James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Pro NATO mimi na swali inakuaje Russia kuondoka na 15% ya ardhi kama alikua anazidiwa field
Vita haijaisha ndio maana Russia kakusanya watu 300000 mtaani sababu anajua mambo bado
Uhuru huku unatwaliwa maeneo yako zaid ya 15% wewe buana kuwa serous
Uhuru huku unatwaliwa maeneo yako zaid ya 15% wewe buana kuwa serous
Tazama wanajeshi wa Russia wamezingirwa huko Layman wanakimbia ovyo kama vichaa roho mkononi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama kaupiga wakutosha aseee
Mama ameupiga mwingi
Safi saanaKwa mara ya kwanza US anaenda mpa Ukraine ATACMS, hivyo daraja la Kerch lililo Crimea lijiandae
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Reinforcement underway relax and enjoy your weekendKwisha habari yao wajeda 5000 tunakwenda wakaaanga wamegoma ku surrender View attachment 2373850
Kazi gani hiyo iliyobakiaUkraine ni mwanachama shiriki (sio kamili wa EU) bado kuna masuala kadhaa ya kutimiza masharti ili iwe mwanachama kamili wa EU.
Suala ni "protection" kwamba ile "article 5" ya NATO itafanya kazi endapo Ukraine itashambuliwa ikiwa mwanachama wa NATO. Leo Zele kaomba tena NATO iharakishe taratibu za kujiunga.
Ana mawazo kwamba Ukraine ikiwa NATO itajaribu kuzidisha kupigana na itapata msaada wa NATO.
Ukraine yashindwa kuelewa kwamba Russia sasa hivi imeweka mitambo yote katika majimbo hayo manne.
Hii ni hatua ya pili imeisha, inofuata ni hatua ya tatu yaani Phase 3 kwa Russia kumaliza kazi kimoja.
Kwan kuna sehem nimeikana Mir hapo MKUU au nimeongelea Mir hem soma tena halaf uelewe nilichokiandikaHii kitaalamu inaitwaje. Si ulisema Mir itaanza kutumiwa na mataifa ya Ulaya, leo hii unaikimbia system yako pendwaView attachment 2372290
Hizo zoote ama nyingiUnaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷
1. Pepsi cola & Coca Cola beverages
2. Android
3. Appstore
4. iPhone
5. Human, animals & Plants vaccine
6. Wikipedia
7. WhatsApp
8. Facebook ( Meta)
9. Instagram
10. Tesla motors
11. Amazon products
12. Gmail account
13. Google products zote
14. Visa & Master card
15. ATM machine
16. Starlink internet connection
17. YouTube
Izo ni baadhi ya products ambazo Fanya ufanyavyo uwezi kuacha kuvitumia na apo ukiona umetumia ujue tayari ushaichangia dollars kupanda thamani
Ifike muda Pro NATO muelewe kwamba NATO kwa Russia ni dhaifu haina uwezo wa kupambana na Mrussi. Intel nzima ya NATO imepeleka silaha bado wamepewa tech mpaka satellite zimewasaidia lakn bado wameondoka na 15% ya eneo lenu tena lenye mali kibao.
Propaganda zinawamaliza nyie watu mnakumbuka kipindi cha ghost of kyiv? Badae tukaambiwa hakukua na hicho kitu. Juzi wamekiri HIMARS zilikua Useless.
Pro NATO mimi na swali inakuaje Russia kuondoka na 15% ya ardhi kama alikua anazidiwa field?? hana chakula?? Mara kaishiwa askari??
Pro-NATO [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]