Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Safi kabisa, hapo unampunguzia shemeji gharama ya kuweka beki 3, kwahiyo ni kuosha vyombo na kupiga deki kwa kwenda mbele, natumaini pia hakupi boxer zake ufue
na anakusaidia wewe kutokuwa na mtu wa kugombania naye remote.....
 
1954 wewe ulisema by the end of this week tutayashuhudia ambayo hatukuwahi tarajia,mwenzio hapana anasema Jeshi la Russia litaanza kazi November,sasa tufuate lipi? Tusubiri mwisho wa week hii au tusogeze hadi November?
Hujashuhudia mobilization , referendum na ma nuke kusogezwa sogezwa. Tuna retreat na kuwapondaponda . Wanakuja kwa wingi kama vita za mishale na mapanga enzi ya Roma

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
1954 wewe ulisema by the end of this week tutayashuhudia ambayo hatukuwahi tarajia,mwenzio hapana anasema Jeshi la Russia litaanza kazi November,sasa tufuate lipi? Tusubiri mwisho wa week hii au tusogeze hadi November?
Subiria yote mawili....au unasemaje Ndugu mpendwa....usiwe na haraka....Russia means business...right now waking kwenye process...By the way do you know kwamba right Russia ina advance kwenye baadhi ya maeneo??? Hao Ukraine acha waende mbio mbio ...I can assure you huko deep walikokwenda hawatapata nafasi ya ku-retreat....
 
LENGO la Russia ndio hilo kupunguza askari wa Ukraine na vifaa jeshi. Kama unavyosema kilichofanyika kwenye draft ni force King . Hawatatoka. Everything well calculated

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Russian kamikaze drone "Geran-2" successfully hit the enemy's self-propelled gun "Pion"

Mara dat dat ,Soko likapatika
BREAKING: Iran will export UAVs and Shahed-136 suicide drones to the Polisario Front in Western Sahara
The transport of the drones will be facilitated by Algeria, helping the Polisario in their fight against the Morrocan occupation of Western Sahara.
 
The Prime Minister of Belgium said that Europe is threatened by deindustrialization and the unrest due to the energy crisis caused by anti-Russian measures can really be very, very deep," said Alexandre de Croix to the Financial Times and added that the EU population receives "crazy bills" and in at some point people will "lose their temper"
 
Hata kyiv Russia walibakiza 10Km tu kuufikia mji.Lakini sote tunajua kilichotokea.Kule Lyman mlivyopokea kichapo mkakimbia mkaishia kuita 'tactical withdrawal'.Uzuri kwa sasa Russia anachapika kwenye 'ardhi' yake ya kwenye makaratasi.
 
Maeneo gani hayo?! Au hayana jina!?
 
Koment zako zimenikumbusha mjadala wa katiba mpya miaka fulani. Issa Shivji alikuwa akitoa mihadhara na kujibu maswali ktk kipindi chake maalum kikirushwa na ITV wakati ule na tune ya Mzee Jaji Joseph Warioba nayo ilikuwa ikifanya kazi kama hiyo kwa wakati wao.

Inshu ikaja kuhusu muundo wa muungano. Mawazo ya profesa Shivji yakakinzana na tune ya Jaji Warioba. Ikawa kisanga. Professa aliitwa majina mengi ya dhihakaa akiitwa msaliti wa matakwa ya wananchi na wengine hasa CHADEMA wakaenda mbali wakamuita joka lenye makengeza. Kwamba ameamua kuona vitu fulani sahihi kuwa ni sahihi na vitu fulani sahihi kuwa si sahihi. Siku moja good professor akaamua kusema. Alisema hivi" Haya mambo yana upande, lazima utachukua upande"

Tafsiri ni kwamba huwezi kuwa neutral katk baadhi ya mambo lazima utachukua upande.

Wewe ni pundit humu, ushajijengea sifa ya kuwa mtetezi wa democrasia kwa weusi, weupe, njano, na kwa hata wasio na rangi. Na muda mrefu heshima ya michango yako imesimama imara. Ingawa ktk huu uzi umekuwa provoked negatively ikapelekea hata members wengine kumkemea aliye kuwa anaku provoke negatively. Hiyo inatosha kuona jinsi gani watu wanavyokuthamini wewe binafsi na uwepo wa michango yako humu.

Basi, jitenge na nasaba na upendeleo katika huko kunakoitwa kuitetea democrasia. Beleshi la USA liite beleshi, la NATO, AFRICA na kwingine kote ita beleshi kwa jina lake.
 
Weka hoja zako kama Una akili , pimbi wewe , Iq uwe nayo wewe mwenye akili fupi na kufikiri Kwa kutumia matacle ?kama mkia WA mbuzi , ungekuwa na Iq kubwa ungejibu hoja na si kufanya personal attacks .
Mwanzo baada ya kusoma bandiko lako lililopita nikaingia kwenye IQ Test nikagundua score yako ni Average Intelligence kama KP Kipanya lakini kwakuwa nilitaka kujiridhisha nikaona nikujaze upepo na bahati nzuri UMETUKANA. Kimsingi wewe ni BELOW AVERAGE. Mtu aliye sawa Kichwani HATUKANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…