T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Sawasawa mkuu. Uko sahihi I was wrongHayo maswali unayouliza ni vigumu kupata majibu yake kwa sababu ya kutokuwa na taarifa za kujitosheleza.
Ishu hapa niliyokuwa nakujibu awali, ni swala la wewe kumuhusisha huyo Army General na maswali ya ununuzi wa Uniform.
Kwa kawaidi jeshini, kunapotokea Jambo ambalo haliko sawa, kwa mfano "Kama huo wizi wa uniform", Basi Kuna tume ya kuchunguza itaundwa (sometimes hata mtu mmoja tu anaweza kufanya huo uchunguzi na kutoa report).
Ila nilikuwa nataka kukuelewesha kwamba maswala ya kupiganisha Vita Military planning/(logistics planning ndio lugha sahihi) ni tofauti kabisa na procurement.
Kwahiyo unataka wakurupuke tu?Tuwekee na sisi hapa hiyo tweet tuione!Sasa anataka aitambue lini,wkt tayari wizara ya ulinzi ya Ukraine Kwny page yake ya Twitter imeshakiri kuhusika na tukio Hilo?
Hahahaha unadhani Russia hataki kupiga hizo carpet bombing?! Ni kwamba hawezi,hana air superiority. Carpet bombing ni kwamba unaingiza Bomber kama Tu-160 ikiwa imejaa mabomu unayadondosha kwenye targets za adui. Sasa Russia hana air supremacy kule Ukraine,bomber zina Radar Cross Section kubwa na zinaruka altitude ya juu Sana ni rahisi kuonekana na High Frequency Radar (tena zikiwa mbali kabla hazijaingia anga la Ukraine) kama za S-300,NASAMS ambazo jeshi la Ukraine linaoperate, zitatunguliwa.Hizo ndio faida za kuwapiga Ukraine kwa kuwadekeza, badala ya kuwapiga carpet bombings mwanzo mwisho wao wanawapiga kindugu ndugu.Akiendelea kuwachekea Yajayo yatamfurahisha Putin
Subirini uchunguzi ukamilike,msianze kulalamika eti Russia anapiga Hadi miundombinu?Maana huko awali mmelialia sana!Tukio la kigaidilimefanywa na nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zale chapa mbwa koko hapo
Ndio msubiri majibu yake,msije kuja vilio hapa kwamba Russia anatandika miundombinu!Russia kusema ni tukio la kigaidi haibadilishi shambulizi lililofanyika
Hapana nataka waendelee kuwabembeleza Ukraine hivi hivi.Kwahiyo unataka wakurupuke tu?Tuwekee na sisi hapa hiyo tweet tuione!
Tusubiri majibu au wasubiri majibu? Mm na ww hatupo vitani usijisahau, tupo hapa Tanganyika......Ndio msubiri majibu yake,msije kuja vilio hapa kwamba Russia anatandika miundombinu!
Ni angalizo tu,mkishushiwa kitu kizito,msije kulialia humu!Hapana nataka waendelee kuwabembeleza Ukraine hivi hivi.
Tunasubiri majibu hata kama hatuko vitani!Maana hayo majibu yakija,tutakuwa hapa kujadili!So usitafute Chaka la kuficha Kichwa chako!Tusubiri majibu au wasubiri majibu? Mm na ww hatupo vitani usijisahau, tupo hapa Tanganyika......
Urusi wakijibu still bado haiadili hilo shambulizi walilofanya Ukraine.
Umeongea kama mm ni mpiganaji wa Ukraine ndo nikakupa angalizo kuwa ww mm ni watanganyika na sipo crimea nipo nasubiri mpira wa Utopolo.Tunasubiri majibu hata kama hatuko vitani!Maana hayo majibu yakija,tutakuwa hapa kujadili!So usitafute Chaka la kuficha Kichwa chako!
Acha porojo mtumie akili kidogoSoma coment za nyuma kwenye uzi huu
Tetesi za kishambaWarusi muulizeni huyu Army General Dmitry Bulgakov mliyembadirisha mwezi jana nafasi ya Head of Logistics kwenye jeshi. One million winter uniform zilizokuwa zinaonekana kwenye madaftari ziko wapi mbona kwenye maghala hamna. Wizara ilisema kapangiwa kazi nyingineView attachment 2380310
Na je ni kweli Urusi imeiomba Turkey iwape winter uniforms 500,000 na body armour 200,000 au hizi taarifa ni propaganda. The winter is coming, mnasema Ulaya watafreeze kisa gesi yenu hamna, tutaona mtakavyoperform vitani
Endelea na betting huku hupaweziIfike mahali tuache kushikiwa akili na kusikiliza stori za akina rashid wavuta ganja yani kuna mtu anasema urusi anaweza pigana na dunia nzima hafu akashinda vita na kuna mtu anaamini, kwa dunia na sasa haipo nchi yenye nguvu ya aina hiyo, nyie pro russia kuna vitu mnatia aibu
Baseless argument ndio kama hii!Tusubiri majibu,hayo mengine ni kudivert hoja!Umeongea kama mm ni mpiganaji wa Ukraine ndo nikakupa angalizo kuwa ww mm ni watanganyika na sipo crimea nipo nasubiri mpira wa Utopolo.
Usipige kichwani utaua [emoji13][emoji13]Kumbe hata huelewi formations za jeshi vitani.
Logistics ops ni tofauti kabisa na procurement.
Logistics is more of military planning.
Procurement is more of "acquisitions"
Na hayo ni Mambo mawili tofauti kabisa.
Sasa, Amry General anaye deal na military planning (logistics) anausikaje Tena na procurement of assets...
Ameshaomba msamaha na kukiri kwamba aliandika pumba, kwa hiyo msamehe tu kwa sasa.Tetesi za kishamba
Vijana hawajui mbinu za kivita. Na hapa huenda ni Urusi hao hao wamecheza mchezo huo.Mambo yakigeuka na Russia akaitambua serikali ya Ukraine kama ya kigaidi,msije hapa kulalama!