Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Kama Una namba za macron mwambie kuna ujumbe wake huku 😂😂😂😂😂Hao ambao hawatumii nguvu kutatua matatizo ndio waloivamia LIBYA unaona sasa hv LIBYA ilivyonaamani nausalama eeeh
Hao ambao hawatumii nguvu ndio waloenda kuvamia IRAQ siunaona IRAQ ilivyokua imetulia amani kila mkoa na vijiji na miji
Hao wenye akili ndio walivamia YUGOSLAVIA
Hao wenye akili ndio waliitwanga VIETNAM
Hao wenye akili ndio waliovamia AFGHANISTAN umeona kulivyo naamani muda huuu
Mwisho hao waliokua naakili ndio walioitwanga NAGASAKI na HIROSHIMA kwa nyuk
Sasa wewe jiulize kama PUT IN hana akili hao wengine wenye akili wanatofauti gani na huyu kichaa PUT IN
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unaweka link kabisa za hizo US media instead of picts ambayo hata ww unatengeneza inge make sense zaidiTukiwaambia Pro-NATO waachane na propaganda hawaelewi wengine wanatuma video za mchongo View attachment 2372244
Inakuuma au haikuumi!? Kama inakuuma acha kutetea ushoga.
Mambo ni mazito sana kwa NATO aisee!.Kuna hawa vijana wa NATO humu JF wanaoshabikia hovyo suala la hii vita uko ukraine...lakini kuna vichwa kama rais wa finland yule mzee.Sauli Niinisto...alishasem kwa muktaadha ulivyo pale ukraine "Russia has gone all In" na ni swahiba mkubwa sana wa putin na jinsi anavyomfahamu putin hajawahi na hatowez kurudi nyuma.
Na ndio maan nchi za west wanahimiza raia wao waoondoke urusi...sababu wanajua there is no way vile US wanaendelea kumpa kiburi cha silaha zelinsky alafu mrusi akubali kushindwa...hivyo kwa namna yoyote ile Vita Kamili lazima vipiganwe ata kama itakuwa ni all west members against putin yeye hatojali.
Ngoma bado mbichi hii...kwa proNATO wa humu JF wanaodhani putin atakubali kushindwa kirahisi kama wadhaniavyo wao...i feel Sorry for them!!!
Na kuna watu wanaamin kwamba hii vita ilikuwa haina faida kwa Russia...Nawahurumia hawajui wanalosema, MAANA WOTE TUPO TZ HAPA ILA TUNAFUATILIA TU HII SITUATION YA UKO UKRAINE KWA UKARIBU KUPITIA INTERNET, SOCIAL MEDIA, NA VYOMBO VYA HABARI(Japo vingi/vikubwa/Maarufu ni vya West hivyo hutoa takwimu ambazo si halisi katika hii vita ya uko Ukraine). LAKINI KATIKA HALI YA KAWAIDA NI NANI AMBAYE ATAKUBALI KUPELEKA MAJESHI YAKE VITANI NA RESOURCES ZAKE PIA NA KUKUBALI HADI APEWE VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA TAIFA LAKE...ILIHALI ANALOFANYA HALINA MANUFAA NAYE???....hivyo nasisitiza ni bora mtu aseme tu hajui hii vita ina maana gani kwa russia kuliko kunena asiyoyajua nyuma ya pazia.
Wapo waliosema kuwa mbon Russia ina wanajeshi 900,000 na walioenda vitani kule ukraine ni wachache(almost 150,000) tokea vita ilipoanza FEB na hivi sasa anatumia partial Mobilization ambayo pia sio active recruited army....kiukweli Vita ni mbinu, Amini NAWAAMBIA WATUMISHI HEWA WA NATO HUMU HII VITA NDO IMEANZA NA WAKATI HUOHUO BAADHI YA NATO MEMBERS WAMESHAGOMA KUTOA TENA SILAHA ZA KIVITA KWA UKRAINE KAMA SEHEMU YA MSAADA, WATCH-ON!!!
Kwa PROFILE HII ya putin ni mtu ambaye amehudumu katika masuala ga kiusalama kwa muda mrefu anzia jeshini, KGB( Kama Jasusi), Kamati kuu ya ulinzi wa nchi(Russia National Security Council) tokea enzi za SovietUnion hadi kuwa Rais wa russia katika vipindi viwili tofauti hivyo anafahamu vyema siasa za Magharibi.
View attachment 2372249
Ngoja tuone huu mtanange utafikia wapi...
MriHujaeleweka hapo " scientific brain ni kitu gani" na resources ni shetani gani.
Ikiwa nchi imewekewa vikwazo na mataifa 70 vikwazo mia nane. Hiyo nchi inapigana na hizo 70 kijeshi inachukua maeneo inapigisha KURA mbele ya hao wajuaji sabini . Hiyo nchi haina resources? KWANZA ungejiuliza hao wenye resources mbona wanahofu wasipo pata resources za asiye na resources . Nakadiria umri wako ni U20 na utakuwa mwaka wa KWANZA au wa pili CBE
Sidhani umri bali uwezo wa kufikiri mana hata kuna wakubwa bunju kufikiriHujaeleweka hapo " scientific brain ni kitu gani" na resources ni shetani gani.
Ikiwa nchi imewekewa vikwazo na mataifa 70 vikwazo mia nane. Hiyo nchi inapigana na hizo 70 kijeshi inachukua maeneo inapigisha KURA mbele ya hao wajuaji sabini . Hiyo nchi haina resources? KWANZA ungejiuliza hao wenye resources mbona wanahofu wasipo pata resources za asiye na resources . Nakadiria umri wako ni U20 na utakuwa mwaka wa KWANZA au wa pili CBE
Unampa vitu vikubwa sana kuliko akili yake,dah!.Nakupatia document:-
Isome kisha uje hapa tujadili.
Kisha nitaelezea Uhusiano wa Israel, Iran na Russia.
Anyone who defends american is not so far from defending the devil himself....those guys are really definition of HELL ON EARTHBy defending American evil,wewe ni sehemu ya matatizo mengi yanayo-wakumba Wanadamu.Niseme hivi,muda utakapowadia wa ku-round up those who defend American evil against humanity,wewe utakuwa pia target.Muombe Mungu sana wanadamu waendelee kulala usingizi,wakiamka mmekwisha.
Kelele za kijinga tu Majimbo tayari yapo Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635]Chief wa United Nation Antonio Guterres ampa makavu Putin....
Russia’s plan to annex four Ukrainian regions would mark a “dangerous escalation” in the war in Ukraine that would jeopardise the prospects for peace, the United Nations secretary-general has warned.
“Any decision to proceed with the annexation of Donetsk, Luhansk, Kherson and Zaporizhia regions of Ukraine would have no legal value and deserves to be condemned,” Antonio Guterres told reporters at the UN headquarters in New York City on Thursday.
Urusi hana ubavu wa kujiamulia mambo yanayohusu taifa lingine - UN ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu uhalali wa hizo kura kijana.Kelele za kijinga tu Majimbo tayari yapo Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635]