Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia anaonekana anazo kete nyingi sana kaziweka kibindoni basi tu katulia zake wanasema utu uzima dawa.

Tatizo mtu anakuqoute sio kwa lengo la kujenga hoja nzuri itakayoleta conversation iliyo bora bila kujali upande mtu anaosupport, sasa unakuta mtu anakukuote kwa kuweka nakadharau mwanzo ety ji update.
😂

Sure, huyu wa leo nimeamua kumjibu but huwa nawakaushia saaana tu. Kuzungumza mtu juu ya jambo ambalo halijui af analazimisha kulijua ni habari nyingine.

Kibaya zaidi ukiangalia Muktadha wa kile alicho andika na kile nilichokua nazungumza na bro Jesus Mlokozi ni vitu viwili tofauti.

Kule nimezungumza habari ya Casualties ya Raia hasa wa EU walio karibu na Russia ambao watakumbwa na sokomoko kabla dada yao US hajafanya chochote Moscow. Ye analeta habari za kuji'update 😂.

Hapo Russia, City with highest Population ndani ya kwanza Moscow kisha St Petersburg. Angalia umbali wa hii miji kutoka France ama UK ama US (Nchi ambazo zinamiliki Nukes weapons ndani ya NATO). Kwa UK na France, Russia ana uwezo wa kuwafikia chini ya dk 7. Na US in less than half an hour, je vipi wao kuifikia Moscow?

Russia kuna 85 regions zinazo stretch from eastern Europe to far east jiran na Japan. Nahisi ndio nchi yenye mikoa/majimbo mengi zaidi duniani. Na population yake pia iko scattered kwenye majimbo hayo.

Kuhakikisha umetia casualties kila kona si kazi ndogo hasa ukiangalia means of delivery kila mmoja alizonazo.

Upigane chumbani utegemee msaada wa jirani kutoka nyumba ya 7. Hivi hadi aje afike hapo ndani utakuwa umebakizwa nini? Sasa hata ile ku'think rationally mtu hawezi. Na hawezi of course kama anakwambia 6,065 ni kubwa kuliko 6,257 mnajadiliana nini sasa hapo kama sio kupoteza mda.
 
Russian President Vladimir Putin officially declares the attack on the Kerch bridge a terrorist attack on the infrastructure of the Russian Federation.

“There is no doubt about it. This is a terrorist attack aimed at destroying the critical civilian infrastructure of the Russian Federation. And the authors, performers, (of the attack) - are the special security services of Ukraine.”

Tomorrow, the Russian leader is scheduled to hold a meeting of the Russian Security council, where “appropriate measures” will be decided, according to a number of Russian officials.

Source: Russian mainstream media
 
View attachment 2381919

[emoji298]️Another batch of Ukrainian pacifist cooks surrendered, all against the war and want to go home to their mother. The one on the far right seemed to be looking for acorns.
Hii itakuwa ya february sasa hivi frontline inavaa ribbon za blue na sio yellow kama zamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaka Tatizo linakuja mtu unamwelezea ukweli halisi yeye anapinga, nikweli sometimes unatakiwa kumjibu kulingana na vile alivyokukurupukia, ikiwezekana unamuignore kabisa.
 
Putin na Prorussia wake ni mateja wa mihadarati, wanaishi katika ulimwengu wao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…