Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni vita au SMO au opereshini tu??![emoji16]
Proputin hamueleweki mnaposimamia.
Ndivyo ilivyo kwenye vita hata Palesitna na nchi zingine ambazo raia huuawa.

Hii ni vita kati ya Russia na NATO akisaidiwa na Marakeni ambayo waitumia Ukraine.

Sababu na mengine yote tayari tumeyaeleza humu.
 
Hii habari ya Belarus kutangaza vita na Ukraine sijaiona kwenye chanzo chochote Cha habari, sijui comred kaiokota wapi[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
We ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] tushakudharau.
 
The number of missile hits in Ukraine at the moment:

47 in the Nikolaev region
60 were counted in Kyiv
15 in Lvov
27 in the Vinnitsa region
20 in Kharkov
15 in the Odessa region
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Makombora yaliyorushwa hayafikii hata 90 hapa naona makombora karibia 200..,msitake kutufanya kama wote tuna mtindio wa ubongo hapa jukwaani [emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Says a man from Tz......
Unadhani yeye ni Mjinga au hana washauri.....
Hakuna wa kumpindua Rais mwenye Support ya Russia tuliona kwa Bashar Al Assad.
 
Sasa kulipua majengo ya makazi ya watu na kuua raia ndo u special wake ulipojikita?

Yaani huyu ndo hatodumu hata muda kwenye hiyo nafasi maana ataitia hasara kubwa Russia ya kurusha ovyo makombora pasipo kufifisha nguvu ya jeshi la Ukraine.
 
Says a man from Tz......
Unadhani yeye ni Mjinga au hana washauri.....
Hakuna wa kumpindua Rais mwenye Support ya Russia tuliona kwa Bashar Al Assad.
Naona wewe unayepinga uko Belarus. Sawa, akipeleka majeshi yake Ukraine uniite. Akiondolewa madarakani nitakuita vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…