Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe mzee huniwezi kwenye mijadara.
Twende kwa Evidences acha kuchamba
 
Kwamba order yoyote inatoka Russia Marekani anajua nadhani huko ni kuabudu SASA.
Hivi unayo habari kuwa huko Russia wenye uwezo na akili wote kumzidi Putin ama wameikimbia nchi, wanaishi uhamishoni au wako gerezani.

Raia wa Russia anayeishi Russia ni mtumwa wa mtu moja anayeitwa Vladimir Putin, sasa sijui tusemeje...raia huyo anaabudu Russia au anamwabudu Putin.
Achana na hao vichaa hawajui hata wanaongelea nini!
 
Propaganda za kipumbavu hizi.
1. Ulizipima wapi?
2. Nani alizipima hizo akili?

Naona umevimbiwa na chapati za ngano kutoka Russia
 
Wanashikishwa ukuta na wanawake wavaa hijab ndio waje washindane na US ,huo upuuz WA kishamba WA mwaka 47 ushaoitwa na wakati , Hiyo death to America wawaambie hao wanawake waliokataa kuvaa hijab waliotapakaa hapo Tehran na miji mikubwa yote hapo Iran kupinga umsukule WA kihayatollah na uvaa kobaz
 
Nadhani umeliweka vyema . Na Ndio msimamo wangu kwamba diplomasia ifanye KAZI tabia za kunafiki na kibabe za West na Nato zinaweza ku trigger nuke. Naona kama Biden hajali sana na naona kama Putin ametoa tahadhari kadhaa wanapuuza.

NAIONA Nato ikitaka kuiteketeza Russia mama japo KWA SASA Wana hiyo gia yao ya kujifanya hawana nia hiyo . Russia anajua hilo hatasubiri adhoofike sana kabla ya kufanya kitu. Ni US na NATO wenye maamuzi Nuke ipigwe ama isipigwe.
 
Hivi nini kinaendela Kati ya Germany na Poland? Tukumbuke Ile bomba' la gesi lipo lipuliwa,Poland walifurahi,na Leo,waziri America saini kuibana Germany iillipe war reparations. Najiuliza kuna nini?

‼️JUST IN‼️

‼️🇵🇱💰🇩🇪The Polish Foreign Minister signed a note demanding reparations from Germany‼️
 
⚡️⚡️⚡️The State Duma's Committee on International Affairs unanimously supported the ratification of the treaties on the admission of the DPR, LPR, Zaporozhye and Kherson regions to Russia, said Maria Butina, a member of the committee⚡️⚡️⚡️
 
⚡️⚡️⚡️The Zaporizhia region is part of the Russian Federation within its administrative borders and the Kherson region - with two districts of the Mykolaiv region, said Pavel Krashennikov, chairman of the State Duma Committee on State Construction and Legislation⚡️⚡️⚡️

 
Sheria ya Russia inasema hivi:... Hayo majimbo yakishakuwa ratified na sheria ikasainiwa na yakawa sehemu ya Russia, then hakuna mtu yeyote yule, hata Rais wa Russia hawezi Tena kuyarudisha au kuyaachia yaondoke kuwa sehemu ya Russia. Akifanya hivyo inakuwa Ni treason
 
German wanajitoa ufahamu tu. Hawapendeki huko ulaya. Nchi inayoweza kuwasaidia ni Russia tu.
 
Umekula michembe.

Top 10 Countries for Technological Expertise - Best Countries Report 2021​

  1. Japan
  2. South Korea
  3. China
  4. United States
  5. Germany
  6. Russia
  7. United Kingdom
  8. Singapore
  9. Israel
  10. Switzerland
 
Hamna makombora ya nuclear ambayo yameshasetiwa target

Pengine pote upo sawa kwa upande wangu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Hilo la kurejea hatuwezi kulijadili maana ni nadharia. Kikubwa wamefurushwa na mji umerudi mikono salama ya Ukraine.
Nadhani hujui maana ya nadharia, halafu ni wazi huna elimu yoyote kuhusu masuala ya Vita na geo-politics ungekuwa na elimu hiyo usingecomment hivyo.

Soma history ya Vita, military strategies, military doctrines na kadhalika, nadhani hata mgambo hujapitia achilia mbali JKT.

Ndiyo shida ya nyie vijana wa dot.com too much blah blah blah but in terms of substance, zero...
 
Unajua maana ya deadly?Emp inaathiri mifumo ya electronics tu,nuclear inaharibu kila kitu!
Sasa unasemaje Emp ni more deadly???Muwe makini na kauli wakati wa kujenga hoja!
 
Unajua maana ya deadly?Emf inaathiri mifumo ya electronics tu,nuclear inaharibu kila kitu!
Sasa unasemaje Emf ni more deadly???Muwe makini na kauli wakati wa kujenga hoja!
Japan ilipigwa nuclear Leo hii watu wanaishi pale ,
Hiyo EMP hata huko hospitali matibabu Hakuna mtakuwa mnapewa vidonge Tu , hivi unajua effects za destruction ya power lines infrastructure ,mifumo ya mawasiliano ,usafiri ? ,Au unaandika Tu hapa kujifurahisha hivi umeshawahi kujiuliza swali kama Hicho kitu kikitokea mfano hapa Tz consequences zake ? ,
Imagine leo umeamka ghafla vyombo vya usafiri vyote viko disabled si magari si pikipiki si nini ,Hamna nishati ya umeme Maana miundombinu yote nchi nzima imeharibika mazima , mifumo yote ya mawasiliano kuanzia minara , televisions stations ,radio stations ,simu ,televisheni ,redio ,computers na vifaa vingine vya mawasiliano viko totally damaged ,mnaweza kuishi bila hospitali kufanya kazi ,bila mifumo ya maji Safi na maji taka kufanya kazi ?

Halafu huyo US si mjinga tangu enzi za cold war na Soviet Union hawe haja conduct reconnaissance kwenye hizo nuclear launching sites za Russia na kuprepare deterrence strategy , usione ajabu mtu kategeshewa EMP akitrigger Tu mizigo haitoki wala nini
 
Hamna makombora ya nuclear ambayo yameshasetiwa target

Pengine pote upo sawa kwa upande wangu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Targets zinakuwepo . Wanajua wakiambiwa piga wanapiga wapi japo target za nuclear ni pana yaani scale ya miji . Hata US ana targets zake ndani ya Russia na hizo targets ni zile ambazo likitua Dunia yote itainamisha VICHWA chini . Haijalishi ni military base ama civilian settlements
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…