Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hiki kipeperushi kimenikumbusha mbali😀😀😀kuna mtu anaweza kutoa data exactly na Urusi au Ukraine.Jeshi la Ukraine:
Idadi ya vifaa ilivyopokea toka nchi za Ulaya/US vs vifaa ilivyovikamata toka jeshi la Urusi
Ukraine’s rapid breakthrough in the Kharkiv Oblast a month ago ended up putting hundreds of pieces of Russian armor into Kyiv’s hands as the Russian army left behind its heavy weapons and warehouses of supplies in a disorganized retreat.
#UkraineWillWin
View attachment 2379603
Afadhari mkuu umeamua kumwambia ukweli.Hizi habari huwa zinanifurahish sana lakini huwa siziamini sababu chanzo cha habari hakieleweki
Hii ndo nin mkuuRussia held a general rehearsal in many of its cities early this morning, including Moscow of its laser defence shield
It's called Peresvet and it's said to blind military satellites and incapacitate drones
Putin was not kidding
If you are in Russia send us picture of your areaView attachment 2379666
Kuna saa nyingine ni kama mnashindwa kueleza kinachotokea, Urusi wanarudi nyuma baada ya mapigano na kuzidiwa nguvu ndio maana kuna za pande zote katika maeneo ambayo Ukraine wanayachukuwa. Askari wa Urusi pia wanarudi nyuma pale ambapo kuna dalili za kuzungukwa na askari wa Ukraine. Nje ya hapo hakuna askari wa Urusi anayerudi nyuma.Logic ndio inatumika kuchambanua mambo, hata mimi ningekuwa Generali wa jeshi la Ukraine ningeshituka kuingia sehemu ya maadui nikakuta wote wanesepa na kuacha behind baadhi ya zana za vita - Generali mwenze akili zinazo chemka atajua tu kwamba huo ni mtego wa panya na kusita kuruhusu jeshi lake kuingia kichwa kichwa - Warusi mabingwa sana katika usanii wa kuwawekea mitego maadui zake - Zelensky hilo halioni, kutunisha misuli tu na majigambo.
Wakati Wana jaribu hili.... Wale jamaa nao wawe wanajaribu kuzipita .Russia held a general rehearsal in many of its cities early this morning, including Moscow of its laser defence shield
It's called Peresvet and it's said to blind military satellites and incapacitate drones
Putin was not kidding
If you are in Russia send us picture of your areaView attachment 2379666
Hii ndo nin mkuu
mbona anazidi kubokolewa kila siku, kuwasha taa za rangi usiku eti analinda anga, wakitaka watamshukia tu kama mwewe dadeq.Putin was not kidding back in 2018, when he said that his country had made significant progress in the field of laser defence.
hawa jamaa waage wake zao kabisa !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mtu unaitisha hadi Wazee waende vitani bado unasema ni mtego
ICBM si kitu kipya. Most of developed countries wanazo hiziPutin akizidiwa zaidi atawasha hiki kinu muda wowote.... tuwe tayari kwa lolote - hichi ni balaa kinachapa popote duniani, ni nyukilia - ni bara kwa bara mzee wangu...tema mate chini shetani apite.
Intercontinental Ballistic Missile - ICBM
View attachment 2379698
mji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany
upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko