Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

US na EU walisema RT na Sputnik news (vyombo vya habari vya Russia) hazitapatikana mtandaoni/internet. Russia akawaambia mkitaka kufanikiwa hilo mtalazimika kuzima Internet Dunia nzima lakini ikiwa internet itakuwa Bado ipo hewani vyombo hivi vya habari vitaendelea kupatikana.

Kwa Sasa vyombo hivi vya habari vinapatikana mtandaoni duniani pote ilipo internet.

Kwa maneno mengine hivyo ulivyoorodhesha vina mbadala.
====
Sina hakika kama umeelewa nilichoandika hapa.
 
Counter terrorist ianze huku asee [emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazama wanajeshi wa Russia wamezingirwa huko Layman wanakimbia ovyo kama vichaa roho mkononi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wazee wa referendum mpooooooooooooo
[emoji12][emoji16][emoji12][emoji16][emoji12][emoji16][emoji2][emoji12][emoji16][emoji2][emoji16][emoji12][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
 
Tazama wanajeshi wa Russia wamezingirwa huko Layman wanakimbia ovyo kama vichaa roho mkononi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Faida za referendum ni nini wakuu, mbona siielewielewi aisee [emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji28][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Counter terrorist ianze huku asee [emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, ukweli kama nilivyoeleza kipindi fulani kuwa sikuielewa mbinu ya Russia kuwapa wa Ukraine uraia na ni jana tu ndiyo nimekujakuewa baada ya kusaini makubaliano ya kuunganisha Yale majimbo manne. Basi Sasa ninaposoma hii habari pia hapa chini Sasa najua Russia Wana plan kibindoni na ningumu Ndugu zetu hawa kutabilika. Tuwape muda
====
As of the afternoon of October 1, Russian forces withdrew from the town of Krasniy Lyman of the Donetsk People’s Republic of Russia. Now, the fighting continues around the town, on the Zarechnoe-Torskoe-Dibrova line.

After the heroic defense of the town, warriors of the Lugansk People’s Republic and the BARS volunteer formation had to retreat to the defense line east of it in order to avoid the encirclement. LPR and BARS units were able to contain the advance of the overwhelming forces of the Kiev regime in the area for a long time and became an integral part of the Russian efforts to prevent the further development of the crisis in the sector. However, according to reports, the defense of the town of Krasniy Lyman became not possible after the withdrawal of regular units of the Russian Armed Forces from the countryside of the town. Actions on the Russian military command in this area is being publicly criticized in Russian patriotic media.

While, as it was noted earlier, the retreat from Krasniy Lyman was expected, it is still a signal of the actual situation on the frontline in this area in the conditions of the lack of manpower and not always optimal decisions of the Russian command.

As of the afternoon of October 1, the Russian command in the this direction is still unable to fully contain the operational crisis and events in this sector are developing according to a negative scenario.

If the situation evolves without changes, the area of Krasniy Lyman may be completely lost in the next 1-3 days, and the ability of the Russian troops and command to ensure the stabilization of the front in the Kremennaya area will become the next question.

Torskoye and Kremennaya will be the main points of clashes while nearby villages of Drobyshevo and Yampol are already captured by Kiev’s forces.

The current retreat from Krasniy Lyman is a logical consequence of the setbacks Balakleya and Izum. In particular, after the withdrawal from Izyum, the Russian military command was not able to completely stabilize the front on Oskol, which led to the advance of the Ukrainain Armed Forces through Redkodub.

On top of this, Krasniy Lyman became the first Russian town captured by the Ukrainian Armed Forces. The town, an official part of Russia, was left to the advancing enemy force and will have to be recaptured once again when the Russian Armed Forces finally stop the Kiev attack there and resume own offensive operations
 
Sasa rasmi Pentagon imelink na UKRAINE
so had kufikia december kuishambulia ukraine ni sawa na kuishambulia Florida
[emoji3][emoji3][emoji3] sio kwa kuchanganyikiwa huku, hahaha hao marekani ambao hata kupeleka mwanajeshi mmoja pale Ukraine wameshindwa, wataweza kuingia direct war na Russia? Kama kweli wao ni super power wawaondoe Urusi pale Ukraine...
 
Mnaanza kubadilisha maneno mara retreat mara encircled . Au 5000 wamekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…