Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rais Samia alisema ukosefu wa lishe bora usababisha akili kuwa duni, ukosefu wa nguvu za kiume etc. Watanzania wengi wanakumbwa na ukosefu wa lishe na kusababisha ukosefu wa fikra, tunakoenda ni shida sana. Wazungu wametuweza sana hivi vyakula badala ya kula vyakula vya asili unashobokea chips mayai/kiepe/zege kuku wa kisasa toka Brazil matunda toka South Africa na China , Brazil yenye chemical hivi vyakula vinaondosha uwezo wa akili na kusababisha majanga kwenye familia zetu.
 
Huyo jamaa mpuuze tu ni mzito mno na ana propaganda ambazo hata yeye haelewi anamaanisha nini
 
Oh arm chair general attacking my phone [emoji1787][emoji1787][emoji1787] seriously you have no idea

And please nimesoma hiyo article still its all speculation. Kama cremlin hawajaelezea wenyewe what it is, the site itself is random news site not official
 
Tazama video nyingine hii daraja limepigwa kitu kizito treni ya mafuta ndio ilikuwa inapeleka mzigo Crimea kudadeki mjinga anachapika kama mtoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilitegemea ushadadie kuwa HIMARS imefanya kazi, kumbe ni mbinu za kiuoga za kigaidi! Na hapa US na UK hataweza kukana kuwa 'IS' ni yake kwa sababu anaowaunga Mkono na kuwapangia pa kupiga wanatumia mbinu za "is".

Ndiyo maana Russia aliwakusanya kwa "viboko " wote wakae kule Idlib nchini Syria. Baada ya hapo ugaidi ukaanza kufanywa na mwenye Mbwa huko Alepo,
Deir ez Azul, Al Raqha, Palamiyar nchini Syria.
 
Hatuna roho mbaya tumewateka na msosi tunawapa fresh na matunda juuu kwao walikuwa wanakula biscuit mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hiki kichapo anachotembezewa urusi ni balaa tupu.., ngoja tusubir akina Jesus molokozi watakuja na ngonjera gani kuhusu KERCH BRIDGE

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

⚡️Ukraine claims responsibility for terrorist attack on Europe's longest bridge.

FYI:
✅Crimea is provided with food and oil products for many months.
✅Crimean strategic oil storage facilities are full at capacity.
✅Only one lane of the automotive part was damaged. Two lanes are visually intact.

🇷🇺Adviser to the head of the Crimea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…