Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Hiyo vaku hamna kitù hapo
Huyu Naye anaenda kuwa lishe ya mizinga huko Ukraine [emoji12][emoji12]View attachment 2381663
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
1st thing 1st, hakuna vita kati ya Ukraine na urusi. Urusi anafanya operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine. Ni operesheni tu sio vita.Hebu nifahamishe ndugu nipate uelewa.
Huko kuna vita kati ya urusi na Ukraine.
Urusi alitoka anakoishi kwenda kufanya operation Ukraine inavyosemwa na wengi humu.
@Je hii operation ni ya kupigwa anaefanyiwa operation tu yeye hahitajiki kujilinda (kumpiga) anaefanyiwa operation??
@ Ukraine amehujumiwa miundo mbinu yake mingi ikiwemo hospital,barabara,makazi ya watu n.k hujuma hizi je zinaitwa kwa jina gani? sasa yeye hahitajiki kufanya chochote pale anapopata uwezo wa kumfanya/kumshambulia anaefanya operation?
Sasa kama urusi anashambulia kwa kutumia mabomu ya masafa marefu ili kuipiga Ukraine huyu Ukraine hastahili kufanya hivyo kwenye nchi ya urusi?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hiyo vaku hamna kitù hapo
Sawa sawa lakni naomba usaidizi wa uelewa wa hayo niliouliza.1st thing 1st, hakuna vita kati ya Ukraine na urusi. Urusi anafanya operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine. Ni operesheni tu sio vita.
Though still Point yako nimeielewa.
Kuna kitu kinaitwa Nuclear Winter, kama NATO na Russia wataamua kuyafuta mataifa yao kwa kutumia japo Nuclear Weapons 200 tu, na sasa duniani kuna Silaha za nyukliza (12, 000+ zinaandikwa online) basi dunia nzima itafunikwa na wingu la Nuclear kubwa sana kwa takribani miaka si chini ya 20 ambayo itasabibisha mionzi ya jua kufika kwa uchache sana duniani hali ambayo itasababisha kilimo kuwa hakiwezekani juu ya uso wa dunia na kupelekea njaa kubwa sana.Hivi Urusi, USA, Ukraine wakipigana mabomu ya nuclear, sisi huku Tz tutapata madhara ya mlipuko? Na sisi tutalipukiwa?
russia akichukua odessa itakua pigo kubwa sana kwa ukraine na wamagharibi, yaani urusi itakua imeunganika moja kwa moja na ukraine na transnistria by land hapa putin atakua ni wazi amewin pakubwa mno, vita ya odessa itakuwa na balaa sana aiseeWiki kadhaa nyuma hapo nilisema hapa hapa
RUSSIA kama wataiacha ODESSA sidhanii kama SMO yao itakua imekamilika
ODESSA iende asee nasikia ODESSA sehem moja yakimkakati sana
Pia kwenye angle yakiuchumi ipo safi kabisa
SVO iendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea kwenda kuwatembelea ukraine wakati anaishi kwenye maandaki kama nguchiro, anaogopa hata kivuli chake.Kwa nini Putin hapendi kuwatembelea wanajeshi wake walioko mstari wa mbele ? Watakata tamaa.
Duh Ila bro Hii simulation imekaa kimchongo 😂!
Mimi video Wkt tu video inaanza nilipoona Kuna uhusika wa data kutoka CIA nikaishia hapo hapo.Duh Ila bro Hii simulation imekaa kimchongo 😂!
Russia ina idadi ya watu mil 140+, europe mil 700+, North America (USA na Canada) wapo kama mil 370 hivi combined. Na maana ya NATO Population ipo over 1 billion, karibu mara 10 zaidi ya Russia.
Russia ana makombora mengi zaidi kuliko wao wote wakijichanga. Bila kusahau idadi ya watu (Makaazi) Russia wapo scattered ukilinganisha na Europe waliokusanyana kama nzi sehem moja.
Halafu simulation inakwambia Russia watakufa wengi zaidi kuliko Europe na west kwa ujumla 😂 (NATO).
Kwingine kote, mengine yoooote simpingi ila hilo tu nimemeza mate kwanza! Its like Pwani ishambuliane na Jiji la Dar kwa kutumia weapons of Mass destructions. Kieneo pwani ni kubwa maradufu kuliko Dar ila wakazi wa Dar wapo wengi mara dufu kuliko Pwani.
Then kuwe na shambulio of mass destruction Pwani wadanje wengi kuliko Dar wakati yenyewe Pwani imejaa mapori tu. Ilhali kiuhalisia shambulio mojaa tu ubungo linaweza kuondoka na Idadi ya watu sawa na Idadi ya watu wote waliopo Pwani.
Tukiangalia UK alone ambayo itafutika dk chache ina wakazi nusu ya waliopo Urusi yote. Germany huyu alie jiran hapo ana wakazi 83Mil, karibu theluthi mbili ya wakaazi wa Urusi. Hatuja waweka France, Spain, Portugal na Poland maeneo ambayo yanaweza fikiwa chini ya dk 7.
Yah kuna wengine watashangaa chini ya dk 7 kivipi, ndio ni chini ya dk 7 na hizo means of delivery Russia anazo. Kama the farthest point kutoka Russia. I mean UK kwa speed ya Samart 2 yenye marlch 27 ikitokea Kaliningrad inahit london kwa dk 3 how about hawa majiran kama Poland, Germany na hao chawa wadogo wadogo (zile former Soviet countries) mmmh?
Ok kingine aliye na Nuclear weapons ndani ya Europe ukimtoa Russia ni UK na France. Hawa wawili pa1 wana posses less than 10% ya mzigo alio nao Russia. So shambulio la Nukes litafanywa kwa kiasi kikubwa kutoka kwa dada yao US endapo kama Vita ya Nukes ikitokea.
Je how about Means of delivery zikoje kwa US? Umbali kutoka kwake hadi sehem ya kuweka madhara kwa Russia ukoje? Nani atamuwahi nani? Hadi yeye aje afikishe madhara kwenye ardhi ya Russia hiyo Europe iliyokaa kama Pua na mdomo kutoka Moscow itakuwa imebakishwa nini?
Anyway tuliache hilo... Kila mtu ana mtizamo, nae wake aliyetoa simulation wacha tuupokee!
Hatuko kwenye kuandaa thesis hapa hoja hupingwa Kwa hoja na si attacks na rebuke za kipumbav bila hoja we weka hoja zako zinazodisprove hicho kilichowekwa Wikipedia au simply Google news sources nyingine ufuatilie kuona kama hao watu wako hai mpaka sasa na kama wameuawa waliuawa na Nani ,wapi na katika mazingira gani ?Kama unaandika thesis au dissertation halafu sources zako zikawa ni Wikipedia hakuna supervisor anayeweza kuipitisha kazi yako
We ni kvmaNdio michezo yenu huko west ndo maana tunapinga uchoko unaofanywa na baba yako na mama yako pamoja na wewe na ndugu zako usienee. Laaanakum
Duh Ila bro Hii simulation imekaa kimchongo [emoji23]!
Russia ina idadi ya watu mil 140+, europe mil 700+, North America (USA na Canada) wapo kama mil 370 hivi combined. Na maana ya NATO Population ipo over 1 billion, karibu mara 10 zaidi ya Russia.
Russia ana makombora mengi zaidi kuliko wao wote wakijichanga. Bila kusahau idadi ya watu (Makaazi) Russia wapo scattered ukilinganisha na Europe waliokusanyana kama nzi sehem moja.
Halafu simulation inakwambia Russia watakufa wengi zaidi kuliko Europe na west kwa ujumla [emoji23] (NATO).
Kwingine kote, mengine yoooote simpingi ila hilo tu nimemeza mate kwanza! Its like Pwani ishambuliane na Jiji la Dar kwa kutumia weapons of Mass destructions. Kieneo pwani ni kubwa maradufu kuliko Dar ila wakazi wa Dar wapo wengi mara dufu kuliko Pwani.
Then kuwe na shambulio of mass destruction Pwani wadanje wengi kuliko Dar wakati yenyewe Pwani imejaa mapori tu. Ilhali kiuhalisia shambulio mojaa tu ubungo linaweza kuondoka na Idadi ya watu sawa na Idadi ya watu wote waliopo Pwani.
Tukiangalia UK alone ambayo itafutika dk chache ina wakazi nusu ya waliopo Urusi yote. Germany huyu alie jiran hapo ana wakazi 83Mil, karibu theluthi mbili ya wakaazi wa Urusi. Hatuja waweka France, Spain, Portugal na Poland maeneo ambayo yanaweza fikiwa chini ya dk 7.
Yah kuna wengine watashangaa chini ya dk 7 kivipi, ndio ni chini ya dk 7 na hizo means of delivery Russia anazo. Kama the farthest point kutoka Russia. I mean UK kwa speed ya Samart 2 yenye mach 27 (mara 27 ya speed ya sauti) ikitokea Kaliningrad inahit london kwa dk 3 how about hawa majiran kama Poland, Germany na hao chawa wadogo wadogo (zile former Soviet countries) mmmh?