Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Huwaga mnafikiria nini ndugu zangu, why usiseme Russia ndio waliwekewa mtego wakajaa?
Nimecheka sana, kwa hiyo Russia walipeleka mavifaa, wakatumia rasilimali fedha, watu, wakarisk maisha ya watu wao, uchumi wao, wakaua wenyeji wa huko Kharkiv, Kherson Lyman, ili waje waweke mtego wa kukimbia na kutelekeza vitu vya mabilioni ya dola miezi 8 mbeleni?Logic ndio inatumika kuchambanua mambo, hata mimi ningekuwa Generali wa jeshi la Ukraine ningeshituka kuingia sehemu ya maadui nikakuta wote wanesepa na kuacha behind baadhi ya zana za vita - Generali mwenze akili zinazo chemka atajua tu kwamba huo ni mtego wa panya na kusita kuruhusu jeshi lake kuingia kichwa kichwa - Warusi mabingwa sana katika usanii wa kuwawekea mitego maadui zake - Zelensky hilo halioni, kutunisha misuli tu na majigambo.
We endelea kupiga ramli, Ukraine washaingia LuhanskUnaandika haya Kama professional historian au hisia zako tu kuendeleza ligi ya majibizano?!?!
Kama wadavyodanganya mashabiki wao hivi sasa,kila wakifurushwa mahali wanadai ni mtego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]RUSSIA TAIFA LA UDANGANYIFU
Wakati wanasherekea siku ya kuzaliwa kwa VP
Tujikumbushe baadhi ya udanganyifu uliofanywa na Russia.
1. Olympic. Hichi kituko kukitafakari unashindwa uanzie wapi. Hivi kuwadunga madawa ya kusisimua misuli kisha kushinda gold medal walikuwa wanatunganya sisi au wanajidanganya wao, na kuamini katika uwongo wao.
2. CHERNOBYL. Kinu cha kufua umeme kililipuka na kurusha radiation fumes hewani. Uswis na nchi za ulaya kwa labaratory wakadetect ongezeko la mionz wakawambia watoto wao wasitoke nje kucheza. USSR ambayo ndio urrusi kwanza ikawa inakataa kwamba kuna ajali imetokea umoja wa mataifa, wananchi wa huo mji wakaambiwa hamna shida yoyote! Waendelee na shughuli zao. Maji yalipofika shingoni ndio wanakubali, na wanapewa ushauri wa kitaalamu jinsi ya kukabiliana na janga hilo.
3. REFERENDUM. apa sasa naona wanaweka benchi mark kabisa kwa kuwa taifa la matango pori. Na sherehe wamefanya, na vyeti feki wanaRINGISHIA mitandaoni. Sithani kama kuna wananchi watafika hallucinations waliyo nayo warussi.
Nimecheka sana, kwa hiyo Russia walipeleka mavifaa, wakatumia rasilimali fedha, watu, wakarisk maisha ya watu wao, uchumi wao, wakaua wenyeji wa huko Kharkiv, Kherson Lyman, ili waje waweke mtego wa kukimbia na kutelekeza vitu vya mabilioni ya dola miezi 8 mbeleni?
Sasa what is point ya kuivamia Ukraine sasa, yaani kama hivi ndio reasoning za Pro-Russia na Putin, aisee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Natamani siku tukutane physically na baadhi ya hawa pro Russiami nafkir hii imetegi imefika hatua inase sasa. maana rusia anatutia aibu
cheki
Snake island
bucha
lyman
kherson
kharkiv
etc.
me nafkir russia ndio walio wekewa hii mitego.
😂😂😂😂 yaani mtu unaitisha hadi Wazee waende vitani bado unasema ni mtegoKama wadavyodanganya mashabiki wao hivi sasa,kila wakifurushwa mahali wanadai ni mtego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukutane RiversideNatamani siku tukutane physically na baadhi ya hawa pro Russia
Warusi wenyewe wanahoji uwezo wa jeshi Lao,miezi 8 sasa vitani lakini hata Donbass wameshindwa kuikamata yote wakati walikua kwenye huo mji tangu 2014.
Warusi hawawezi kupigana na dunia Putin kawaingiza chaka wenzake - kama wewe huna support ya UN, EU, US wewe ni lazima ubokolewe tu kama mbwa wengine wezi wa nyama.Warusi gani wenye akili timamu wanaweza kuhoji au kuwa na mashaka sababu zilizo mfanya Putin a-spring up a suprise attack kwa jeshi la Zelensky na wafadhili wake - Putin aliwahi kumuonya mara chungu nzima Zelensky, lakini kutokana na kiburi na jeuri alilokuwa anapewa na US na UK kwamba ampuuzie Putin na kutupa kapuni makubaliano yao ya Minsk2 matokeo yake ndio haya ya kuzuka vita, lakini watu wengi hilo hawalisemi masaa yote kumulaahumu Putin na jeshi lake.
Vibuyu vya mbege na ulanzi toka Kwa wavaa kobaz WA Kwa ayatollah vinafumuliwa na Himars mpaka basiNdio waliziita drones hatari za Iran [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2379307
Yaani Putin huyo mlevi ni Bora aache hata kuongea na edorgan , Turkey ni ndumilakuwili na si WA kumwamini hata siku moja ,Yule ni ally WA Marekani ,hapo akacheza double game na kufanya ujasusi WA plans za Mrusi[emoji298]️ [emoji635] [emoji1250] President Putin and President Recep Tayyip Erdogan had a telephone conversation where they discussed Ukraine and bilateral relations, the office of the Turkish President reports
Ni wapuuz hawa watoto yaani comments za humu hawa pro mnywa gongo Putin ni comedy tosha , zaidi ya Guruji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nimecheka sana, kwa hiyo Russia walipeleka mavifaa, wakatumia rasilimali fedha, watu, wakarisk maisha ya watu wao, uchumi wao, wakaua wenyeji wa huko Kharkiv, Kherson Lyman, ili waje waweke mtego wa kukimbia na kutelekeza vitu vya mabilioni ya dola miezi 8 mbeleni?
Sasa what is point ya kuivamia Ukraine sasa, yaani kama hivi ndio reasoning za Pro-Russia na Putin, aisee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Maendeleo makubwa haswaaKipondo kinaendelea......
Ukraine says it has recaptured swathes of territory from Russian troops in the country’s south as discontent has been mounting in Russia about the handling of the war.
Ukrainian forces have retaken more than 500sq km (195sq miles) of territory and dozens of settlements in the southern Kherson region alone since Saturday, President Volodymyr Zelenskyy said on Thursday.