King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Hakuna ushahidi wa urusi kumaliza silaha kwenye ghala lake kingine yote unayosema FSB wanajua na tena wanayajua Mengi zaidi na kingine ni kinachompa nguvu urusi Ni uwezo wa kupalinda nyumbani kwake pawe salama napia kuyalinda maslahi yake kwa uwezo mkubwa mfano Ni Syria mpaka leo bomba la gesi kutoka Qatar kwenda ulaya kwa kupitia Syria imeshindikana kabisa.Putin anakibarua kigumu sana mbele yake, alipotoka kuna mwanga anakokwenda kuna giza nene.
Ukraine anapewa msaada wa silaha, Russia inaendelea kupunguza silaha zake ghalani.
Huko mbele NATO wataingia vitani na Russia, Nadhani kwa sasa inamlazimu Putin kutotumia silaha za kisasa kwa sababu huko mbele zitahitajika kwa wingi kupambana na NATO.
Pamoja na Russia kwa sasa kuchanganya matumizi ya silaha za kizamani na kisasa naona shida iko kwa wanajeshi wake wanamuangusha sana Putin.
Labda kama kwa sasa anatumia mgambo ili baadae atumie wanajeshi kamili kupambana na NATO.
Hayo majimbo 4 ya Ukraine ambayo Russia wamejimilikisha sioni umiliki wake ukidumu, sioni Ukraine akimaliza vita bila kuyakomboa hayo majimbo.
Na Ukraine atafanikisha kujiunga NATO, ambapo NATO watamuongezea nguvu kuyakomboa hayo majimbo na hapo ndio vita ya Russia na Nato itaanza rasmi.
Mwezi huu utasaini mpaka uchoke,tunangojea sahihi ya mwisho ya crimea.
View attachment 2374486
Putin anakibarua kigumu sana mbele yake, alipotoka kuna mwanga anakokwenda kuna giza nene.
Ukraine anapewa msaada wa silaha, Russia inaendelea kupunguza silaha zake ghalani.
Huko mbele NATO wataingia vitani na Russia, Nadhani kwa sasa inamlazimu Putin kutotumia silaha za kisasa kwa sababu huko mbele zitahitajika kwa wingi kupambana na NATO.
Pamoja na Russia kwa sasa kuchanganya matumizi ya silaha za kizamani na kisasa naona shida iko kwa wanajeshi wake wanamuangusha sana Putin.
Labda kama kwa sasa anatumia mgambo ili baadae atumie wanajeshi kamili kupambana na NATO.
Hayo majimbo 4 ya Ukraine ambayo Russia wamejimilikisha sioni umiliki wake ukidumu, sioni Ukraine akimaliza vita bila kuyakomboa hayo majimbo.
Putin achange karata zake upya vita itatoka Ukraine itaingia Urusi.
Hakuna ushahidi wa urusi kumaliza silaha kwenye ghala lake kingine yote unayosema FSB wanajua na tena wanayajua Mengi zaidi na kingine ni kinachompa nguvu urusi Ni uwezo wa kupalinda nyumbani kwake pawe salama napia kuyalinda maslahi yake kwa uwezo mkubwa mfano Ni Syria mpaka leo bomba la gesi kutoka Qatar kwenda ulaya kwa kupitia Syria imeshindikana kabisa.
Nakingine hayo maeneo aliyochukua urusi,hayatokuja kurudi mikononi mwa Ukraine kamwe sababu tumeona hadi kwa crimea haikuweza kurudi tokea 2014, urusi ni father of nuclear weapons na anauwezo wa kuvimaliza vita kwanjia hiyo lakin hawana roho ya kishetani na kinyama ya kuua raia wengi ndani ya Ukraine wasio na hatia hivyo best option Ni special military operation ambaya inagharama kubwa lakini matokeo ni mazuri sababu haya maeneo ambayo amechukua na atakayo chukua siku za mbele hatakuja kuyarejesha kwa Ukraine.
Mbona unajiquote mwenyewe?Aisee!Pushilin ndiye kibaraka wa Putin huko Donetsk[emoji16]
point of weekness hiyo, anyepata 99 pia amekosa ila kafaulu, na anayepata moja pia amepata ila kafeli.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwezi huu utasaini mpaka uchoke,tunangojea sahihi ya mwisho ya crimea.
View attachment 2374486
Hivi nyie watu sijui mnafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili. Kwamba hizo silaha za nukes anazo Urusi peke yake siyo?Hakuna ushahidi wa urusi kumaliza silaha kwenye ghala lake kingine yote unayosema FSB wanajua na tena wanayajua Mengi zaidi na kingine ni kinachompa nguvu urusi Ni uwezo wa kupalinda nyumbani kwake pawe salama napia kuyalinda maslahi yake kwa uwezo mkubwa mfano Ni Syria mpaka leo bomba la gesi kutoka Qatar kwenda ulaya kwa kupitia Syria imeshindikana kabisa.
Nakingine hayo maeneo aliyochukua urusi,hayatokuja kurudi mikononi mwa Ukraine kamwe sababu tumeona hadi kwa crimea haikuweza kurudi tokea 2014, urusi ni father of nuclear weapons na anauwezo wa kuvimaliza vita kwanjia hiyo lakin hawana roho ya kishetani na kinyama ya kuua raia wengi ndani ya Ukraine wasio na hatia hivyo best option Ni special military operation ambaya inagharama kubwa lakini matokeo ni mazuri sababu haya maeneo ambayo amechukua na atakayo chukua siku za mbele hatakuja kuyarejesha kwa Ukraine.
🤔"If I was the President of Russia the time NATO invaded Libya, Muammar Gaddafi would still be alive because an invasion in any part of Africa by then would have meant an invasion in Russia " ~ Vladimir Putin https://t.co/GaKpfgwwBW
Ndio, Ukraine na Russia ndio nchi mbili za mwanzo kuanzia USSRNikuulize swali. Kabla ya USSR kulikuwa na nchi iitwayo Ukraine!? Je Ukraine imezaliwa mwaka gani!?
Rudi kwenye darasa la historia, Ukraine na Russia ndio waanzilishi wa USSR.Nikuulize swali. Kabla ya USSR kulikuwa na nchi iitwayo Ukraine!? Je Ukraine imezaliwa mwaka gani!?
unatoa mfano wa sadam hussein compared na russia!! unashangaza na aliyesema iraq ina silaha za maangamizi ni Usa au ni Iraq?Hivi nyie watu sijui mnafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili. Kwamba hizo silaha za nukes anazo Urusi peke yake siyo?
Kuna mataifa yanazo lakini huwezi kusikia wakijigamba kuzitumia lakini ni mwendawazimu pekee anayejigamba kuzitumia as if anazo peke yake.
Yale yale ya Saddam Hussein kujigamba ana silaha za maangamizi hivyo alimtishia USA asithubutu kuivamia vinginevyo dunia ingeshuhudia maafa makubwa.
Kilichotokea kinaeleweka kwa kila mtu hadi kufikia mbabe uchwara Saddam Hussein kunyongwa hadharani.
maneno mazuri na yanafariji"If I was the President of Russia the time NATO invaded Libya, Muammar Gaddafi would still be alive because an invasion in any part of Africa by then would have meant an invasion in Russia " ~ Vladimir Putin https://t.co/GaKpfgwwBW
Hii ulimwengu wakisasa kustaarabika hua nashangaa snaUlimwengu wa sasa umestaarabika ukiringanisha na zile nyakati za WWI & II; kwa sasa kila kitu kinaenda taratibu ili kuwepo na sababu ya pamoja ya kuvamia
Kichapo kinakolea ..,Sasa hatuna budi kutafta maneno ya kupata huruma tu, hakuna namna"If I was the President of Russia the time NATO invaded Libya, Muammar Gaddafi would still be alive because an invasion in any part of Africa by then would have meant an invasion in Russia " ~ Vladimir Putin https://t.co/GaKpfgwwBW
Ungekua unaelewa mana ya Neo nazi usingeuliza hili swaliWanazi huwa wanaua mashoga. Inawezekanaje Ukraine wawe Wanazi na mashoga??!
"If I was the President of Russia the time NATO invaded Libya, Muammar Gaddafi would still be alive because an invasion in any part of Africa by then would have meant an invasion in Russia " ~ Vladimir Putin https://t.co/GaKpfgwwBW