T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Ngoja NATO wazitafute hizo EW sites kwa kutumia AWACS zao kisha anti radiation missiles zitumike[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanamgambo wa Ukraine wameingia kiwewe baada Starlink kushindwa kufanya kazi baada ya Russia kujamm system za hiyo Satellite View attachment 2380305View attachment 2380306View attachment 2380307View attachment 2380308View attachment 2380309
Itakua ulikuja kushabikia Ukraine bila kujua chanzo cha vita, kama unatumia logic utakuja kujua ilikua kuna ulazima wa Russia kuwa na SMO hapo ukraine. Nenda kasome chanzo cha huo mgogoro kwenye vyanzo tofauti ukiwa na flexible mind utapata picha angalauUkitumia logic utaona hii Vita ilikuwa haina ulazima ila dikteta Putin alikurupuka tu.
Awacs zikiingia kwenye anga ya Russia zinashushwaNgoja NATO wazitafute hizo EW sites kwa kutumia AWACS zao kisha anti radiation missiles zitumike
Turkiye imekataa pitisha hizo gwandaWarusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingineView attachment 2380310
Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanamgambo wa Ukraine wameingia kiwewe baada Starlink kushindwa kufanya kazi baada ya Russia kujamm system za hiyo Satellite View attachment 2380305View attachment 2380306View attachment 2380307View attachment 2380308View attachment 2380309
Awacs zikiingia kwenye anga ya Russia zinashushwa
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Juzi Russia walitumia kwa mara ya kwanza Lethel weapon za kuchoma Satellite angani matokeo ya zoezi hilo yameacha vilio vya kimya kimya Ulaya na Jana Ukraine ndio wametoa mlio mkubwa baada Star link kushindwa kufanya kazi. Na baada kuona hivyo Biden jana kasema Hatari a vita Nuke Toka Russia imefikia kiwango kuliko kile cha mwaka 1962 sasa ukiona Biden anaanza kuingia woga ujue kuna kitu kizito kimepiga kwenye mshono kimya kimya.View attachment 2380318View attachment 2380319View attachment 2380320View attachment 2380322View attachment 2380323
Sasa pale Ukraine unafikiri ana nn? Ao ndo wanamfanya avimbeHuyu Zoka namfollow siwezi kosa utetezi wake na Warusi wenzie. Mara nyingi taarifa zake huwa ni "Ukrainian aided with British mercenaries have captured..."
"NATO troops acting as as Ukrainian infrantrymen have..."
"NATO supplied weapons tried to ... but failed..."
"Nazis have destroyed our abandoned truck.."
Watu kama Zoka huwaaminisha mashabiki zao kwamba Ukraine sio kitu, credit zote hupewa Britain, US au NATO. Ni vizuri sana kuwafatilia hawa watu, tone zao na uandishi ndio uonesha hali ikoje uko frontline
We jamaa una akili kichwani?? Yaan URUSI akose sare za majira ya baridi?? Wakati ana kambi kule northen Pole ambako kuna baridi kuliko sehemu yoyote duniani??Warusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingineView attachment 2380310
Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
Eeh mi naona watupiwe kidude cha saturn ili waishi nacho mbwa waleKunya anye kuku ( usa), akinya bata (Russia) minenoo mingii inawatoka.. Mwaka huu lazima chozi liwatoke
Hatari sana [emoji91][emoji91][emoji91]Kerch bridge is on fire
I repeat, under huge fire
Na huo ndio ukweli. Bila support ya British/US, hao Ukraine wasingeweza kuendelea kufanya any resistance.Huyu Zoka namfollow siwezi kosa utetezi wake na Warusi wenzie. Mara nyingi taarifa zake huwa ni "Ukrainian aided with British mercenaries have captured..."
"NATO troops acting as as Ukrainian infrantrymen have..."
"NATO supplied weapons tried to ... but failed..."
"Nazis have destroyed our abandoned truck.."
Watu kama Zoka huwaaminisha mashabiki zao kwamba Ukraine sio kitu, credit zote hupewa Britain, US au NATO. Ni vizuri sana kuwafatilia hawa watu, tone zao na uandishi ndio uonesha hali ikoje uko frontline
Kumbe hata huelewi formations za jeshi vitani.Warusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingineView attachment 2380310
Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
Walitega bomu.Daraja ghali kabisa View attachment 2380330View attachment 2380329
Je, ni wapi na lini umekatazwa kukopi habari na kuja ku paste hapa?
Je, yeye akikopi na ku paste hapa wewe unaumia Nini hasa?
Naona uwezo wako wa kuelewa pengine una shida ?Je, ni wapi na lini umekatazwa kukopi habari na kuja ku paste hapa?
Je, yeye akikopi na ku paste hapa wewe unaumia Nini hasa?