Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wenye akili sasa wanaona umuhimu wa Kutumia njia ya Amani na kwamba hakuna namna yoyote ile UKRAINE atatoboa.
Wale wajinga wajinga wa Kutoka NAKURU, KERICHO, KIBELA nk waache kelele zao, Pia kuna Chizi mmoja sijui anaitwa T Armata sijui nani aache ujinga.

Watu wameona wazi URUSI anafanya mazoezi tu lkn inakoendea ataingia Full na hapo ndio msala huo.
 

mikwara as usual.
 
Hizi drone za Iran naona siku za hivi karibuni zimeanza kupoteza ufanisi,halafu naona zinashushwa nzima nzima...itakua zile systems za Electronic warfare ambazo Ukraine alipewa na Marekani na Uingereza zinafanya kazi ipasavyo
Kitachofanyika ni return to sender

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
⚡⚡⚡Vladimir Putin is expected to make an urgent address to the nation and the army immediately after the LNR, DPR and Zaporizhzhia and Kherson regions officially join Russia.

The Federation Council is scheduled to meet on 4 October to finalize the legal incorporation of the new regions.

🔸 Social media are discussing that official registration of the territories as part of the Russian Federation could be a reason to introduce martial law or declare Ukraine a terrorist state and introduce the CTO regime (in Chechnya, the CTO lasted 10 years and during it the air force, artillery, tank troops, airborne troops, special forces, and high-powered weapons were used).

🔸 Martial law is imposed in case of aggression or attempted aggression against Russia, including an invasion or attack by the armed forces of a foreign state on Russian territory. Depending on the level of threat, the President of Russia has the right to determine the borders of martial law - it will be either the territory of hostilities with the border regions (Rostov, Kursk, Belgorod, Bryansk with or without Crimea) or the entire territory of the country.

In the USSR, martial law was declared at the beginning of the Great Patriotic War. It has never been declared in modern Russia.⚡⚡⚡
 
Urusi anafanya mazoezi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua hawa vijana, kama wangeacha tu kukurupuka na kusoma comments kwa utulivu wangegundua matatu kuhusu Mag3!
  1. Mag3 ni mtu anayechukia utawala wa kiimla haijalishi mhusika ni mweusi, mwekundu au mweupe!
  2. Mag3 ni mtu anayeunga mkono utawala wa sheria unaozingatia na kuheshimu Katiba ya nchi.
  3. Mag3, hana unafiki...koleo ataliita kwa jina lake na nyani giledi atamkoma bila ya kumtazama uso.
Humu JF, ID yangu ni ile ile na sijawahi kutumia nyingine kwa sababu siamini nina cha kuogopa kama nasema ukweli, katika hilo sina unafiki!

Ni wachache sana humu wanaoijua historia ya Jamii Forums baada ya mtangulizi wake Jambo Forums kupewa msukosuko na serikali ya CCM.

Kwa bahati mbaya kuna kundi limekuja kuivamia JF kwa lengo la kuidhoofisha na sasa kauli mbiu ya nguvu ya hoja imebadilishwa kuwa hoja za nguvu.

Udikteta haujawahi kufanikiwa popote pale na kama walivyoondoka Hitler, Sadam, Emporer Bokasa, Idi Amin Dada na wengineo, hivyo hivyo ataondoka Putin.
 
Hili hata Mimi nimeliona mkuu Ila nahisi anatengeneza mtego, wakati mwingine nahisi anataka kutumia silaha Kali kuangamiza kundi la magaidi walioingia Russia, na wakati huo huo hawawezi kumfanya kitu maana hiyo silaha ya maangamizi kautumia ndani ya nchi yake ya urusi na Siyo nchi nyingine yeyote Ile, yaani yanaweza kufanyika mauaji ya kikatili Ila jumuiya za kimataifa zitashindwa kumlaumu Putin Kwa kuwa matukio yamefanyika ndani ya mipaka ya urusi
 
Urusi yupo kwenye vita kamili mpaka mtu anafanya mobilization mnafikili ni project tu?
 
Acha ujuaji wewe eti marekani anawatu serikali ya Russia ukiambiwa thibitisha utaanza blah blah unaleta story za kijiweni
 
Na kwa nini unamuita Putin dictator....???
 
Russia yupo kwenye total war sema tu wanajeshi wake hawana morale ya vita japo Ukraine ni wachache wakipewa pesa na vifaa zaidi ataweza kumuondoa Russia kwenye ardhi yake yote na Russia atayumba sana kiuchumi na itamchukua muda mrefu kukaaa sawa
 
Mkuu kuna nyambizi imezamishwatayar ilikuaimebeba makombora ya nuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…