Tunalimalizia leo kudadeki ttutegemee makuruti wenu kukosa mafuta maana hiyo tren ilibeba mzigo wa kutoshaView attachment 2380460
[emoji298]️Ukraine claims responsibility for terrorist attack on Europe's longest bridge.
FYI:
[emoji736]Crimea is provided with food and oil products for many months.
[emoji736]Crimean strategic oil storage facilities are full at capacity.
[emoji736]Only one lane of the automotive part was damaged. Two lanes are visually intact.
[emoji635]Adviser to the head of the Crimea
Sijawahi kusikia au kuona humu mtu kaandika Urusi au Marekani au nchi yoyote inawezakupigana na dunia, ndo kwanza nadoma kwako. Isijekuwa ni mawazo yako mzee umesummarize halafu unashikisha wana jukwaa humu....Ifike mahali tuache kushikiwa akili na kusikiliza stori za akina rashid wavuta ganja yani kuna mtu anasema urusi anaweza pigana na dunia nzima hafu akashinda vita na kuna mtu anaamini, kwa dunia na sasa haipo nchi yenye nguvu ya aina hiyo, nyie pro russia kuna vitu mnatia aibu
Soma coment za nyuma kwenye uzi huuSijawahi kusikia au kuona humu mtu kaandika Urusi au Marekani au nchi yoyote inawezakupigana na dunia, ndo kwanza nadoma kwako. Isijekuwa ni mawazo yako mzee umesummarize halafu unashikisha wana jukwaa humu....
Au tupe link ya huo uzi..tuone alitoa sababu gani...
Hahahaha... Happy birthday dear Babu happy birthday to youuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hii ni vita au Special military operation ? , Pro Invaders mna matatizo siyo siri ,si nyie ndio huwa mnasema hii sio vita kila siku humu ,? Sasa special military operation ndio huwa inafanywa hivyo ,? Kwa kuua unarmed civilians ?
Footage inaonesha ni gari limelipuka,ni tukio la kujitoa mhanga!Hiki kichapo anachotembezewa urusi ni balaa tupu.., ngoja tusubir akina Jesus molokozi watakuja na ngonjera gani kuhusu KERCH BRIDGE
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Footage inaonesha ni gari lililokuwa linatembea likalipuka,ni tukio la kujitoa mhanga!Tazama video hapo zawadi ya Putin birthday HIMARS kiboko yao bado wanasema hazijasaidia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gari inalipuka inavunja daraja na kulipua na treni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Footage inaonesha ni gari lililokuwa linatembea likalipuka,ni tukio la kujitoa mhanga!
Hilo Lori inaelezwa lilikuwa limebeba explosive devices!Angalia hiyo footage ndio uongee sio unaleta ushabiki maandazi!Tukio Hilo ni la kujitoa muhanga!Wala hakuna dalili yoyote ya missile strike!Gari inalipuka inavunja daraja na kulipua na treni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
vunjo angalia hapo sio kukurupuka tu na kutunga habari!Duh! Wameanza kujilipua? 🙆🏿♂️
View attachment 2380514
Hilo Lori inaelezwa lilikuwa limebeba explosive devices!Angalia hiyo footage ndio uongee sio unaleta ushabiki maandazi!Tukio Hilo ni la kujitoa muhanga!Wala hakuna dalili yoyote ya missile strike!