Senior Bachelor ll
Senior Member
- Sep 7, 2022
- 182
- 378
Ni huzuni kwa kweliWanaume wa kweli wanatembeza kipigo haswa ,si maneno ya fashisti Putin kujifariji jukwaani wakati huko field anapelekewa moto hatari [emoji2][emoji1787][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni mtazamo mkuu sijakulenga wewe
Kama mwenzie ndo kaanza kumtukana unataka afanyeje mkuu.Acha kutumia lugha za matusi, nyie ndo mnataka kuharibu heshima ya JF of Gt
Ukikosa hoja sio lazima uchangie
Au tafuta forum nyingine yenye lugha Kama za kwako
Alie muhusisha pro west na ushoga nimie ama umekosea dada angu !!!??Kama miji hiyo unakiri ina mashoga na si Pro West kwanini basi watu hapa wanaosimama na Ukraine mnakimbilia kuwahusisha na kutetea ushoga? Kumbe basi swala la ushoga lipo sehemu zote Duniania na Russia ikiwemo.Nikadhani Putin kwake ni 100% hakuna mashoga.
Namaanisha tu save vya kwetu. Huko kwingine hata upige kelele vipu hawatokusikia.Kwa nchi zetu hizi ngozi nyeusi sawa. Naunga mkono binafsi sio suala zuri. Lipigwe vita Hapo juu nimenukuu kakipande kwenye koment yako
Inamaana huko kwengine sawa tu au vp MKUU
Poleni sanaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nenda kauogee.Upupu
Aaah sawaNi mtazamo mkuu sijakulenga wewe
Aaah hapa sasa nimekuelewaNamaanisha tu save vya kwetu. Huko kwingine hata upige kelele vipu hawatokusikia.
Isitoshe kila nchi ina matatizo yake, ww unadhani kelele unazopiga hapa wanakusikia?
Tudili na vya nyumbani. Tulinde vya kwetu. Vya nje waachie wenyewe na mambo yao
Dah !Nimeishia hapo "urusi anafanya operesheni wkt ukraine wako vitani"
Excuse my language who said hiyo sio vita?
Kwanza ukraine ndio yupo nyumbani, anavamiwa. Ungetaka wakae wa relax tu?
To me nchi yoyote duniani ina haki ya kupigania eneo lake pale linapo vamiwa.. na anae kuvamia hata kama ni nyumbani kwako ni kwamba ana tafuta vita. And hiko ndio kinachotokea.
Special OP zinakuwa carried out na sf units mara nyingi. Huwa hazitangazwi mpaka baadae sana hali ikitulia.
Hii ni convetional war
Kwani ni nani aliesema hii ni Special Op?Sahihi kabisa, hawa pro Russia wamekariri neno 'special operation' wakashikilia tu hapo hapo.
Na hao ni wale well trained, ngoja mwezi ujao wale mobilized wakiingia, wale wengi watajisalimishaRussia wa kukimbia pambano kweli? [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hizi lugha za matusi hazipendezi mkuu , wakati mwingine inabidi tuzikemee mapemaKama mwenzie ndo kaanza kumtukana unataka afanyeje mkuu.
Amwachie mungu,sio?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dini na chuki zakusumbuaRussia [emoji635] has occupied four region of Ukraine [emoji1255]
America [emoji631] has occupied four region Guantanamo bay Cuba [emoji1083] and 3 regions northern Syria [emoji1238]
Israel [emoji1134] has occupied 70% of Palestine land [emoji1193] and Goran height Syria
UK [emoji636] has occupied Faulkland island Argentina [emoji1033]
Who is going to teach who about the land grabbing?
Who is going to teach who about International law?
Inasikitisha saanaWhat's the point of this,
Nachoweza kusema Russia arudi nyuma ajitafakari, napenda kuwasilisha quote kutoka kwa famous Germany philosopher inasema "Battle not with monsters, lest ye become a monster, and if you gaze into the abyss, the abyss gazes also into you.” hichi ndicho kilichomkumba mrusi na marais wengi waliotoa serikali onevu madarakani, baada ya kutoa uovu wao ndio wanakaimu nafasi hio ya uovu. Russia anafanya unyama aliofanyiwa na Ujerumani ya kinazi, kama kulipua hospitali, mashule, makazi ya watu kama sio kitu.