kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Na kuna kipengele kinachosema Hakutaruhusiwa kujiunga na NATO kwa nchi ambayo iko kwny mgogoro.Ukraine ni mwanachama shiriki (sio kamili wa EU) bado kuna masuala kadhaa ya kutimiza masharti ili iwe mwanachama kamili wa EU.
Suala ni "protection" kwamba ile "article 5" ya NATO itafanya kazi endapo Ukraine itashambuliwa ikiwa mwanachama wa NATO. Leo Zele kaomba tena NATO iharakishe taratibu za kujiunga.
Ana mawazo kwamba Ukraine ikiwa NATO itajaribu kuzidisha kupigana na itapata msaada wa NATO.
Ukraine yashindwa kuelewa kwamba Russia sasa hivi imeweka mitambo yote katika majimbo hayo manne.
Hii ni hatua ya pili imeisha, inofuata ni hatua ya tatu yaani Phase 3 kwa Russia kumaliza kazi kimoja.
Pia anaweza kufufua mpango wa kuirudisha Alaska. Ni hatari sana hii mambo!!!mkuu, unajua hio itakua declaration ya vita? na tafsiri yake ni kwamba Urusi atashambulia ukriane nzima,......
Ilikuwa nchi moja ila njama za wazungu ikasambaratika na aliekuwa Rais wao wakati huo Marehemu Gorbachev ndio alifanya hayo
Na Putin aliapa miaka ya nyuma na kusema ipo siku USSR itarudi na mda umefika sasa
Iraq alipoitwaa Kuwait nilikuwa huko na Jeshi la Iraq iliwachukua masaa 3 tu kuichukua Kuwait yote
Ila kilichofuata tunajua wote
Putin ni tofauti wanaishia kubweka tu na kusema ooh vikwazo
Asante sana, Mkuu.We are with you... 🇷🇺
Sishangai hata kidogo vipofu wanapoamua kuongozana, but wait a minute, remember that story of the antelope who danced herself lame before the main dance? Muda si mrefu dansi itafunguliwa rasmi watu wajimwage uwanjani kusakata rumba...masikini antelope!i
Bado Urusi ana ubavu wa phase 3 ?...hasara aliyoipata bado haijamuingia huenda hiyo 'phase 3' ikachukua miezi mingine 7 kukamilika.Hii ni hatua ya pili imeisha, inofuata ni hatua ya tatu yaani Phase 3 kwa Russia kumaliza kazi kimoja.
Mkuu,hii ni faraja ya muda tu Kwa pro Russia, lakini ukweli ni kwamba kinakuja kilio na kusaga menoSishangai hata kidogo vipofu wanapoamua kuongozana, but wait a minute, remember that story of the antelope who danced herself lame before the main dance? Muda si mrefu dansi itafunguliwa rasmi watu wajimwage uwanjani kusakata rumba...masikini antelope!
Thanks PutinMy best "Part" of Today Putin's Speech 😊
👣 “You cannot feed people with the money you print. It will not warm your homes” — Putin
👣 “It will never be the way it used to be (for the west) the collapse of western hegemony is irreversible” - Putin
👣 🇷🇺⚡ Putin: “I want the Kyiv authorities and their real masters in the West to hear me, so that everyone remembers this: people in Donetsk, Luhansk, Zaporozhye and Kherson become our citizens. Forever and ever".
👣Putin: The West denies moral standards, religion, family. Do we really want Russia to have “parent number one, two, three” instead of “mom and dad” and that perversions that lead to degradation and extinction are imposed on children in schools, supposedly there are some genders, except for women and men? For us, this is unacceptable.
Zaidi kukazia tu V Putin anajua tupo nyuma ake, when he said "we have many like-minded people all over the world, and we see their support. A liberation movement against unipolar hegemony is developing all over the world. Today we are fighting to make dictatorship and despotism forever a thing of the past. A policy built on the exclusivity of someone and the suppression of other cultures and peoples is criminal. We must turn this shameful page. The collapse of Western hegemony that has begun is irreversible. It won't be like before.
🔥🔥🔥🔥
Hayo ni baadhi katika yaliyonivutia leo kwenye Speech ya Putin hasa paragraph mbili za mwisho.
We are with you... 🇷🇺
Mzee unaboa kishenzi. Aina hii ua propaganda ilishapitwa na wakati. Iliwasaidia UK kipindi cha nyuma but nakushauri rudi tena shule ukasome issue za propaganda.Bado Urusi ana ubavu wa phase 3 ?...hasara aliyoipata bado haijamuingia huenda hiyo 'phase 3' ikachukua miezi mingine 7 kukamilika.
wapake tu lakini wasijaribu kugusa hata unyoya mmoja wa diplomats wa Russia.Mbwa koko wameenda kupaka rangi ukuta wa Balozi yetu huko New York
[emoji631][emoji635]The Consulate General of Russia in New York was doused with paint.
As @rian_ru was told in the diplomatic mission, it is not washed from the doors and facade of the building.
Recently, the local police have practically stopped providing security for Russian diplomats.
Subscribe to @SputnikView attachment 2372800
Fashisti Putin amewapa sababu NATO na marekani kupiga jalamba..,tuupe muda nafasi..,Bado Urusi ana ubavu wa phase 3 ?...hasara aliyoipata bado haijamuingia huenda hiyo 'phase 3' ikachukua miezi mingine 7 kukamilika.
Kama inakuboa usisomeMzee unaboa kishenzi. Aina hii ua propaganda ilishapitwa na wakati. Iliwasaidia UK kipindi cha nyuma but nakushauri rudi tena shule ukasome issue za propaganda.
Mikoa ni watu kama wenyewe wa meridhia kujiunga kwanini wewe usioni ni sawa? Democrancy is the rule of the pple for the pple.....hiyo ndo pure democracy 96% wameunga mkono wewe ni nani ukatae?