Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Maadam sio tusi la direct wala usiniombe samahaniSorry kwa maneno makali
But
Upambavu ni kutaka kuhalalisha makosa kwa kutumia makosa mengine na isitoshe madhara yake yameonekana wazi
Hutuwezi kurekebisha kosa kwa kurudia makosa
Hili lazma pia MKUU sio bureMimi mpaka nahisi isije ikawa hawa wanaondoka urusi ni majasusi wanaenda kukusanya taarifa muhimu siku urusi na west kikinuka wanakuwa ndiyo watoa taarifa muhimu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nasubilia unijibu usikimbie toa majibu.Uwezo wa akili unapimwa na unavyojibu hoja, huwezi kujibu hoja kwa matusi, halafu tukuone una akili timamu
Kinywa kinatoa kilichajaza moyoni so unavyotaja kitu Mara kwa mara tunajua moyo wako unachokipenda
So unaweza kupinga kwa maneno but your among of them.
But
Una nafasi ya kubadilika
Sorry butFicha upumbavu wako mzee.
1. Kwanini NATO inaendelea kujitanua eastern ward!?
2. Kwanini USA yupo na bio labs Ukraine.
3. Kwanini Ukraine alitaka kujiunga NATO.
Ukiyajibu maswali haya kwa usahihi sitakuita shoga.
Mkuu nasubilia majibu yako ww mwenye akili .Sorry but
Umeamua mwenyewe kuwa mpumbavu so inabidi nikuite tu
Hivi unanzaje kuamulia nchi huru nchi za kushirikianazo
Ni sawa na Kenya itumamulie tusijiunge sadec kwa sababu ni tuko EAC, na ulivyo mpambavu ungekubali
Au enzi za Vita baridi pamoja na uchanga na umaskini wa nchi yetu mwalimu alikataa kupangiwa marafiki, lakini kwa akili zako hizi za ajabu ungekubali kupelekeshwa
Ww Kama ni baba naionea huruma familia yako, inaonyesha uko tayari kuachia familia kwa jirani yako tu kisa ni tajiri au Anna nguvu hata mke unaweza kunyanganywa we on
Unataka mbinu walizotumia mabubu zetu ndo zitumike kwenye dunia ya digitalKwa hiyo wewe unajua mbinu za kisasa kuliko wao?Acha kujiaibisha
Jamani Mungu abariki roho yako ya kitoto! Waliondoka Urusi ni wanaume 300,000 hivi. Wewe unaamini ni majasusi?? 😂😂😂 Yaani miaka hii yote walikuwepo majasusi 300,000 nchini Urusi na huduma za usalama wa Putin hawakujua kitu?? Safi sana!!Mimi mpaka nahisi isije ikawa hawa wanaondoka urusi ni majasusi wanaenda kukusanya taarifa muhimu siku urusi na west kikinuka wanakuwa ndiyo watoa taarifa muhimu 😂😂😂
Mababu zetu walitumia njia zamaana sanaaaUnataka mbinu walizotumia mabubu zetu ndo zitumike kwenye dunia ya digital
Hata Kama ni ujinga mkuu sio was kiwango hicho , jisomee
Mzee unatuaibisha watanzania.Sorry but
Umeamua mwenyewe kuwa mpumbavu so inabidi nikuite tu
Hivi unanzaje kuamulia nchi huru nchi za kushirikianazo
Ni sawa na Kenya itumamulie tusijiunge sadec kwa sababu ni tuko EAC, na ulivyo mpambavu ungekubali
Au enzi za Vita baridi pamoja na uchanga na umaskini wa nchi yetu mwalimu alikataa kupangiwa marafiki, lakini kwa akili zako hizi za ajabu ungekubali kupelekeshwa
Ww Kama ni baba naionea huruma familia yako, inaonyesha uko tayari kuachia familia kwa jirani yako tu kisa ni tajiri au Anna nguvu hata mke unaweza kunyanganywa we on
Nimeshajibu , ila inaonyesha hausomi uelewe Bali unakimbilia kujibu kabla kuelewaJIBU MASWALI ACHA KULIA LIA. UNASHANGILIA USHOGA, TUKIKUITA SHOGA UNAANZA KULIA.
1. Yugoslavia 2. Vietnam 3. Afghanistan 4. Iraq 5. Libya 6. Somalia 7. Syria nk.
Mashoga wenzako wanamwaga damu za watu.
Hapa sijui ndio umemjibu nini?Sorry but
Umeamua mwenyewe kuwa mpumbavu so inabidi nikuite tu
Hivi unanzaje kuamulia nchi huru nchi za kushirikianazo
Ni sawa na Kenya itumamulie tusijiunge sadec kwa sababu ni tuko EAC, na ulivyo mpambavu ungekubali
Au enzi za Vita baridi pamoja na uchanga na umaskini wa nchi yetu mwalimu alikataa kupangiwa marafiki, lakini kwa akili zako hizi za ajabu ungekubali kupelekeshwa
Ww Kama ni baba naionea huruma familia yako, inaonyesha uko tayari kuachia familia kwa jirani yako tu kisa ni tajiri au Anna nguvu hata mke unaweza kunyanganywa we on
Tatizo unasoma Mambo mengi bila kuyaelewaMzee unatuaibisha watanzania.
Ngoja nijaribu kukuelimisha ukishindwa na hapa basi wewe ni shoga.
1. Belavezha Accords. Huu ni mkataba uliosainiwa kati ya (Russia, Ukraine na Belarus) Lengo lake ni kuivunja Soviet Union na kisha kuanzisha CIS.
Nakusihi usome hayo makubaliano.
2. Warsaw Pact. Soma mkataba huu uweze kuuelewa na uhusiano wa NATO. Kisha uelewe historia yake. Ukisha fahamu hayo unganisha na hii.
3. Soma (NATO-Russia Founding Act)
Kuna issue zipo nyingi tu lakini nakupatia homework hiyo.
Sikutegemea uelewe pia ,kwa mfano mrahisi Kama huoHapa sijui ndio umemjibu nini?
Maswali wali halafu majibu mkaa.
Kwa dhana ipi?Tatizo unasoma Mambo mengi bila kuyaelewa
Au pengine unaamua tu kubishana
Unajua maana ya nchi huru au sovereignty country,
Nasikitika kukuambia kua una uwezo mdogo sana juu ya haya mambo.Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.
Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?