Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unalijua jeshi la lukashenko kumliko Lukashenko mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Urusi yuko Njema nyie, kujaribu kulipua Daraja tu, ametembeza kichapo kwa miji karibu 10. We unahisi Ukraine akirusha kombora lolote hata liwe blocked na system za Urusi, atakula kichapo mwanzo mwisho.
Ukraine pia ana silaha za kupiga hadi moscow, ila ni lazima uendane na sheria za Kimataifa kuhusu matumizi ya silaha hizo nzito.
 
Kwa hali hii mtu anaweza kupokea kichapo kingine heavy usiku huu
 
Urusi yuko Njema nyie, kujaribu kulipua Daraja tu, ametembeza kichapo kwa miji karibu 10. We unahisi Ukraine akirusha kombora lolote hata liwe blocked na system za Urusi, atakula kichapo mwanzo mwisho.
Mambo Bado magum, Ukrein nae kama anaapa lipiza kisasi hatujui atalipiza katika mbinu zipi, nafikili wiki mbili zijazo WENDA Hali ikawa mbaya katika vita hii
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji1255][emoji635]Putin: The Kiev regime has put itself on the same level with terrorists by its actions.

In response to the terrorist attacks on Russian territory, a massive blow was dealt to the critical infrastructure of Ukraine this morning.

In case of attempts of new sabotage by Kiev, Russia will continue to respond harshly and symmetrically.

Subscribe to @Sputnik
 
Ukraine pia ana silaha za kupiga hadi moscow, ila ni lazima uendane na sheria za Kimataifa kuhusu matumizi ya silaha hizo nzito.

Hahaha, upo Dunia ya ngapi, hii Conflict ilipofikia haifuati sheria za kimaraifa.

Ingekuwa sheria za kimataifa inafuata, basi kila chombo cha ulinzi kinachoingia Ukrain basi ilipaswa kupata kibali cha UN security council, lakin mpaka sasa CIA, sijui Polish sodiers wapo kibao Ukrain bila kibali.

Ingekuwa sheria za kimataifa inafuatwa basi Urusi ilipaswa kupata kibali naye kabla ya kuingiza jeshi lake Ukrain.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
In Bulgaria, they are investigating the information that the truck that exploded on the Crimean Bridge came from the republic.

The government of the country requested information from the special services about the blown-up car.

Earlier, Bastrykin said that the cargo got to the Crimean Bridge, having arrived from Bulgaria via Georgia, Armenia, North Ossetia and the Krasnodar Territory.

Subscribe to @Sputnik
 
Hawawezi maana kiranja wao mkuu aliwaambia juzi kuwa Putini hatanii
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji1255]Preliminary information on the local "blackout" in Ukraine.

Power outage occurred in Lviv, Poltava, Sumy, Kharkiv and Ternopil regions.

The rest of the regions are experiencing partial power outages, the State Emergency Service of Ukraine reported.

The power supply in Kiev and the Kiev region is partially limited, emergency shutdown schedules are in effect.

Subscribe to @Sputnik
 
Alipize kisasi kwa nani?? Na umemsikia Putin amesema leo anaona UKRAINE wanahangaika wakati hata hao URUSI hawajaanza OP seriously.
Hata wenzao bado Ndo maana hata silaha za masafa marefu Bado ajaanza zitumia, jinsi mrusi anavyopiga hesabu zake step by step ndivyo Ukrain na washirika wake wanapiga hesabu,

WENDA hata iyo daraja pamoja kwamba imepigwa WENDA walitaka ona pia reaction ya Urus, na kweli kafanya , ila pia imetoa mwanya pia KWa wapinzani wake kujipanga vizuri ,
 
Tuwe serious kidogo wadau, hii OP ambayo Urusi anafanya amejitahidi mno kuepuka kuua raia. Shida kubwa niliyoiona ni kwamba Ukraine anapigana sana mitandaoni, anaaminisha watu kuwa anaweza kupigana na Urusi na anashinda hiyo vita.

Ukweli ni kwamba Urusi yuko mbali mno, anakupa kichapo pale tu ukivuka mstari aliojiwekea mwenyewe. Kama anaweza kufumua ubalozi wa UJERUMANI hapo KYIV lazima tujue kwamba Hao jamaa siku wakisema wanaingi mzigoni Rasmi basi ndio ama Zelensiky auawe au akimbie.

Kwangu mm naomba tu Urusi wasifikie huko, maana hadi sasa Satelite wanazotegemea Ukraine kuwapa taarifa sahihi hazifanyi kazi.

Ukraine atafute suluhu ya maongezi na sio Silaha, ataumizwa vibaya zaidi na zaidi.
 
U.S.A ni mandonga wa Dunia tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…