Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

the goal of our future actions, in my opinion, should be the complete dismantling of the political regime of Ukraine.


MKUU hapa nimeelewa vibaya ama!!?

Elensky anatatiwa muda sahihib

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi inaendelea kupendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Massive problems with the Internet in Ukraine.

Traffic fell in Khmelnitsky, Lviv, Poltava regions, Kharkov and Zhytomyr.

Earlier, the mayor of Kiev said that due to the morning shelling, the critical infrastructure of Ukraine was damaged.

Subscribe to @Sputnik
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Tunataka tuwaweke gizani hawa panya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1255]The consequences of the strike on the Kiev thermal power plant, now clouds of smoke are rising from there.

Subscribe to @Sputnik
 
Ni Ujinga kufikiri Putin ataishinda Dunia, ku violet sheria za kimataifa kuhusu usalama ni kujipalia makaa, kutamba kwamba katika vita hii hajafanya chochote cha kushangaza ni dalili ya vitisho vya woga.
 
Fuatilia hivyo vikosi vya Ukraine vilivyoko huko usikie kinachowapata...Ni hatari ...vitafutwa muda siyo mrefu kwani haviwezi tena kurudi nyuma
 
Meya Lyiv analalamima hakuna Umeme wala maji amesisitiza wananchi pamoja na Wanamgambo wajisaidie porini na magazeti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


[emoji1255]Preliminary consequences of a massive missile strike on Ukraine:

[emoji3502]Kiev and the region β€” the tension has dropped. Interruptions in Internet and mobile communications.

The mayor of Lviv reported an explosion at a critical infrastructure facility, a CHP plant was stopped, part of the city was without electricity.

The mayor of Khmelnitsky reported a blow to the infrastructure of the city, there is no light and water in the regional center.

The Mayor of Kharkiv stated that one of the strikes hit the energy infrastructure facility, in some areas the light was lost, there is no water supply.

[emoji3502]"Ukrainian Railways" warned about the possible delay of western trains due to damage to the contact network.

Subscribe to @Sputnik
 
kwani unafikiri Ukraine hawana za kupiga hadi Moscow? mwambie asitambe sana watu wanamchora tu. Si ana kila aina ya Scan pale darajani muulize bomu limepitaje pitaje?
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Nchi imekua kama Kijiji cha Ujamaa mnyama yupo kazini

[emoji1255]Up to 75% of Ukraine's Internet traffic has disappeared, according to the Netblocks service.

Subscribe to @Sputnik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…