kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mwenyewe anajiita great thinker [emoji16][emoji16][emoji16]Wewe ni kenge ,umeshindwa kujibu hoja unaanfika utopolo Tu hapa hiyo economy unaishika vipi bila kuwa na modern technology ,huo ushawishi geopolitics na national security unazimudu vipi bila kuwa na scientific brains + modern technologies and resources ?
Wewe shoga vipi. Umetoka kupakuliwa na wazungu!? 😀 😀 Tuambie Technology ipi Russia hana!? Kale kagenge ka NATO ndio kanakutisha!?Wewe ni kenge ,umeshindwa kujibu hoja unaanfika utopolo Tu hapa hiyo economy unaishika vipi bila kuwa na modern technology ,huo ushawishi geopolitics na national security unazimudu vipi bila kuwa na scientific brains + modern technologies and resources ?
We are with you [emoji635]
From Putin’s mobilization speech: Western elites have gone too far. It is Russia’s historical tradition and destiny to stop those seeking world domination.
Ule msafara wa km67 ndio utilivu wenuNikiangalia paniki ya USA na NATO halafu nikicheki utulivu wa Urusi kwenye maamuzi.....aisee naona wazi kabisa Urusi ni akili kubwa mno...
Duh una kichwa kigumu aisee kuelewa,Wewe mzee hebu leta njia zako za kisasa!? Hicho unachokiwaza ni mtoto wa chekechea ndio atawaza. Narudia kusema wewe bado ni mjinga. Nenda shule kasome masuala:-
1. Geopolitics
2. Economics
3. National security
Issue zako za Sayansi Kimu hazifui dafu kwenye modern world. You are stupid.
Issue za sayansi kimu kupika chakula Cha safari, kupiga pasi n kufua nguo 😁😁😁😁 haziwezi kumsaidia katika huu mjadala.Wewe mzee hebu leta njia zako za kisasa!? Hicho unachokiwaza ni mtoto wa chekechea ndio atawaza. Narudia kusema wewe bado ni mjinga. Nenda shule kasome masuala:-
1. Geopolitics
2. Economics
3. National security
Issue zako za Sayansi Kimu hazifui dafu kwenye modern world. You are stupid.
Akishindwa Kuelewa na hapa basi tena ....Gift kwa jinsi unavyotetea hoja zako..ni kama hujui kabisa ulimwengu huu unavokwenda, unatumia hisia zaidi....na ndo maana wadau kibao wamekushauri kidogo uende ukasomesoke kidogo mambo ya Geopolitics, utawala n.k..
Duniani kote ni kama watu tunaviziana tu..hivi unajua mfano why nchi zina majeshi ya kulinda mipaka??Hao Kenya unaowatolea mfano..hivi kwenye mipaka yetu unafikiri hakuna majeshi ns ulinzi..na unafikiri ni kwa nini??Kama ni hivo unavofikiri kwamba dunia ni amani na tawala zimeridhika si tungevunjulia mbali majeshi yetu yote ulimwenguni sababu kila mtu ana mpaka wake....??
USA unajua anakambi ngapi za jeshi nje ya nyumbani kwake, na unajua ni kwa nini??
Unajua kwa nini viwanda vya silaha duniani kote vinaendelea kutengeneza silaha tena za maangamizi, ndege vita, vifaru, kemikali za sumu??
Unajua kwamba hata mipaka hii unayoisema wewe tuliyonayo (Afrika mfano)...haikuwepo miaka 100 iliyopita???.Na tunauhakika gani kama itakuwepo miaka 200 ijayo???
Unajua hata kwa nini UN ilianzishwa na kwa nini ipo??
Unajua kwa nini kila nchi inavyombo vya ujasusi kwa ajili ya kulinda maslahi yake kwanza na si ya nchi nyingine??
Unajua hata why USA ilipigana VIETNAM, IRAQ, LIBYA, YUGOSLAVIA, SOMALIA, AFGHANISTAN??
Unajua why hata USA iliwapiga na NUCLEAR JAPAN??
Unajua hata kulikua na skendo ya USA kuwapeleleza viongozi wakubwa duniani akiwamo Angela Markel...(2018)..???
In short huo UTAKATIFU NA USTAARABU UNAOTAKA KUUONYESHA WEWE HAUPO...NA HAUTAKUWEPO....
NI KILA MTU KUWA NA UWEZO WA KULINDA MASLAHI YAKE NA KUFANYA WENZAKE WAMUHESHIMU NA KUMKUBALI....KILA MTU ANAHAKI YA KUJILINDA HATA KAMA NI KWA EXPENSE YA WENGINE...
Kama USA anavyopambana kuweka maslahi yake sawa, ndivyo, TURKEY anapambana, ndivyo CHINA anapambana, Ndivyo Russia anapambana n.k...Na kwa sasa mpambano Uko Ukraine pale..ngoja tusubiri mshindi
Ukimaliza kuliwa kiboga akili zitakukaa. You are stupidDuh una kichwa kigumu aisee kuelewa,
Nimesema usituletee ulichokariri huko darasani miaka ya tisini uko pengine
Elezea kitu kwa uelewa na uhalisia wa mazingira ya Sasa, dunia Kila siku inabadilika mbinu mpya na maarifa yanaongezeka,
Ndo
Mnaleta mifano ya Vita vya miaka ya 70, alafu mnata muhalalishe na vita vya kisasa
Na hili ndo maana tuna vijana wengi wasomi was kukariri,hawawezi kuleta mabadiliko kwenye mazingira ya jamii yao
Be updated
Usigandishe akili kwenye vitu ulivyokariri zamani uko
Wengi wao watajipeleka kuwa matekaNa walivyo hawana technical details ya matumizi ya bunduki na vifaaa vya kijeshi watakufa sana.
Hata lenyewe limeweka chumbani kwake vifaa vya mmarekaniUnaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷
1. Pepsi cola & Coca Cola beverages
2. Android
3. Appstore
4. iPhone
5. Human, animals & Plants vaccine
6. Wikipedia
7. WhatsApp
8. Facebook ( Meta)
9. Instagram
10. Tesla motors
11. Amazon products
12. Gmail account
13. Google products zote
14. Visa & Master card
15. ATM machine
16. Starlink internet connection
17. YouTube
Izo ni baadhi ya products ambazo Fanya ufanyavyo uwezi kuacha kuvitumia na apo ukiona umetumia ujue tayari ushaichangia dollars kupanda thamani
Hujaeleweka hapo " scientific brain ni kitu gani" na resources ni shetani gani.Wewe ni kenge ,umeshindwa kujibu hoja unaanfika utopolo Tu hapa hiyo economy unaishika vipi bila kuwa na modern technology ,huo ushawishi geopolitics na national security unazimudu vipi bila kuwa na scientific brains + modern technologies and resources ?
Wakipata shida wanakimbilia EU na Marekani, hutawaona wakienda SaudiWA munyazi ,wazee WA kobaz akili hamna
Hilo bwabwa.Hujaeleweka hapo " scientific brain ni kitu gani" na resources ni shetani gani.
Ikiwa nchi imewekewa vikwazo na mataifa 70 vikwazo mia nane. Hiyo nchi inapigana na hizo 70 kijeshi inachukua maeneo inapigisha KURA mbele ya hao wajuaji sabini . Hiyo nchi haina resources? KWANZA ungejiuliza hao wenye resources mbona wanahofu wasipo pata resources za asiye na resources . Nakadiria umri wako ni U20 na utakuwa mwaka wa KWANZA au wa pili CBE
Duh kweli upambuvu ni kipaji, na nimegundua unacho,Ukimaliza kuliwa kiboga akili zitakukaa. You are stupid