Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡⚡⚡Customs control between Russia proper and RPD/RPL will be lifted, customs posts closed tonight on midnight October 5, as both territories formally join Russian Federation. Former border posts will now serve as security checkpoints, to prevent the weapons smuggling⚡⚡⚡
 
Nilikuwa mtoto mdogo Sana kipindi hicho lakini nakumbuka vizuri hiyo Cuban missile Crisis...Padri alitangaza wakati wa misa Jumapili kwamba dunia karibu inageuzwa majivu na kwamba wote tusali kuiombea amani. kwani mwisho wa dunia unakaribia...dah...hofu ilitutanda hata sisi madogo wakati huo...ndiyo mwanzo wangu wa kuifuatilia Russia/USSR na Marekani...mwaka mmoja hivi baadaye John F. Kennedy akauawa..Padri akatangaza tuiombee dunia...kwa akili zangu za kitoto nikajua wakomunisti wameshafanya yao...nikawa namfuatilia yule 'asiye na nywele' Kruschev...hahaha very interesting...nakumbuka hata alipopiga meza kwa kiatu chake kule UN...
Ndiyo mwanzo wangu wa kuifuatilia geo-politics...
 
Warusi weusi watakujibu
 
Ndiyo mjue huko Russia Kuna freedom of expression ya ukweli...
 
Warusi weusi watakujibu
Russia anapunguza casualties kusubiri reinforcement huku akimpa Ukraine hasara kubwa Kwa kmpotezea ASKARI wengi. Russia akishamaliza reinforcement hayo maeneo wavamizi waliyoyachukua yatarudi na nyongeza maradufu. Russia is moving slowly stable for a prolonged war.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vyanzo vinasema maeneo kadhaa yataongezwa kwani Kuna majimbo yaliyofanya referendum mipaka yao imeachwa wazi bila kuainishwa..
 
Uko sahihi kabisa, Ndugu....haya ndiyo Mambo ambayo vijana wa siku hizi wanapaswa wajue....na hasa wale wa 'Putin ni fashisti',, ' Urusi inapelekewa moto'...
 
[emoji298]️Forbes Russia: 700,000 people have left Russia since mobilization began.

Forbes Russia cited sources close to Russia's Presidential Administration. Russian dictator Vladimir Putin announced the mobilization of conscripts for the war against Ukraine on Sept. 21.

In early September Russia’s state statistics agency estimated that 419,000 people had left Russia since Jan. 1 - a figure that reflects massive emigration since the beginning of Russia's full-scale invasion of Ukraine on Feb. 24.
 
How many have left Ukraine?!?! Utuambie ni wangapi wamekimbia mobilization huko Ukraine?!?!
 
Hiyo ni total war au bado ni special operation ?
T14 Armata
Wewe Ndugu unaonaje?! Bado ni SMO au total war?! Tupatie jibu hapa...
Jibu langu kwa swali lako ni kuwa hii SMO imeingia kwenye next level ..inaelekea kwenye Vita kamili..Kuna partial mobilization...Russia inataka kumobilize Askari 1,000,000 ili waende huko Frontline...achana na figure iliyotangazwa ya 300,000. Kwa hiyo hiyo ni next level....kwenye total war Russia in uwezo wa ku-mobilize Askari milioni 25.
Ukraine kwenye front ina Askari zaidi ya 800,000 including waliofanyiwa mobilization ya nguvu...Russia kwenye front kwa Sasa ina Askari chini ya 80,000..
Russia pia imetumia sehemu ndogo Sana ya Air Force yake...
Lakini Sasa Russia itaanza kutumia kwa kiasi kikubwa Air Force na pia artillery ..yaani kinaandaluwa kiama kwa Ukraine...
 
Ni normal hata baba anaweza kukimbia au mwana akakimbia jambazi likiingia ndani it's normal hata wanajeshi kukimbia . Hata mume kukimbia anaacha mke abakwe

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Sijui kama unauelewa wa kisayansi. Nadhani uko 30 yrs below. Samahani lakini
 
Huyo kijana hajielewi. Anasema eti "effect of destruction of power lines" yaani [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko kijijini kwetu hakuna network za simu wala umeme na watu wanaenda kwa miguu au baiskeli, anasema unaamka njiazote za usafiri zimekata.
Yaani anachekesha. Nadhani yuko below 25 by age. Just a school boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…