Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hivi japani inayoizidi Russia uchumi Ina hiyo energy unayoisema. Kwan matajiri wa Dunia kama Elon na Jeffo Wana hizo energy unazozisema.. maendleo ya Sasa ni akili sio resources ulizo nazo
Kile kilikuwa kiinimacho kilichopewa jina la referendum Ili kuficha aibu ya kipigo kikali kilichotembezwa hivi karibuni..,huku kikimuachia super pawer wa mchongo hasara ya silaha kibao zenye thamani isiyopungua Dola billion 1Hakuna uchaguzi uliofanyika katika hayo majimbo, ni uchafuzi tu.
I thought people were leaving Russia [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2373222View attachment 2373223View attachment 2373224
A couple of people came to Moscow today...
Huwa sijibishani na Msungo hata siku moja, kalaghabhaoMwenye msongo wa mawazo ni wewe mvaa kobazi uliyefikiria fashisti Putin anaweza kuuangusha utawala wa zelensiky ndani ya siku 3,...akatumia askari wa parachute na kila nyenzo aliyokuwa nayo.., lakini mpaka Sasa tunaelekea mwezi wa 9 bado tu anapigishwa danadana na kataifa kadogo tu Tena jirani yake [emoji12]
Sasa hapa anayeweza kupata msongo wa mawazo kati ya mimi na wewe ni nani bibie,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hujaacha tu Tabia ya ukahaba bibie..,Mimi Kwa Sasa nimetulizana na mke wangu.., hicho unachotaka tufanye siweziHuwa sijibishani na Msungo hata siku moja, kalaghabhao
Source; almashauri ya kichwa chako [emoji2][emoji2][emoji16]usiku wa kuamkia leo drone za iran zimeipasua mifumo ya ulinzi wa anga wa nasmas pale maikolaiv
[emoji2935]Ni Nani wanaosema kwamba nchi hii ni tajiri na nchi hii ni Masikini?
Tuliaminishwa Sana kwamba Russia ni Masikini na hawajiwezi kabisa. Kumbe ikaja kugundulika kwamba hao Europeans ndio Masikini na wanamtegemea Russia.
Wanadefine wao utajiri kisha wanapanga wao nani tajiri kuliko nani!Ni Nani wanaosema kwamba nchi hii ni tajiri na nchi hii ni Masikini?
Tuliaminishwa Sana kwamba Russia ni Masikini na hawajiwezi kabisa. Kumbe ikaja kugundulika kwamba hao Europeans ndio Masikini na wanamtegemea Russia.
Mimi ni ndume,Hujaacha tu Tabia ya ukahaba bibie..,Mimi Kwa Sasa nimetulizana na mke wangu.., hicho unachotaka tufanye siwezi
Nisamehe Kwa Sasa bibie,Nina majukumu mengine,[emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
@TshBillboard in Donetsk city. "Thank Biden for our victory."View attachment 2373723
Nakaribia kumtia ignore list...Huyu jamaa ni mtu mzima lakini ana utoto mwingi mimi nilisha mu ignore muda Sana pamoja na yule jamaa wa kenya
Umeshajiuliza haya maswaliVita haijaisha ndio maana Russia kakusanya watu 300000 mtaani sababu anajua mambo bado
Ni full mziki. Hii vita ni funzo kwa EU na USA.[emoji298]️[emoji921] The 33rd ministerial meeting of the OPEC+ alliance will take place in Vienna on October 5, the organization said.
The event will be the first in-person ministerial meeting of the group since March 2020.
OPEC members are Algeria, Angola, Equatorial Guinea, Gabon, Iran, Iraq, Kuwait, Libya, Nigeria, the Republic of the Congo, Saudi Arabia, the United Arab Emirates, Venezuela, Ecuador, Indonesia and Qatar
OPEC+ includes Azerbaijan, Bahrain, Brunei, Kazakhstan, Malaysia, Mexico, Oman, Philippines, Russia, Sudan and South Sudan
Inategemea umeanza kusikia lini habari za super Power yumkini 2020kuwa great millitary power hakutoshi kuwa superpower, superpower inabidi uwe kinara kwenye nyanja zote kijeshi, kisiasa na kiuchumi na uwe na uwezo wa kuproject hizo powers kwenda huko duniani, nchi yenye uchumi km wa south korea inaanzaje kuwa superpower!!!!
Inasikitisha sana elimu yetu. Vijana wapo tu ....kupelekewa moto....fashist ....wa mchongo ....hàdi inatia huruma . Ni shule za ma pastpaper , ma review changanya na marks za mock unakuta one za pts 7 lakini ndio hamna kitu.Ujue nini bro, kuna nyakati unakaa chini unawaza hivi ni kweli Collective west ni mazuzu kiasi hiki? Ile "think tank" iliyopo nyuma ya viongozi wao kweli wamekaa wameona best options za kufanya ni haya wanayo yatekeleza hivi leo? Ni kweli hizo ndio products za vyuo bora duniani kama wanavyo tuaminisha? Unabaki na wasi wasi mtupu.
Sasa kuna mzee mmoja hivi ni baadhi ya lulu ambazo hazipewi nafasi wala airtime kwa majority. Ukiwasikiliza nini wanazungumza kuna baadhi ya mambo labda huenda unaweza kukubaliana na mimi.
Chukulia mfano clip below,
View attachment 2373563
Huyo mzee anaitwa John J. Mearsheimer, ni Distinguished Service Professor of Political Science hapo University of Chicago. CV yake tu unajua unazungumza na nani! Nimege moja tu kwenye title yake "Distinguished Professor"
Hawa Distinguished Professors ni wale traditionally researchers who can demonstrate outstanding research outputs, Distinguished Professor ni academic title given to some top tenured professors in a university, school, or department n.k so hapo you know the Man habahatishi juu ya kile anachokizungumza.
Kaanza kufundisha politics years ago hata mie binafsi nahisi sijazaliwa, toka 1982. His Bio iko hapa It's almost 40yrs to date. You can figure out how many regimes zimepita machoni mwake all over the worlds.
Someone like him anapokwambia US na West wanaiangamiza Ukraine ujue anaona mbali kwa kulinganisha kule tulikotoka. Ila hapa team flani wamekazana tu "dikteta" "fashist" "andunje" en so so so so sooo.
In that video kuna maneno kama haya utamskia anayasema, kwamba "The West is leading Ukraine down the primrose path and the end result is that Ukraine is going to get wrecked […] What we're doing is in fact encouraging that outcome." Akikazana kuwataka west wa'maintain neutrality ya Ukraine. Hayo akiyazungumza back in 2015 na ndio hiki tunakishuhudia leo.
It's my honor to have the same views like him, Hizi chaos zote zinazotengenezwa na collective west ni kutoka kwa hawa ma'clowns na Masters wao nyuma ya Pazia.
Na hata ile "think tank" behind hizi Clowns [emoji1782] ipo mlengwa wa maslahi ya wale walio nyuma ya pazia sio kwa ajili ya Raia na ulimwengu kwa ujumla.
Vitu kama ile terrorist act on NS-1, unaiona wazi kabisa inafanywa not for the good of the most people (Raia wa kawaida) bali for the few, very few who are benefitting most nazo zikiwa ni Corporation zinazofanya biashara kushibisha demand iliyotengenezwa through their own arranged crisis.