Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama viongozi wa Urusi hawana akili kwa sababu ya kuanzisha vita nchi Ukraine ,basi viongozi wa Marekani na Ulaya ni matahira kabisa maana ndio vinara wa kuanzisha vita kwenye nchi za watu na mamilion ya watu wamekufa kutokana na vita walio zianzisha.

Naomba unijibu maswali yangu ww mwenye akili kuwazidi viongozi wa Urusi.

Swali la kwanza ww ndio ungekuwa Putin ingetumia akili gani ili Ukraine isijiunge na Nato?
Swali la pili ww kama raisi wa China niambie ni akili gani utaitumia kuizuia Taiwan kujitangazia uhuru wake bila kutumia nguvu za kijeshi?

Swali la tatu Ww ungekuwa J.Kened ungetumia akili gani kuirazimisha Usoviet kuondoa makombora ya nyukilia yaliyo kuwa yameelekezwa ndani ya nchi yako Marekani zaidi kutishia kuivamia Cuba kijeshi?

Swali la nne ww ungekuwa Bush ungetumia akili gani ya kuidhiti Alqida zaidi ya kuivamia Afghanistan?

Na ninaomba unijibu usikimbie taadhari ili tukuone ww mwenye akili kumzidi Putin.
 
Mkuu mbona umeongelea kuhusu chakula tu na hayo mengine ukayaacha na menyewe yajibie.
 
Na wasiwasi Sana na matumizi yako ya akili, pengine unazo ila umeamua kutumia ushabik
Mtu mwenye akili anaangalia chanzo Kwanza,
Nasikitika Sana watu Kama nyie mngekuwa viongozi enzi za idd amini mngeachilia tu ardhi yetu ichukuliwe
Unawezeja kumuunga mkono kiongozi anayevamia nchi huru na kutaka kuimulia Mambo yake

Kila taifa lenye nguvu likiamua kuvamia mataifa mengine yenye Sera tofauti na wao huu ulimwengu utakuwaje !?
 
Ushoga unakupotezea akili zako. Kojoa ukalale.
1. Yugoslavia 2. Vietnam 3. Afghanistan 4. Iraq 5. Libya 6. Somalia 7. Syria nk.

Mashoga wenzako wanamwaga damu za watu.
 
[emoji1255][emoji635]The Russian crew destroyed the APU tank with an accurate shot.

The footage shows how the Ukrainian armored vehicle T-64BV detonates ammunition.

The video is published by the Russian Defense Ministry.

Subscribe to @Sputnik
Hii video ukiitazama unaona uzembe mkubwa wa tanks operators wa Ukraine...kifaru cha urusi kilikuwa kimoja lakini kikameneji bato na vifaru viwili vya Ukraine

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
SIYO MUDA NAYE ANAKUFA. MA QUEENs wote wanakufa.

πŸ‡©πŸ‡°πŸ‘‘ Denmark’s Queen Margrethe II, Europe's longest serving monarch and its only reigning queen, has stripped four of her eight grandchildren of their royal titles, the palace says.

The move seeks to allow the four children of Prince Joachim, the monarch’s youngest son, β€œto shape their own lives to a much greater extent without being limited by the special considerations and duties”. However, Prince Joachim told Danish media that they are saddened by this decision.
 
Sorry kwa maneno makali
But
Upambavu ni kutaka kuhalalisha makosa kwa kutumia makosa mengine na isitoshe madhara yake yameonekana wazi
Hutuwezi kurekebisha kosa kwa kurudia makosa
 
Hii video ukiitazama unaona uzembe mkubwa wa tanks operators wa Ukraine...kifaru cha urusi kilikuwa kimoja lakini kikameneji bato na vifaru viwili vya Ukraine

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Wanamgambo wa Ukraine ni mateja tu acha wachinjwe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sorry kwa maneno makali
But
Upambavu ni kutaka kuhalalisha makosa kwa kutumia makosa mengine na isitoshe madhara yake yameonekana wazi
Hutuwezi kurekebisha kosa kwa kurudia makosa
Ficha upumbavu wako mzee.
1. Kwanini NATO inaendelea kujitanua eastern ward!?
2. Kwanini USA yupo na bio labs Ukraine.
3. Kwanini Ukraine alitaka kujiunga NATO.
Ukiyajibu maswali haya kwa usahihi sitakuita shoga.
 
πŸ‡©πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΊGerman Economy Minister Robert Habeck-: "The energy crisis we are in threatens to turn into an economic and social one.A shield of measures is able to repel the Putin regime's attack on our economy. The decisions of recent years have given Putin too much power over us."What has USA done out of Germany,this is scary...
 
Nikiangalia paniki ya USA na NATO halafu nikicheki utulivu wa Urusi kwenye maamuzi.....aisee naona wazi kabisa Urusi ni akili kubwa mno...
Kiukweli ukitazama Kwa umakini marekani imeanza kuhisi nguvu yake na utawala wake unapotea, yaani ni kama anahitaji kitu kutoka urusi halafu Putin hampi yaani anabakia kila siku kuchokoza urusi lakini urusi ikakata kimya kabisa
 
Ushoga unakupotezea akili zako. Kojoa ukalale.
1. Yugoslavia 2. Vietnam 3. Afghanistan 4. Iraq 5. Libya 6. Somalia 7. Syria nk.

Mashoga wenzako wanamwaga damu za watu.
Uwezo wa akili unapimwa na unavyojibu hoja, huwezi kujibu hoja kwa matusi, halafu tukuone una akili timamu
Kinywa kinatoa kilichajaza moyoni so unavyotaja kitu Mara kwa mara tunajua moyo wako unachokipenda
So unaweza kupinga kwa maneno but your among of them.
But
Una nafasi ya kubadilika
 
A mine clearing robot blown up by a mine? [emoji23][emoji23][emoji23]....Typical Russian quality!!!!

#Ukraine: A Russian Uran-6 mine-clearing robotic system was destroyed by an anti-tank mine. It appears it ran over the mine not with the trawl but with the tracks.

 
Kwa hiyo kile tunachoona baharini ni nini mkuu,sio ges Ile [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndiyo, bomba la Northstream 2 kutoka Urusi hadi Ujerumani ilikuwa tayari tangu 2021 na kujaa gesi. Ndani ya Ujerumani kulikuwa na majadiliano kuifunga au la. Marekani, Poland na nchi za Baltiki pamoja na Ukraine zilipinga bomba hili zilidai Ujerumani lisitumie wakaona hatari ya kutegemea Urusi mno kwa nishati. Ujerumani ilichelewesha azimio la kuifungua ikaagiza mchakato mrefu kupima usalama wa kimazingira lakini ilikataa pia kuitikia madai ya Marekani na nchi za Ulaya Mashariki ya kufuta mkataba na Urusi.
Baada ya uvamizi wa Urusi mwisho wa Februari serikali ya Ujerumani ilitangaza bomba halitafunguliwa.
Katika miezi ya kwanza ya vita Urusi ilipunguza na kusimamisha gesi katika bomba la Northstream 1 (iliyowahi kupeleka gesi Ujerumani tangu miaka kadhaa) na kuambia Ujerumani kama wanataka gesi basi wafungue bomba la pili, gesi iko tayari.
Gesi tunayoona sasa ni kutoka bomba la pili ambalo halikuwahi kufunguliwa.
Gesi katika bomba la Nortstream 1 ilizamishwa tayari na Urusi tangu miezi.
 
JIBU MASWALI ACHA KULIA LIA. UNASHANGILIA USHOGA, TUKIKUITA SHOGA UNAANZA KULIA.
1. Yugoslavia 2. Vietnam 3. Afghanistan 4. Iraq 5. Libya 6. Somalia 7. Syria nk.

Mashoga wenzako wanamwaga damu za watu.
 
Mnoooooo
Jamaa wanaplay smart hawakurupukwi aseee
Kama hii ya mobil nilijua watafunga mipaka fasta
Ila jamaa wakawa wametuliaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mpaka nahisi isije ikawa hawa wanaondoka urusi ni majasusi wanaenda kukusanya taarifa muhimu siku urusi na west kikinuka wanakuwa ndiyo watoa taarifa muhimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…