Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nazi regime inayoongozwa na Myahudi ? , hivi unaelewa unachoandika ?
Halafu uongo na visingizio lundo mara Ukraine inaprogramu za kutengeneza biological weapons dhidi ya Russia ,mara Ukraine inatumiwa USA kuivamia Russia ,Mara Ukraine ni wanazi , sababu za kipuuz na kiwendawazimu kabisa .
Halafu unaandika gazeti humu ,maneno mengi non factual matters .
 
Ila Marekani inanistaajabisha sana!

Licha ya kuwa wanajitahidi kwenye teknolojia ya kijeshi (zana) lakini wanajeshi wake hawana ukomavu kabisa!

Vita vya Iraq walikuwa wanalia sana na machozi yanawatoka mapambano ya ardhini yakipamba moto. Wanajeshi wa UK ndiyo walikuwa wakipambana wakimsaidia mpaka wanapata msaada wa anga.
----------------
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa kila Russia wanavyobadilisha makamanda wa operation kuna phase mpya wanaingia.
 
Huyu mjomba ni moja ya wale binadamu wanaoamini katika ugomvi tumia chochote, rusha kila kitu hadi ushinde. Ni mtata sana na hana msalie mtume. Ni uchaguzi sahihi kwa tuliokuwa tunatamani mwisho wa ugomvi wa kubembelezana
Hahah watu kama ndio habari zao ningependa kuzisikia,yaani Ni kazi kazi.
 
Lugha za watu hizo kasoma mwembeyanga primary school, alijua kusoma akiwa form two, kaishia hapo.
 
Daraja tayari linafanyakazi, after 24 hours repair.

Crimean Bridge reopens for traffic after explosion (VIDEO) — RT Russia & Former Soviet Union https://www.rt.com/russia/564303-crimean-bridge-traffic-resumed/
 
Safi sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…