kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hizo silaha anazotoa US [emoji1258] ni za miaka ya 90.., lakini zinamtoa kamasi urusi mpaka Sasa Ukraine imemuelemea..,kila siku vikosi vyake vinazidi kusukumwa nyuma..,Sasa Kuna haja gani us kuingia mzigoni kumchakaza??Acha ushabiki ndugu wasema US hana haja ya kupoteza resources?
Wafahamu US ametoa kiasi gani cha silaha na za thamani gani? - Resources
Wafahamu ni majeshi kiasi gani wa Ukraine wapo US pale Oregon wakipewa mafunzo?- resources
Wafahamu ni makampuni mangapi binafsi yasaidia shughuli za Marekani nchini Ukraine?- Resources
Wafahamu ni askari wa akiba kiasi gani wa Marekani (special Forces) wapo Ukraine wakitoa ushauri elekezi? - Resources.
Je wafahamu ni watu wangapi wapo kwenye kampeni hii kuanzia wale majasusi, vyombo vya kijasusi, na uchukuaji picha za satelites nazoi hizo zote ni resources.
Wamewekeza fedha nyingi pale Ukraine lakini sasa washindwa na ndo maana wameanza kufanya mashambuklizi ya mabomu.
Wao ndo wafundisha utumiaji wa mabomu walinza na pale Moscow na kisha wakahamia kutaka kubomoa daraja Crimea.
Watu wengi waelewa walionya juu ya hatua hiyo (reckless) ya kushambulia miundo mbinu ndani ya Russia lakini Ukraine vichwa ngumu hawakusikia.
Hivi, umesikia kauli yoyote kutoka huko NATO US au UN hadi mida hii baada ya mashambulizi haya ya Russia?
OkHizo silaha anazotoa US [emoji1258] ni za miaka ya 90.., lakini zinamtoa kamasi urusi mpaka Sasa Ukraine imemuelemea..,kila siku vikosi vyake vinazidi kusukumwa nyuma..,Sasa Kuna haja gani us kuingia mzigoni kumchakaza??
Kaona asikuze tu mambo maana Ukraine kaonekana kumuweza sana urusi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Leo naona huleti video za mateka wa Urusi na maeneo yaliokombolewa,unaleta tu video twa lawama na kulialia 😆😆Hii nguvu mnayotumia kupiga magari na barabara kwanini hayo makombora msishambulie frontline ya Ukraine wanaokomboa miji na kuua makuruta wenu
Sasa cha ajabu ni nini ? Napigana na wewe hapa afu wewe unarusha kibomu cha petrol kuchoma nyumba yangu...afu yu call it vita ..🤣🤣🤣 Urusi Hana silaha za kisasa,alafu anapiga kwa silaha za masafa mareeeefu😆😆
Sawa, ngoja tuendelee kushuhudia hiki kichapo anachotembezewa super pawer wa mchongo.., operesheni ya saa 72 imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848][emoji12]Ok
Basi tuendelee kushuhudia hii operesheni maalum ya Russia ikijipambanua kila kona.
Yaani hata Mimi nimeshangaa,akifanya full mobilization akatngaza full scale war,aisee yaani Hadi tutamlaumu Putin kwa atakachofanya.Leo Russia wameonyesha uwezo wa kuichakaza Ukraine ndani ya masaa tu kwanza kazima Starlink kawakatia mawasiliano wote
Huyu mzee kawaingiza warusi wenzake chaka sababu kashaishi maisha yake yote Hana cha kupoteza.Kama kawaida,Wala kichapo hakijapoa,Kiko palepale.., front line ni pa moto kweli,View attachment 2382889
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Missiles karibia zote zimerushwa toka Belarus. Ni tatizo kwao tena kubwa[emoji1200][emoji1044]The Polish Foreign Ministry recommends compatriots to leave Belarus.
This should be done "by commercial and private means."
The Ministry of Foreign Affairs warns that "in the event of a sharp deterioration in the security situation, border closures or other unforeseen situations, evacuation may be significantly difficult or even impossible."
Subscribe to @Sputnik
Hakika..,ndio hasara ya kuishi na utawala wa kidkteta.., mawazo ya kichaa mmoja tu ndo yanaamua hatma ya taifa [emoji848]Huyu mzee kawaingiza warusi wenzake chaka sababu kashaishi maisha yake yote Hana cha kupoteza.
Watu wa sampli hizi ni hatari sana kwa usalama wa Dunia yetu.
Sawasawa.Sawa, ngoja tuendelee kushuhudia hiki kichapo anachotembezewa super pawer wa mchongo.., operesheni ya saa 72 imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848][emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Very soon huyu jamaa atabakia kwenye vitabu vya historia...trust me...Hakika..,ndio hasara ya kuishi na utawala wa kidkteta.., mawazo ya kichaa mmoja tu ndo yanaamua hatma ya taifa [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app