Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ahsante kwa majibu yako ila ntakujibu kwauachache MKUUBoss nisamehe kwa majibu marefu, ukiona yanakuchosha achana nayo yapuuze:
Ushoga sio jambo jipya kihistoria. Unasababisha kukuchallange kwa hoja kuwe kugumu sababu unautumia ukijua kabisa hata wenye maoni tofauti itabidi watulie sababu umeshatanguliza ushoga kama silaha na atakaye kuchallange inakuwa kama anausapoti.
Tukiweka hitilafu ya ushoga pembeni, dunia ya leo imestaarabika. Asiye na nguvu anaweza simama akajitetea na akasikilizwa au kusaidiwa.
Tunapoelekea ubabe wa kijeshi baina ya nchi huenda ukapoteza ushawishi, ubabe wa kiuchumi na kiteknolojia ndio utashika kasi. Demand and Supply zitakuwa ndo msingi wa mwenye nguvu. Mwenye bidhaa inayohitajika na kutatua tatizo la wahitaji ndiye atakayekuwa na nguvu.
Siku dunia ikishuhudia tishio la kutawaliwa na viumbe kutoka sayari nyingine itaharakisha uwepo wa serikali moja ya wanadamu.View attachment 2374721
(Hii ipo kinadharia zaidi).
Ila ikatokea sababu yoyote binadamu wakawa na mwingiliano kwa kiwango cha kushindwa kutofautisha mrusi na mkenya kama ilivyo ngumu kutofautisha mchaga na msukuma ukipishana nao kariakoo basi dunia itakuwa na serikali moja isiyo na mipaka ya nchi. Imagine wazungu, wahindi, waafrika wana uraia kila sehemu kwa idadi kubwa kiasi kwamba kupishana na mtanzania mweupe ni kawaida au watu wenye mababu kutoka upareni wawe wapo kila sehemu huko Urusi na historia yao imefutika.
Ikifikia hapo pamoja na ukuaji wa teknolojia, uwezekano wa binadamu kuwa na serikali moja ni mkubwa, Nchi zitakuwa kama mikoa na hapo ushawishi wa kijeshi wa mtindo wa sasa hautakuwepo.
Tunaweza tusishuhudie sisi au wajukuu ila huenda huko mbele hili likatokea. Sijui, ila huenda.
Katika hadithi za kiimani kuna hii scenario ndani ya biblia View attachment 2374702
Yanasemwa mengi kiimani lakini ukitazama nje ya imani huo mchanganuo wa sanamu katika kipande cha miguu unauhalisia na tunapoelekea, binadamu kuchangamana, kuoana na dunia kuwa kama kijiji kimoja.
Swali lako sijui limekusudia nini ila ntalijibu kwanlivyoelewaSwali dogo tu nikuulize,miji ya Mombasa na Unguja ina mashoga wengi sana na miji hii kwa 95% inakaliwa na watu wa Dini moja.Unataka kuniambia hiyo miji na yenyewe ni Pro West?
Hapo juu nimenukuu kakipande kwenye koment yakoWw ndio naona umekomaa na ushoga ushoga.
Kwa nchi zetu hizi ngozi nyeusi sawa. Naunga mkono binafsi sio suala zuri. Lipigwe vita
Naongelea kwa wenzetu ambao hawana uchumi wa kuunga unga kama sisi.
Wao huko ndio hawako vize na hizo mambo maana uchumi tayari wanao.. right now wanapigana na international incidence. Kwa hizo ni minor issues
Siamini kama hujawahi fika katika hiyo miji Kaka.Dada unao ushahidi wa Hilo uliloandika??!!?
Kuna mtawala wa Uganda Kabaka Mwanga 2 alikutana na waarabu waliofika kwa biashara ya utumwa na nyingine licha ya kumfundisha dini ya Mwanyazi mungu wakamfundisha mambo ya Ushoga piaAhsante kwa majibu yako ila ntakujibu kwauachache MKUU
Hakuna aliesema ushoga jambo jipya najua lipo tokea enzi ila naomba rudi miaka 150 nyuma umeeahi muona kiongozi gani ama aliestaarabika yupi alisimama kuutetea ushoga kama wanavyofanya hao mnawaona eti wamestaarabika
Hoja yangu nikwamba ushoga upo zamani ila watu hawakukaa majukwaani kuulinda na kuupigania iwe kawaida kama ilivyoleo
Kukaa kutegemea kwamba kuna siku dunua hii itakuja iishe vita unakosea sana hio siku haipo sababu kabla ya ww1 na ww2 zilipiganwa vita nyingi tu kubwa na ndogo ndogo
Mwisho kutegemea eti kuna siku uonevu utaisha duniani hili nalo lisahau tena lisahau kabisaa ulikuepo upo na utaendelea kuepo
Hao viumbe achana nao hizo story tu zakutungwa
Sikutumia ushoga kama nn hapana nlitumia tu kama kigezo cha watu kutokustaarabika kwenye zama zetu kuliko zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama miji hiyo unakiri ina mashoga na si Pro West kwanini basi watu hapa wanaosimama na Ukraine mnakimbilia kuwahusisha na kutetea ushoga? Kumbe basi swala la ushoga lipo sehemu zote Duniania na Russia ikiwemo.Nikadhani Putin kwake ni 100% hakuna mashoga.Swali lako sijui limekusudia nini ila ntalijibu kwanlivyoelewa
Kwanza kabla sijaendelea huko kwengine nataka nikuulize umekaa MOMBASA umekaa ZANZIBAR!!?
Hayo maeneo sio kwamba hakuna mashoga hapana ila ukiwafatilia mashoga waliopo huko huwez fananisha mashoga waliopo LONDON na PARIS
Pia mashoga waliopo huko wapo wengi tu waliotoka nje ya hapo kuanzia MALINDI KISAUNI nk
Nahuku kuanzia MICHENZANI AMANI nk mpaka leo hii znz watu wanajiuza wengi kutokea sehem mbalimbali
Jengine hapa nnaloona unalijengea hoja unalikosea sana kua dini fulani hakukufanyi kua pro west ama pro fulani hayo nimaamuzi yamtu
Jengine MOMBASA na UNGUJA nk kote DUNIANI kwenye mashoga nizao lautetezi la west ambao kwao wanasimama kabisa kuutetea na kuulinda nakuutukuza ushoga
Mwisho:- koment yangu ilianzia kuonesha how dunia yasasa haijastaarabika ukilinganisha na zamani zamani ilikua fakhari ke kuolewa na me ila leo imekua kinyume chake
Kuna sheria kabisa zinatungwa na UN kusimamia mashoga na wasagaji sijui wenye nguvu na UN nani ama mataifa yanayopigania ushoga sana niyapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukurupuka soma kwa makini uelewe, sio kuwaza ujinga alwaysHujajibu maswali ya msingi, umepuyanga tu punguza mahaba!
TonvwanvebeKama miji hiyo unakiri ina mashoga na si Pro West kwanini basi watu hapa wanaosimama na Ukraine mnakimbilia kuwahusisha na kutetea ushoga? Kumbe basi swala la ushoga lipo sehemu zote Duniania na Russia ikiwemo.Nikadhani Putin kwake ni 100% hakuna mashoga.
UpupuHivi wew unaumwa ety, huyo sadamu kila silaha zake alikua ananunua kutoka kwa nchi za Magharibi hasa marekani pamoja na washirika wake Kama ufaransa Sasa unafikiri angeweza kuwadhibiti yaani anayekuuzia silaha ashindwe kujua na udhaifu wa hizo silaha bila kusahau na sanction walizompiga ulifikiria angechomoka. Kilichomponza sadamu Hussein nikushindwa kujua unafiki wa marekani na washirika wake ya kwamba hawana rafiki wa kudumu Wala adui wa kudumu isipokuwa Wana maslahi tu.
Usichokijua ni kwamba mwaka 1960 nchi ya iraq ilianzisha program za nyuklia ambayo walitanabaisha nikwamatumizi ya kisayansi na nishati, na harakati hizi zilikuwa zikifuatiliwa kwa umakini na ukaribu sana na nchi za Magharibi wakiongozwa na marekani lakin hawakuzitilia maanani sababu hawakuona uwezo wa iraq kisayansi kuunda bomu la nyuklia ambapo Iraq ilitoa dola millioni 300 kwa ufaransa na kinu cha nyuklia Cha osirik kilianzishwa lakini kutokana na uongo na unafiki wa marekani na washirika wake hasa ufaransa, walishirikiana na Israel kukipiga kinu cha nyuklia Cha Iraq kikiwa kimegawanyika kwa tamuz 1 kinu kikubwa na tamuz 2 kinu kidogo kwa Israeli kutumia Ndege za F15 na F 16,ety kinu hicho kilikuwa na mlengo wa kuunda silaha za atomiki.
Saadamu Hussein angekua na akili angeweza kusoma alama za nyakati lakin kwa kushindwa kujua hilo walizidi kumtumia Kama kondomu katika vita vya takribani miaka 10 na Iran ya Ayatollah khomein, iraki akipewa silaha za sumu na marekani pamoja na washirika wake, vita ikaisha Saadamu Hussein akishindwa na Jambo hili liliwaudhi sana marekani na washirika wake sababu lengo ilikuwa kuwamaliza wote hasa Irani ili iwe njia nyepesi kumfagia sadam.
Marekani alivyosema sadamu ana WMD( a weapon of mass destruction) wakati aliwahi kumkabizi katika vita ya Iran na zikaua watu wengi huoni hicho ni kituko afu ndio amtishie marekani sababu hakujua waliompa wanajua jinsi ya kukabiliana nazo na kumshughulikia, hivyo huyo hakua threat kwao bado mfano wako niwakitoto sana sababu hata baada ya kuivamia Iraq hizo silaha mbona hatukuziona sababu uchunguzi ungefanyika ingejulikana nany aliyempa ndio maana mpaka leo ni kimya(hapa nimekujibu kwakuwa uwezo wako Ni mdogo cjataka kukuonyesha behind the scenes ya sadamu na Iraq na mpaka kuvamiwa na marekani, ili nisiharibu thread ya watu).
Urusi teknolojia yake ya kijeshi asilimia kubwa 99% inatoka kwa wanasayansi wake wa ndani bila kusahau eneo lake la kaptsin yard, hivyo the remaining 1% ndio anatoa nje tena haweki kwenye system zake za kiulinzi au tegemezi kwa kujilinda no nikujua tech iliyopo humo nakama kuzitumia nikwahizi special military operation mfano drone za irani. Hivyo kusema cjui wamvamie Kama Iraq afu wamkamate putini wamnyonge hadharani Kama sadamu aliyekua anapokea 100% ya silaha kutoka nchi za Magharibi, basi unaota na mfano huu wakwako niwakipumbavu na unaonyesha nikwajinsi gany! hicho kiungo chako kinauwezo wa kufikiria.
Urusi hajisifii kwamba atalitumia nawala cjasema kwamba amelitumia, ni wew tu umekurupuka, lengo la nyuklia yake ni kulinda nyumbani kwake na kingine yeye Ni father of nuclear weapons sababu ndio anayomengi kuliko hao westerns, na hiyo ni Kinga tosha.Mpaka hapa wew ndio unamatatizo makubwa na dishi lako lishayumba vibaya sana inabidi ubadilishe housing ya dishi lako nasikunyingine usinikurupukie na mifano yako ya kitoto yenye upumbavu mkubwa na dharau ndani yake.