Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Ndugu yangu FUSO, anaweza kujaribu lakini hatapewa hiyo fursa na watakaompiga stop ni hao hao watu wake. Kubonyeza kitufe cha nuclear si rahisi kama tunavyofikiria na aking'ang'ana anaweza hata akala shaba kichwani kutoka kwa hao hao watu wake.kinachositikisha sana kabla hajakimbia atakuwa kaua warusi wenzake kwa mamia mamia... maana kabla hajakimbia ni lazima atajaribu kutumia nuclear kujaribu kujinusuru...
MmmmhUchambuzi makini kabisa
A sitting duckUSS GERALD R. FORD AIRCRAFT CARRIER STRIKE GROUP DEPLOYING TO NATO
04
The Gerald R. Ford-class aircraft carrier USS Gerald R. Ford (CVN 78) departed Naval Station Norfolk, on Oct. 4.
The Gerald R. Ford Carrier Strike Group (GRFCSG) is deployed to conduct operations alongside NATO Allies and partners to enhance integration for future operations and demonstrate the U.S. Navy's commitment to a peaceful, stable and conflict-free Atlantic region.
The Gerald R. Ford Carrier Strike Group (GRFCSG) deployment includes:
Carrier Strike Group (CSG 12),
Carrier Air Wing 8 (CVW 8)
and Destroyer Squadron (DESRON) 2.
Deploying with the group will be Ticonderoga-class guided missile cruiser USS Normandy (CG 60); the Arleigh Burke-class guided missile destroyers USS Ramage (DDG 61), USS McFaul (DDG 74), and USS Thomas Hudner (DDG 116); the Legend-class national security cutter USCGC Hamilton (WMSL 753); the Henry J. Kaiser-class fleet replenishment oiler USNS Joshua Humphries (T-AO 188), and the Lewis and Clark-class dry cargo and ammunition ship USNS Robert E. Peary (T-AKE 5).
Yameenda wp, ni sawa na idi amini alivyosema mtukura ni yake halafu muda mfupi akafurushwa.
Exactly.,on future itabak kama Taiwan. utaskia donbass ni sehemu ya Russia. na Russia itaichukua siku yoyote ikiona inafaa kuichukua hata kwa nguv za kijeshi
Majimbo manne yameingia rasmi Leo kwenye serikali ya shirikisho ya Russia.Machawa wa Putin wanazidi kumjaza upepo [emoji16]
Si wajaribu hiyo kitu Ili waone moto wake..,wataishia kuongeaongea mpaka lini Sasa.., marekani na washirika wake washaliweka wazi hili..,endapo fashisti Putin atajitoa akili katika hili atasimulia mbinguni [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo sasa kwa macho ya Urusi ni rasmi kuwa jeshi la Ukraine linalopigana huko kwenye hayo majimbo linawanyang'anya Urusi ardhi.... Haya ngoja tuone watafanyaje.Majimbo manne yameingia rasmi Leo kwenye serikali ya shirikisho ya Russia.
Коридор Север-Юг является стратегически важным для России.Machawa wa Putin wanazidi kumjaza upepo [emoji16]
Si wajaribu hiyo kitu Ili waone moto wake..,wataishia kuongeaongea mpaka lini Sasa.., marekani na washirika wake washaliweka wazi hili..,endapo fashisti Putin atajitoa akili katika hili atasimulia mbinguni [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo fracking ni kemia ya hali ya juu kidogo, mchanganyiko wa gesi ambazo nyingine si nzuri kwa mazingira. Wanasukuma huo mchanganyiko kwenye miamba yenye mafuta na kuipasua kuchukua vipande (shales) kukamua mafuta. Ni kama wanalazimisha mafuta machanga au deposit isiyotuama.fracking technology ambayo ni expensive ila anayo yeye tu
Hem iongezee nyama hii MKUU ingawaje kwenye kuhama hapa kampuni baadhi zishaanza kuhama EU kuelekea UCHINA na INDIA acc to DW
nasababu kubwa wanaelezea gharama za nishati sababu yamgogoro wa UKRAINE na RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Medveded ni mwanaume kweli alishindwaje kubakia madarakani mpaka akamuachia Putin na kuwa Kibaraka wake? Na hatimaye Put In amemtema mbali sana!!
Hapa mkuu ndio unasema nini? Vita kamili na nusu Vita zinatofauti gani?Naskia Babu Putin anataka kutangaza vita kamili. Ngoja tuone.
Sijaelewa hataKama Medveded ni mwanaume kweli alishindwaje kubakia madarakani mpaka akamuachia Putin na kuwa Kibaraka wake? Na hatimaye Put In amemtema mbali sana!!