Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mue mnaangalia na watu wakubishana ama kujadiliana nao basiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine sio banana republic kama Syria ambapo alikuwa anapamvana na magenge ya wavaa kobaz wasio na silaha nzito .
Kama comparison yako hii ya huyu "bald head " wenu alichofanya Syria ndio inakupa nguvu ya kudhani atasucceed Ukraine ,then you are dead wrong
 
elensky anatapatapa [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wanawalinganisha wavaa vipedo kule Syria na majeshi shupavu ya Ukraine

Ajabu sana [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hayo maswali muulize US aliyekataa kumpa silaha Ukraine zinazoweza kupiga Moscow,nadhani wao wanajua sababu zaidi yangu Mimi!
Nways,hata Zelensky,anataka jumuiya ya kimataifa imtambue Putin kama gaidi,so ni sawa Kwa Zelensky kumuita Putin gaidi!Hivyo hivyo Kwa Putin,ameamua kutambua mashambulizi kwenye ardhi ya Urusi kama ugaidi!
Kwahiyo ni mtizamo wa kila upande!
 
hii vita bwana putin akimaliza na ushindi lazima tumzawadia mbuga ya serengeti.
---------------
The number of Polish mercenaries on the line of contact in Zaporozhye up to 5 thousand, Vladimir Rogov.
Wacha apigishwe danadana, aliyataka mwenyewe,kilikuwa na ubaya gani angelidhika na Crimea,

Putin alitaka apate sifa za kijinga,eti aionyeshe dunia kuwa yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72.., atulie dawa imuingie vizuri hakuna namna [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aanze kuzisaidia kwenye mafuta
 
US aliwekeza sana mifumo ya ulinzi Alaska kwa kuwa ni karibu na Russia. Alidhani Russia akianza kumshambulia makombora atayapitishia Alaska.

Russia ikawaza tofauti, ikaanzisha mfumo mwengine wa ku deal na US (nimeusahau). Kombora linapitia south pole linaweza kutokea Mexico na kushambulia US.

US mwenyewe akachoka! Akasema uongo! Putin alivyofanyiwa interview na Megan wa US akamjibu hiyo mifumo tunayo na imefanikiwa.
 
A bill was submitted to the US Congress to withdraw US missile defense systems from the UAE and Saudi Arabia.
------------------
super power ana wivu wa kifala
Anatishia nyau hathubutu hii! Na waarabu wenyewe wanajua hatothubutu hii!

Unakumbuka ishu ya Jamal Khashughi? Trump alisema Saudi Arabia inapesa na hawawezi kuzikataa!

Vipi issue ya petrodollar? US yupo tayari kupoteza hii?!

Unakumbuka kipindi cha King faisal na misimamo yake iliyowapelekesha US puta? Mpaka wakamtumia binamu yake akampiga jambia Faisal ndani ya kasri?

US hathubutu hili! Atapoteza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…