Wonders shall never end ,yaani msukule kama wewe unayeishi shithole country kama Tanzania Una akili ya kudoubt decisions na leadership ya viongozi WA taifa la ujerumani , duh!Ukimtoa kansela wao nadhani huyu mwanamke ataingia kwenye historia ya Ujerumani ya kuwa kiongozi mjinga aliyeuza uchumi wa nchi yao.
NATO kazi yake ilishaisha USSR ilipovunjika. Kazi iliyobaki ni kuulinda ukubwa wa US na kuidhibiti Ulaya. Kwa bahati mbaya Ujerumani imeangukia pabaya sana kwa viongozi walionao kwa sasa: Bomba la kusafirisha gesi limelipuliwa. Gesi ambayo aliyokuwa anaipata kidogo sana. Na aliyelipua ipo wazi ni US.
Haitoshi US anampora wawekezaji kwa sababu nishati ya gesi si yenye kutosheleza Ujerumani imepelekea gharama yake kuwa kubwa na licha ya kuwa kubwa lakini si yenye uwezo wa kuendesha mitambo mikubwa kiufanisi kwenye shughuli za uzalishaji.
Hili kwa US imekuwa ni fursa!Anawahamisha wawekezaji kutoka Ujerumani na anawapatia bei nafuu ya nishati ya gesi na matokeo yake makampuni makubwa yanaondoka Ujerumani na yameshaanza kuondoka. Na kibaya zaidi kura zilizoendeshwa kwenye vituo vya runinga kukusanya maoni ya raia ya kwamba ni nani aliyelipua bomba la usafirishaji wa gesi? Raia wa Ujerumani kwa takribani 90% wamejibu ni US.
Ajabu viongozi kama Christine hotuba zake zinawagharimu Ujerumani na mara nyengine zimekuwa zikitofautiana na za kansela wake. Nimegundua kwenye changamoto kubwa kama hizi zinazowakumba Ulaya kwa sasa nimejifunza ukiwa na viongozi wanawake jiandaeni kutoa matamko ya ujinga na maamuzi kuwa ya kijinga zaidi. Tofauti na wanaume wanazungumza na kurudi nyuma ijapokuwa nao maamuzi yao ni ya kijinga ila ya wanawake ni ya kijinga zaidi ukimtoa kansela wa Ujerumani mwana mama aliyepita; pekee ndiye mwenye akili.
Akikujibu unitagKuna watu wanalazimishwa na serikali za West kuwa mashoga?!
Wakikataa kuwa mashoga wanafanywa nini? Adhabu/Hukumu ya mtu kukataa kuwa shoga huko US au Ulaya ni ipi?
Ndio maana nikakukumbusha mifumo mingi ya mashambulizi ya nuke ikiwemo ndege.Nadhani hujanisoma. Why nasema kwanini russia asianze.
Wenzetu wana mifumo ya detection of any nuclear launch. From satellites to ground based comms.
Hamna mahali nimesema ati ikiwa launched na wenzako wana launch hapo hapo no
For the record tu ni kuwa US peke yake ana nuclear weapons nyingi kuliko nchi wananchama wa NATO, na hapa jumlisha european contries zilizopo NATO.
Sisem its impossible nasema itakuwa detected
Unaandika garbage tupu .Inasikitisha mno, lakini kuna kingine chashangaza sana. Haya mataifa ya Europe viongozi wao wana nini? Mbona adui yao ni 'rafiki" yao na bahati mbaya sijui niseme nzuri huwa hajifichi anajiweka wazi na wao wanafanya kuhamisha lawama kwa asiehusika? Nini tatizo haswa?
Mfano kwe hii clip nyingine ni State Secretary Blinken, msikilize vizuri [emoji101][emoji101][emoji101]
View attachment 2375174
Kwamba "It’s a tremendous opportunity to once and for all remove the dependence on Russian energy" zaidi anaenda mbali anasema hiyo itakuwa ni fursa kwa US companies katika kufanya biashara.
Yet bado wanawekwa bussy kupigana proxy war with Russia, Kweli?
Vile US alivyo na roho mbaya hajali kama Germany itakuwa out of competition kwenye soko kutokana na cost kubwa za uzalishaji wao wanalenga faida gani wao kama wao wanaipata.
Namnukuu tena Kissinger, "It's dangerous to be US's enemy but to be her friend is fatal".
Hivyo ndio United Shit States anavyo monopolise everything wajinga wasio elewa mambo yanaendaje wanaona kama kila kitu kinazaliwa na kubarikiwa kwa hao demons [emoji84][emoji84][emoji84] na bila wao hakuna kinachofanyika.
LiMsukule lingine hiliWanakunyima misaada.
Mbaya zaidi wameshapachika ktk vinchi vyetu hivi viongozi waoga, tegemezi na ombaomba. Hawana njia yakujikwamua na umasikini zaidi ya kuomba. Na wamebrain wash raia nyumbu km wewe kazi inakuwa raisi tu.
Magufuli was always right.
Wasipoandamana kwa hivi sasa ni wapi? Afadhali huko west wanaandamana na jioni wanarudi makwao kwa familia zao. Je huko Urusi kitu gani kinawapata waandamanaji?Tayari viongozi wengi tu huko ulaya wame step down. Uchumi huko ulaya unaporomoka. Wananchi huko ulaya wanandamana kila kukicha.
Kwanza jifunze kuandika, hii ni mara pili nakukumbusha, kama hujachelewa rudi shule. Kweli huoni Putin anavyoteseka. Toka February mwaka huu ni siku inakaribia 200 na hivi sasa inabidi awapeleke hadi mataahira vitani tena kwa nguvu.Hebu niambie unposema wamemshughurikia Putin kisayansi hebu tuoneshe analytical result namna gani Russia imeshughulikiwa.
Hivi Ruble ni mdudu gani? Inaimarika wapi, huko huko Urusi au wapi? Tanzania? Acha utani. Hapo ulipokaa nikikushia Dola na Ruble utachagua ipi? Kati ya Euro na Ruble utachagua ipi. Acha unafiki we kijana. Kwa sasa Dola moja ni Ruble 60!1. Ruble inazidi kuimarika.
Sawa kadai kayateka lakini nani nje ya Russia kayatambua? Hebu subiri, jikoni maji yanachemka. Tayari Russia imewekwa katika kundi la terrorist country na inazidi kulaaniwa na dunia nzima.2. Tayari majimbo manne yameenda Russia.
Na kweli amefanikiwa kuondoa nguvu ya kijeshi ya Ukraine...believe this and you will believe anything!Halafu unatakiwa uelewe lengo la Russia ni:-
1. Kuondoa nguvu ya Kijeshi ya Ukrain
Na sisi tuvamie Kenya kukomboa majimbo yanayozungumza Kimasai? Hii ni nguvu ya hoja au hoja ya nguvu.2. Kukomboa majimbo ya maeneo ya wanaozungumuza ki russia.
Ngoja nicheke, unanitaka na wewe umekuwa Putin wa TZ? Je maelezo ya maana wewe hapo unao uwezo wa kuyaelewa?Sasa nakutaka uje na maelezo ya maana.
Waliiba mpaka nguo za ndani za wanawake , sijui walikuwa wanapeleka Urusi kuuza kama mitumba ? yaani Hamna jeshi pale Urusi kuna magenge ya panya road , the most undesciplined army that I have seen ,it's not even an army it's a cartel of thugs and drunksHuo ndio uhalisia wa Russia, nilishangaa sana walivyokosa vyakula wakaanza kuiba kuku! Utashangaa zaidi ukisikia kwamba pesa za vyakula vya wanajeshi zimepitiwa na washikaji fulani wa putin.
Ukija kwenye karatasi sasa wee Russia inatisha, kuna vichwa panzi nimeona etii oooh sub ya mrusi haijulikani ilipo. Wakati katika mambo ya sub wajuzi wenyewe wanakwambia sub zao hazipigi kelele kulinganisha na za kirusi.
Kunya anye kuku ( usa), akinya bata (Russia) minenoo mingii inawatoka.. Mwaka huu lazima chozi liwatokeMbona USA alipiga na Dunia ikaelewa fresh tu?
Acheni Russia nae awatupie tu huo mzigo,tutamuelewa tu Maana hata cha kumfanya hatuna.
Jibu hoja Acha kuandika mashudu hapa , umeulizwa huyo mjinga wenu akilipua hiyo miji hao Wengine wenye nukes Europe watakuwa wamemwangalia Tu ?Nuclear ikishaachiwa haina solution , Uwe umelala au umeamka. Ishu hapa ni Dunia KUWEKA mambo sawa. Vijana wengi humu wanaichukulia US kama mungu wao anayeweza yote . Nadhani vijana watoke wakajifunze nuclear.
Hii ni silaha ambayo atakayeipiga hataeleweka na Dunia na atakayepigwa nayo na jirani zake hawatarudi kwenye hali zao. Ndio maana hakuna mshindi katika hii vita
Mzee unaandika mashudu tu hapa. 😀 😀 😀Wasipoandamana kwa hivi sasa ni wapi? Afadhali huko west wanaandamana na jioni wanarudi makwao kwa familia zao. Je huko Urusi kitu gani kinawapata waandamanaji?
Kwanza jifunze kuandika, hii ni mara pili nakukumbusha, kama hujachelewa rudi shule. Kweli huoni Putin anavyoteseka. Toka February mwaka huu ni siku inakaribia 200 na hivi sasa inabidi awapeleke hadi mataahira vitani tena kwa nguvu.
Hivi Ruble ni mdudu gani? Inaimarika wapi, huko huko Urusi au wapi? Tanzania? Acha utani. Hapo ulipokaa nikikushia Dola na Ruble utachagua ipi? Kati ya Euro na Ruble utachagua ipi. Acha unafiki we kijana. Kwa sasa Dola moja ni Ruble 60!
Sawa kadai kayateka lakini nani nje ya Russia kayatambua? Hebu subiri, jikoni maji yanachemka. Tayari Russia imewekwa katika kundi la terrorist country na inazidi kulaaniwa na dunia nzima.
Na kweli amefanikiwa kuondoa nguvu ya kijeshi ya Ukraine...believe this and you will believe anything!
Na sisi tuvamie Kenya kukomboa majimbo yanayozungumza Kimasai? Hii ni nguvu ya hoja au hoja ya nguvu.
Ngoja nicheke, unanitaka na wewe umekuwa Putin wa TZ? Je maelezo ya maana wewe hapo unao uwezo wa kuyaelewa?
⚡️⚡️⚡️Some UK power plants may close due to a lack of gas. In doing so, huge pay for non-compliance.Wasipoandamana kwa hivi sasa ni wapi? Afadhali huko west wanaandamana na jioni wanarudi makwao kwa familia zao. Je huko Urusi kitu gani kinawapata waandamanaji?
Kwanza jifunze kuandika, hii ni mara pili nakukumbusha, kama hujachelewa rudi shule. Kweli huoni Putin anavyoteseka. Toka February mwaka huu ni siku inakaribia 200 na hivi sasa inabidi awapeleke hadi mataahira vitani tena kwa nguvu.
Hivi Ruble ni mdudu gani? Inaimarika wapi, huko huko Urusi au wapi? Tanzania? Acha utani. Hapo ulipokaa nikikushia Dola na Ruble utachagua ipi? Kati ya Euro na Ruble utachagua ipi. Acha unafiki we kijana. Kwa sasa Dola moja ni Ruble 60!
Sawa kadai kayateka lakini nani nje ya Russia kayatambua? Hebu subiri, jikoni maji yanachemka. Tayari Russia imewekwa katika kundi la terrorist country na inazidi kulaaniwa na dunia nzima.
Na kweli amefanikiwa kuondoa nguvu ya kijeshi ya Ukraine...believe this and you will believe anything!
Na sisi tuvamie Kenya kukomboa majimbo yanayozungumza Kimasai? Hii ni nguvu ya hoja au hoja ya nguvu.
Ngoja nicheke, unanitaka na wewe umekuwa Putin wa TZ? Je maelezo ya maana wewe hapo unao uwezo wa kuyaelewa?
Mkuu, naomba nikumbushe kitu kuhusu mahusiano ya hawa jamaa watawala wa Dunia.Kwamba order yoyote inatoka Russia Marekani anajua nadhani huko ni kuabudu SASA. Katika mifumo ya mawasiliano ya kimedani huwezi jua KILA kipande cha habari na execution za order za nuke ni fraction of a second.
Kama una average level ya uelewa utakiri kwamba tayari Putin muda mrefu alishaamuru vikosi vya nuke KUKAA katika mkao wa mapigano. Kwaiyo Amri hii haikuwa siri .
Amri nyingine hatuwezi kusikia zikitolewa hadharani yumkini Amri ya kusogea kwenye target imeshatolewa ndio maana baadhi ya submarine zimeenda kwenye maeneo ya ki strategia . Wanachoweza kujitahidi hao USA na wenziwe ni kuzifuatilia hizo nyambizi kujua zipo point gani lakini pana ugumu pia
Hata ukizigundua hizi nyambizi uamuzi wa kuzilipua ni ngumu sana kutokana na madhara yake KWA waliomo na wasiomo. KWA mtu matured atakubali kwamba hakuna taifa linapenda ama lipo tayari kubeba LAWAMA ya kuwa chanzo cha madhara ya milipuko ya nuke. Tukiwa wachanga tuna reason kiuchanga kwamba USA atalipua , UK atafanya hivi.
Kama Russia ana nuke war heads 2500 ni hatari kama KWA wataachia 100 tu kwenye targets . Tayari tunavyozungumza miji kadhaa ya NATO ipo kwenye target midomo ya nuke imeelekezwa huko BADO kuboneza tu
Naomba ndugu tujadili nuke katika hali ya ukomavu kwakuwa ni msiba wa Dunia nzima sio mechi ya SIMBA na Yanga
Russia kamatia hapo hapo.. Hadi uchumi wao ufe kabisa kenge hao⚡️⚡️⚡️Some UK power plants may close due to a lack of gas. In doing so, huge pay for non-compliance.
Liz Truss may offer to send Putin fines payments, but this is unlikely to help⚡️⚡️⚡️
Narudia pale pale. Detection haifanyiki kwa ndege tu.Ndio maana nikakukumbusha mifumo mingi ya mashambulizi ya nuke ikiwemo ndege.
Hata katika silaha conventional huwezi kudetect rubani anaboneza kitufe muda gani ILA utaweza kuiona ndege na kuyadungua makombora.
KWA nuke kama rubani kafika eneo la tukio hata ukimdungua ni kama umejidungua mwenyewe . Hiyo ni mionzi itasambaa tu.
Hizo fikra kwamba USA ana capacity ya kujua kitufe kinabonezwa muda gani kutoka launchers zote huko ni kuabudu ambako ndio sifa ya mtanzania . Tunaabudu kirahisi sana kwa fix na porojo tu za kitaa
Swali zuri sana. Both sides hazitaki kurudishwa zama za mawe. Lakin nani atamfunga paka kengele?Vita ya nuke haina mbabe wakuu hiyo mizigo ni tatizo...tunaposhabikia kwamba nuke za urusi zimeelekezwa kwenye miji mbalimbali ya NATO members swali linakuja je hao walengwa wao hawana hizo nuke?
Na kama wanazo je hawawezi kufight back,?
Je pro Russia mnafikiri Putin Yuko tayar kuona Moscow inafuka moshi?
Je pro NATO mnafikiri europe na USA wako tayari kuona their luxurious cities turn into ashes?
Siamini kama tunaweza kufika huku wakuu
Zipo silaha za kuharibu tena sio kujam kudestroy jumla vifaa vya mawasiliano na electronics equipment nchi nzima US silaha hizo anazo.Sio RAHISI hivyo wala haiwezekani . Kwamba the moment unaboneza kitufe mwenzio anaboneza . Achene fikra za chini kiasi hiki .too low. Mifumo ya urushaji hayo makombora ipo mingi na complex . Labda atokee mtu athibitishe kwamba kuna technology ya ku jam mifumo yote ya urushaji makombora wa adui vinginevyo zitakuwa stori za zamani za Springs alipomkosa Mohamed Ally basi ngumi yake ilipindisha Chuma. America hegemony ni tatizo sana kwa nchi zetu hasa vijana kuanzia 1990 Huyu USA asimame mwenyewe sio kumobilise mataifa mia kisha anashanga hilo taifa kumobilise raia wake