medical examinations. The report is the latest in a string of alleged disarray that's followed Russian President Vladimir Putin's order last week to begin calling up reservists in a bid to shore up his invasion of Ukraine.

Russian men compelled to fight in Ukraine have reportedly been denied medical examinations, compensation and training before being rushed into war.www.newsweek.com
Russia's Mobilized Troops Being Given Old, Rusty Guns: Ukrainian Official
Russia's mobilized soldiers have been given old and "rusty" weapons as they gear up to bolster the invasion of Ukraine, according to an official.
Anton Gerashchenko, adviser to Ukraine's minister of internal affairs, posted a video on Twitter reportedly showing Russian soldiers handling firearms which appear to have rusted due to age.
US kwenye ubora wao,habari za kiintelegensia gawasemi zote ziko hapo Poland wakati mrussi yuko busy na pipe zake za gesi huyo us ameshapitisha Hamass kwa kiswahili cha tandale⚡⚡⚡David Arakhamia confirmed the information that the 18 HIMARS allocated in the latest US aid package will only go to Ukraine when they are produced, within a period of 6 months to two years⚡⚡⚡
Jaribu kutumia akili.Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.
Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
kaa kwa kutulia, unaonekana ni mgeni hapa jukwaani.Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.
Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
poleni sana ndugu zetu huko mlipo, binafsi kuna mtu alikuwa anataka nije huko ila kutokana na hii S.M.O kanieleza hali halisi ya huko gharama zilivyopanda na anafikiria kurudi huku kwa sasa.Hapa tunaomba Putin pooooo
Maana hali sio hali na pipe zinalipuliwa chini ya bahari sijui nani anafanya haya ingawa European wanasema ni Mrusi
Wasioijua hii vita wanadandia tu ila hali halisi mrusi ni mbabe kwa ardhi yake na alichonacho
Barafu ikianza huku tutatumia kuni tu hakuna namna maana Germany wameanza [emoji1]
Sio ya kucheka ila tuna safari ndefu na ngumu
Walio leta hii habari ndio walio tuletea habari ya Urusi kubakiza chakula cha siku tatu.Hizi habari za ajabu. Kuhusu askari mpya kupewa bunduki zenye kutu. Askari kutumwa mbele kwenye mapigano hata bila mafundisho ya wiki moja??
newsweek.com
Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group
Russian State Media Figures Rail Against Army’s Mobilization Failures
A human rights group says that Russian men drafted to fight in Ukraine are being forced to the front lines with little to no preparation.
Perviy Otdel said on Telegram Wednesday that Russian authorities are illegally rushing conscripts to war zones in Ukraine without training exercises or medical examinations. The report is the latest in a string of alleged disarray that's followed Russian President Vladimir Putin's order last week to begin calling up reservists in a bid to shore up his invasion of Ukraine.
Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group
Russian men compelled to fight in Ukraine have reportedly been denied medical examinations, compensation and training before being rushed into war.www.newsweek.com
Russia's Mobilized Troops Being Given Old, Rusty Guns: Ukrainian Official
Russia's mobilized soldiers have been given old and "rusty" weapons as they gear up to bolster the invasion of Ukraine, according to an official.
Anton Gerashchenko, adviser to Ukraine's minister of internal affairs, posted a video on Twitter reportedly showing Russian soldiers handling firearms which appear to have rusted due to age.
Muda wenu mkawamalize. Yaani badala ya kufurahi kuwa hawana mafunzo ninyi mnalalamika.Hizi habari za ajabu. Kuhusu askari mpya kupewa bunduki zenye kutu. Askari kutumwa mbele kwenye mapigano hata bila mafundisho ya wiki moja??
newsweek.com
Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group
Russian State Media Figures Rail Against Army’s Mobilization Failures
A human rights group says that Russian men drafted to fight in Ukraine are being forced to the front lines with little to no preparation.
Perviy Otdel said on Telegram Wednesday that Russian authorities are illegally rushing conscripts to war zones in Ukraine without training exercises or medical examinations. The report is the latest in a string of alleged disarray that's followed Russian President Vladimir Putin's order last week to begin calling up reservists in a bid to shore up his invasion of Ukraine.
Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group
Russian men compelled to fight in Ukraine have reportedly been denied medical examinations, compensation and training before being rushed into war.www.newsweek.com
Russia's Mobilized Troops Being Given Old, Rusty Guns: Ukrainian Official
Russia's mobilized soldiers have been given old and "rusty" weapons as they gear up to bolster the invasion of Ukraine, according to an official.
Anton Gerashchenko, adviser to Ukraine's minister of internal affairs, posted a video on Twitter reportedly showing Russian soldiers handling firearms which appear to have rusted due to age.
Ni jukumu lenu kuleta za UrusiWe jamaa bhana, umebakiwa na neno moja tu. Tazama... Ukrane is not the same as it was last week.
We angaika na video tu. Kama jamaa yako figganigga ameanzisha na special thread kwa ajili ya picha na video kwa kwenye matukia yaliyowagusa waRussia tu. Yale matukia yaliyowapata waUkraine haonyeshi kabisa. Amelishwa zile policy za media za magharibi. Nawe ni kama yeye.
Ukraine ina hali ngumu sana. Shauriyako.
Nikiangalia paniki ya USA na NATO halafu nikicheki utulivu wa Urusi kwenye maamuzi.....aisee naona wazi kabisa Urusi ni akili kubwa mno...
Naamini una uwezo wa kusoma mwenyewe habari. Sijui kama unataka kusikia habari halisi. Ni shauri lako. Siwezi kufurahia kama nchi kama Urusi inatuma watu wake wafe - na wasioandaliwa watakufa wengi.Muda wenu mkawamalize. Yaani badala ya kufurahi kuwa hawana mafunzo ninyi mnalalamika.
Jiongezi propaganda haziwasaidii
Hao wana mafunzo tayari jaribuni muone moto wake.
Viva Russia
Long live Putin
Hiyo picha nimeiona miezi 2 iliyopitaKawadanganye watoto wenzako
Waliolipua yawezekana ni Warusi ili wasilipishwe kwa kukiuka mkataba, japo ni ngumu wao kufanya maana gharama za kurekebisha ni ghali sanaHapa tunaomba Putin pooooo
Maana hali sio hali na pipe zinalipuliwa chini ya bahari sijui nani anafanya haya ingawa European wanasema ni Mrusi
Wasioijua hii vita wanadandia tu ila hali halisi mrusi ni mbabe kwa ardhi yake na alichonacho
Barafu ikianza huku tutatumia kuni tu hakuna namna maana Germany wameanza [emoji1]
Sio ya kucheka ila tuna safari ndefu na ngumu
Paniki ya MArekani??? Utulivu wa Urusi inayoona raia zake kupanga foleni mpakani ili waondoke???Nikiangalia paniki ya USA na NATO halafu nikicheki utulivu wa Urusi kwenye maamuzi.....aisee naona wazi kabisa Urusi ni akili kubwa mno...
Nani anaathirika kiuchumi kutokana na kubomoa bomba ambako hakuna gesi inayosafirishwa? Maana tangu wiki hakuna m³ iliyopita??Waliolipua yawezekana ni Warusi ili wasilipishwe kwa kukiuka mkataba, japo ni ngumu wao kufanya maana gharama za kurekebisha ni ghali sana
Yawezekana ni CIA maana wao hawana cha kupoteza, hawataathirika na chochote, ila Urusi ataathirika kiuchumi, EU itaathirika pia
Yawezekana ni Ukraine maana wanaona Gesi ndo inampa kiburi Putin, lakini swali linakuja, wametoa wapi huo uwezo?