Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tens of thousands of people on Red Square in Moscow celebrate the accession of four new regions
View attachment 2372899
Daaah, alooooh sijawahi kuona machawaa mengi kwa kiasi hiki. Yaani wotee hawa wanataka waonekane na serikali ili wapewe vyeo, kazi, kulinda kazi, kulinda mali, kulinda uhai. Kuanzia leo urrusi ni nchi ya MACHAWA.
 
Thanks mkuu, umenifungua kidogo, ila upatapo mda njoo utoe madin,wengine Mambo kama haya hatujui, ila yaonesha vipo vitu wavijia KWa kina mkuu thanks
Tuko pamoja na kuongezeana mawili matatu tunayoyajua au kuyaona au kuyasikia

Ni jambo la kushukuru kwa kufika hapa nilipo kwani nimepitia mengi sana
Ingawa mimi ni mpenda Amani na sio shabiki sana wa vita, napenda kuona heshima inapatikana na ubabe sipendi na anapotokea wa kusema ukweli na kutetea haki ni sawa hata kama atatumia mbinu za kivita

Russia analipa walichopanda wazungu wa Europe [emoji1099] na mshiriki wao [emoji631]
Wakubali tu kuwa Putin hacheki na nyani
Na anamaanishi anachosema na wao wanajua
Iwapo kama leo Russian wakifunga pipe zote za Gas unajua itapanda % ngapi kwa sisi huku kulipa ingawa sasa tu tumepandishiwa bei kwa 27% kuanzia tarehe 01/10/2022

Bila serikali kuingilia kati na kuongezea cha juu ilikuwa tulipe 50% zaidi

Hii 27% tutalipa kwa miaka 2 kuanzia sasa
Niandalie makazi nakuja huko [emoji1] joking
 
Majoti katika ubora wenu.... Yaani nikiona tu comment zenu nacheka sanaaaaa....... Na nyie mna familia mnalea aseee.... !!??
 
Vijana wa super power wa mchongo wanakaangwa huku jamani ni balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanaume wa kweli wanatembeza kipigo haswa ,si maneno ya fashisti Putin kujifariji jukwaani wakati huko field anapelekewa moto hatari [emoji2][emoji1787][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Warusi walipelekwa dini na Wayunani(wagiriki) wa Byzantium, ni kituko kujifanya wao ni washika dini au wanaijua ziadi kuliko waliowapelekea hiyo dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…