kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hapo Kuna tusi mkuu?...,hivi unajua kuwa matusi ni kosa linaloweza kupelekea mtu akapigwa" ban" hapa jamiiforums?Daaah,umepoteza kabisa utulivu wa akili!Hebu relax,kutukana hakukuongozei chochote!
Tujikite kwenye mjadala!Mengine hayo mnayoleta humu,ni kutukosea wasomaji!Kama vipi mfate PM ukamtukane huko!
Nasema hivyo kwasababu nafuatilia thread hii,trend Yako ni ya kutukana!Na nikueleze,mods hawafuatilii kila page,ni mpaka mtu areport ndio wanaweza kuchukua hatua!Sasa fikiri unamwambia binadamu mwenzako kuwa bora baba yake asingemzaa!Hapo Kuna tusi mkuu?...,hivi unajua kuwa matusi ni kosa linaloweza kupelekea mtu akapigwa" ban" hapa jamiiforums?
Kama wewe umeyaona matusi kabla moderators hawajayaona , kati ya mimi na wewe ni nani kapoteza utulivu wa akili hapa[emoji848]
Tatizo la akili linazidi kuwa kubwa sana,sema tu wengi wetu hatutaki kukubali matokeo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ujue nini bro, kuna nyakati unakaa chini unawaza hivi ni kweli Collective west ni mazuzu kiasi hiki? Ile "think tank" iliyopo nyuma ya viongozi wao kweli wamekaa wameona best options za kufanya ni haya wanayo yatekeleza hivi leo? Ni kweli hizo ndio products za vyuo bora duniani kama wanavyo tuaminisha? Unabaki na wasi wasi mtupu.
Sasa kuna mzee mmoja hivi ni baadhi ya lulu ambazo hazipewi nafasi wala airtime kwa majority. Ukiwasikiliza nini wanazungumza kuna baadhi ya mambo labda huenda unaweza kukubaliana na mimi.
Chukulia mfano clip below,
View attachment 2373563
Huyo mzee anaitwa John J. Mearsheimer, ni Distinguished Service Professor of Political Science hapo University of Chicago. CV yake tu unajua unazungumza na nani! Nimege moja tu kwenye title yake "Distinguished Professor"
Hawa Distinguished Professors ni wale traditionally researchers who can demonstrate outstanding research outputs, Distinguished Professor ni academic title given to some top tenured professors in a university, school, or department n.k so hapo you know the Man habahatishi juu ya kile anachokizungumza.
Yupo in politics sphere years ago hata mie binafsi nahisi sijazaliwa, toka 1982. It's almost 40yrs to date. You can figure out how many regimes zimepita machoni mwake all over the worlds.
Someone like him anapokwambia US na West wanaiangamiza Ukraine ujue anaona mbali kwa kulinganisha kule tulikotoka. Ila hapa team flani wamekazana tu "dikteta" "fashist" "andunje" en so so so so sooo.
In that video kuna maneno kama haya utamskia anayasema, kwamba "The West is leading Ukraine down the primrose path and the end result is that Ukraine is going to get wrecked […] What we're doing is in fact encouraging that outcome." Akikazana kuwataka west wa'maintain neutrality ya Ukraine.
Na hakuanza jana kuonya kuhusu hili, back in 2015 alitabiri haya mambo au mgogoro wa leo kutokea kwa kile west walichokua wakikifanya Ukraine, Unaweza kusoma aliyo yasema enzi hizo kwenye link hii ipo kwenye directories zake ndani ya University of Chicago.
It's my honor to have the same views like him, Hizi chaos zote zinazotengenezwa na collective west ni kutoka kwa hawa ma'clowns na Masters wao nyuma ya Pazia.
Na hata ile "think tank" behind hizi Clowns [emoji1782] ipo mlengwa wa maslahi ya wale walio nyuma ya pazia sio kwa ajili ya Raia na ulimwengu kwa ujumla.
Vitu kama ile terrorist act on NS-1, unaiona wazi kabisa inafanywa not for the good of the most people (Raia wa kawaida) bali for the few, very few who are benefitting most nazo zikiwa ni Corporation zinazofanya biashara kushibisha demand iliyotengenezwa through their own arranged crisis.
Hayo matusi unayaona wewe..,Mimi niliwahi kupigwa ban hapa jukwaani.., hivyo niko makin na ninachokiandika hapa..,kama wewe umeyaona matusi basi ni mtazamo wako..,Nasema hivyo kwasababu nafuatilia thread hii,trend Yako ni ya kutukana!Na nikueleze,mods hawafuatilii kila page,ni mpaka mtu areport ndio wanaweza kuchukua hatua!Sasa fikiri unamwambia binadamu mwenzako kuwa bora baba yake asingemzaa!
Hebu tujivuke mipaka,tujikite kwenye hoja,kama unaona umezidiwa basi take sometime off,ukirelax rejea jukwaani!
Nways,ni ushauri tu!Chukua au acha,ni wewe na ulivyochagua kuishi humu jukwaani!
I'm done!
Hmm Warusi walikuwa na kazi nyingi kugandamiza upinzani. Kherson nakumbuka wananchi waliandamana sana wiki za kwanza hadi wengi walikamatwa na kupigwa. Putin alilazimishwa kuendesha referendum kwa mbio maana alihitaji kitu cha kuonyesha baada ya kupigwa vibaya vile katika maeneo ya Kharkiv... Anajaribu kuhamasisha wananchi wa Urusi kwa kuwasimulia kwamba sasa "Urusi yenyewe" inashambuliwa - hakufaulu sana maana foleni ndefu zilijipanga kwenye mipaka xa kuondoka si kwenye ofisi za kujiunga na jeshi. . . . .Mkuu unakumbuka mwanzoni tulikuwa na hoja kuwa Putin kuivamia Ukraine na kuua wanajeshi ni jambo moja, ataweza ishi na raia wasio mtaka? kama umefuatilia huo uchaguzi, mwitikio wa raia na namna walivyowapokea warusi utagundua hata urusi kufanikiwa kuyateka hayo majimbo kuna uwezekano raia wanahusika. Hakuna upinzani wa kuridhisha kutoka kwa raia na wana hadi bendera za Urusi boss. Wale kuna uwezekano hata waliwasaidia majeshi ya adui.
Huyu jamaa mpaka Sasa atakuwa na sonona pamoja na msongo wa mawazo mkaliNdo maana tunasema huyu fashsti anayejiita Putin alilazimisha tu hiyo kura baada ya kipigo kuwa kikali huko field,
Mpaka Sasa vijana wa zelensiky hawajapoa.., wanaendeleza mkong'oto,hiyo kura Ina maana gani Sasa [emoji848]
Kuna mambo ukiyafikiria hata hayaingii akilini,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu unakumbuka mwanzoni tulikuwa na hoja kuwa Putin kuivamia Ukraine na kuua wanajeshi ni jambo moja, ataweza ishi na raia wasio mtaka? kama umefuatilia huo uchaguzi, mwitikio wa raia na namna walivyowapokea warusi utagundua hata urusi kufanikiwa kuyateka hayo majimbo kuna uwezekano raia wanahusika. Hakuna upinzani wa kuridhisha kutoka kwa raia na wana hadi bendera za Urusi boss. Wale kuna uwezekano hata waliwasaidia majeshi ya adui.
Mjinga mwingine huyu hapa.Hmm Warusi walikuwa na kauzi nyingi kugandamiza upinzani. Kherson nakumbuka wananchi waliandamana sana wiki za kwanza hadi wengi walikamatwa na kupigwa. Putin alilaziishwa kuendesha referendum kwa mbio maana alihitaji kitu cha kuonyesha baafa ya kupigwa maeneo ya Kharkiv vibaya vile... Anajaribu kuhamasisha wananchi wa Urusi kwa kuwasimulia kwamba sasa "Urusi yenyewe" inashambuliwa - hakufaulu sana maana foleni ndefu zilijipanga kwenye mipaka xa kuondoka si kwenye ofisi za kujiunga na jeshi. . . . .
Binafsi nimemjua huyu jamaa anayejiita KP Kipanya 44 kupitia Post zake na comment zake nikagundua ni mtu wa Illusions sana na akili yake ndipo alipoielekeza . Anaandika mambo mengi ambayo sio analytical na bahati mbaya kajiachia full mkoko kujua kumjua ni mtu wa haiba gani(wajuvi wa sifa za IQ watanielewa).Daaah,umepoteza kabisa utulivu wa akili!Hebu relax,kutukana hakukuongozei chochote!
Tujikite kwenye mjadala!Mengine hayo mnayoleta humu,ni kutukosea wasomaji!Kama vipi mfate PM ukamtukane huko!
Uko makini Kwa maana unamtukana mtu Kwa namna ambayo huwezi kupigwa ban!It's quite a shame!Niko jukwaani miaka mingi tu ila sijawahi kupigwa ban!Hayo matusi unayaona wewe..,Mimi niliwahi kupigwa ban hapa jukwaani.., hivyo niko makin na ninachokiandika hapa..,kama wewe umeyaona matusi basi ni mtazamo wako..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umenena vema,I couldn't agree more!Binafsi nimemjua huyu jamaa anayejiita KP Kipanya 44 kupitia Post zake na comment zake nikagundua ni mtu wa Illusions sana na akili yake ndipo alipoielekeza . Anaandika mambo mengi ambayo sio analytical na bahati mbaya kajiachia full mkoko kujua kumjua ni mtu wa haiba gani(wajuvi wa sifa za IQ watanielewa).
Sasa mtu wa aina hii mnapoingia kwenye mjadala akaona, anakuwa hataki kusikia fact zozote dhidi ya kile anachokipenda. NDIO MAANA KWAKE KUTUKANA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA. NA WATU WA HIVI HAWABADILIKI IWE KTK FAMILIA YAKE AU KAZINI.
ASAMEHEWE TU
Okey boss, kwanini tukimbize ukweli ilihali ukweli unakuja direction tuliyopo?Hakuna uchaguzi uliofanyika katika hayo majimbo, ni uchafuzi tu.
Ni Nani wanaosema kwamba nchi hii ni tajiri na nchi hii ni Masikini?Hivi japani inayoizidi Russia uchumi Ina hiyo energy unayoisema. Kwan matajiri wa Dunia kama Elon na Jeffo Wana hizo energy unazozisema.. maendleo ya Sasa ni akili sio resources ulizo nazo
Mwenye msongo wa mawazo ni wewe mvaa kobazi uliyefikiria fashisti Putin anaweza kuuangusha utawala wa zelensiky ndani ya siku 3,...akatumia askari wa parachute na kila nyenzo aliyokuwa nayo.., lakini mpaka Sasa tunaelekea mwezi wa 9 bado tu anapigishwa danadana na kataifa kadogo tu Tena jirani yake [emoji12]Huyu jamaa mpaka Sasa atakuwa na sonona pamoja na msongo wa mawazo mkali
Baada ya kuona nawanyima nafasi ya kutawala jukwaa,sio?Binafsi nimemjua huyu jamaa anayejiita KP Kipanya 44 kupitia Post zake na comment zake nikagundua ni mtu wa Illusions sana na akili yake ndipo alipoielekeza . Anaandika mambo mengi ambayo sio analytical na bahati mbaya kajiachia full mkoko kujua kumjua ni mtu wa haiba gani(wajuvi wa sifa za IQ watanielewa).
Sasa mtu wa aina hii mnapoingia kwenye mjadala akaona, anakuwa hataki kusikia fact zozote dhidi ya kile anachokipenda. NDIO MAANA KWAKE KUTUKANA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA. NA WATU WA HIVI HAWABADILIKI IWE KTK FAMILIA YAKE AU KAZINI.
ASAMEHEWE TU
Wasogeze pua mara ngapi wakati asikari wa super pawer wa mchongo wamezungukwa huko Lyman..,nyie watu mna kipaji Cha kujifariji aisee [emoji848]Hatari. Mtu asogeze pua sasa
View attachment 2373704
Iskander launchers reportedly being transported to Kherson region