Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Kwa hiyo raia wa mikoa hii uliyotaja kwa huo mfano wako wakishangilia kujiunga Kenya,Tanzania ikubali na iendelee na maisha na ramani ya Tanzania ibadirike? Mbona hujawafikiria wale ambao hawashangilii? Kwamba hao raia ni wote wanafurahia au umeonyeshwa sehemu tu ya wale wanaofurahia?
Haifurahishi kusikia ujinga, tena ikiunganishwa na propaganda wa mbaguzi, mlawiti na mwizi Trump.UN ni takataka tu we Buda View attachment 2373064
Safi. HAdi jana Waukraine hawakuruhusiwa na Marekani kupiga eneo la Urusi. Sasa wanaweza kuendelea kupiga eneo la Urusi na wakati huohuo wako nyumbani kwao...[emoji298]️Kremlin: Donbass, Kherson & Zaporozhye regions will become sovereign territory - attack on them will be direct attack on Russia
Dmitry Peskov confirmed a ceremony at the Kremlin in just over two hours will see the four areas admitted to the Russian Federation - within borders of 2014.
The Kremlin Spokesperson said Moscow's demands have not changed and the special operation will continue, as Kiev is not willing to negotiate.
He also stated Russia does not want to see a nuclear escalation.
Just in @RT_India_official
Ona ramani ya LYman leo. Putin alikataza askari wake wasirudi nyuma. Hivyo alitoa hukumu ya mauti kwao (au ya kufungwa). Kuna njia moja tu kutoka Lyman kuelekea Mashariki - njia hii iko umbali kwa silaha za kila aina hata silaha ndogo za Ukraine.
Mara itakapotokea, tuwasikie tena waimbaji wa genius!
View attachment 2373231
Kumbe wapuuzi wanaprint pesa tu ndio maana unakuta ulaya kanchi size ya nachingwea heti Nako kanakopesha
AdibaNyoanoko
Kumbe wapuuzi wanaprint pesa tu ndio maana unakuta ulaya kanchi size ya nachingwea heti Nako kanakopesha
Hao watatembezewa kipigo mpaka wasahau hiyo referendum.., sijui warusi wa buza aibu wataificha wapiOna ramani ya LYman leo. Putin alikataza askari wake wasirudi nyuma. Hivyo alitoa hukumu ya mauti kwao (au ya kufungwa). Kuna njia moja tu kutoka Lyman kuelekea Mashariki - njia hii iko umbali kwa silaha za kila aina hata silaha ndogo za Ukraine.
Mara itakapotokea, tuwasikie tena waimbaji wa genius!
View attachment 2373231
Wanatupiga sanaKumbe wapuuzi wanaprint pesa tu ndio maana unakuta ulaya kanchi size ya nachingwea heti Nako kanakopesha
What's the point of this,
Hii vita naona imefikia patamu Sasa [emoji848]Safi. HAdi jana Waukraine hawakuruhusiwa na Marekani kupiga eneo la Urusi. Sasa wanaweza kuendelea kupiga eneo la Urusi na wakati huohuo wako nyumbani kwao...
Mkuu unakumbuka mwanzoni tulikuwa na hoja kuwa Putin kuivamia Ukraine na kuua wanajeshi ni jambo moja, ataweza ishi na raia wasio mtaka? kama umefuatilia huo uchaguzi, mwitikio wa raia na namna walivyowapokea warusi utagundua hata urusi kufanikiwa kuyateka hayo majimbo kuna uwezekano raia wanahusika. Hakuna upinzani wa kuridhisha kutoka kwa raia na wana hadi bendera za Urusi boss. Wale kuna uwezekano hata waliwasaidia majeshi ya adui.Kwa hiyo raia wa mikoa hii uliyotaja kwa huo mfano wako wakishangilia kujiunga Kenya,Tanzania ikubali na iendelee na maisha na ramani ya Tanzania ibadirike? Mbona hujawafikiria wale ambao hawashangilii? Kwamba hao raia ni wote wanafurahia au umeonyeshwa sehemu tu ya wale wanaofurahia?
Kwa sasa imefikia hatua unaonekana umechanganyikiwa.Jamaa analiwa kiboga hadharani alafu mazombi wake wanashinda humu jukwaani wakilaani ushoga,View attachment 2372961
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app