Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naomba ujibu hili swali,kwani ni nini kimemzuia Ukraine kupiga kwa silaha za masafa mareeeefu 😆😆,wakati yeye anapigwa nazo,mbaya zaidi yye ndio kavamiwa?
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia Acting Within Scope of ‘Special Operation’ — Kremlin

Key points of spokesman Dmitri Peskov’s Monday briefing following Russian strikes on Ukrainian infrastructure:

[emoji830]Russia is acting entirely within the defined scope of the “Special Military Operation” in Ukraine

[emoji830]The decision has not been made to increase the scope of the operation and make it a counter-terrorist operation

[emoji830]The key moves within the “special operation” are being reported to the Russian president

[emoji830]Moscow did not receive any offers to negotiate with the West regarding Ukraine

[emoji830]Russia has no desire to participate in the US’ escalatory nuclear rhetoric

Subscribe to RT
 
Na hiyo yote ni kutafta sifa za kijinga..,eti anataka dunia imuone kama super pawer wakati huo uwezo Hana[emoji848]

Anajaribu kutumia nguvu nyingi kwa vitu hambavyo hata haviwezekani,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
General kawapigisha jaramba Serikali ya Zelensk yote imeingia kwenye mapango [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inaonekana una Tabia za kikahaba we bibie,maana huishi kujitongozesha,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tumia tu lugha ya kawaida mwisho wa siku hii mijadala ni kuelimishana tu, mtu huelewi kuwa tayari kuelimishwa.

Humu tumo watu wa maarifa mbalimbali, elimu mbalimbali na ujuzi mbalimbali.
 
Tumia tu lugha ya kawaida mwisho wa siku hii mijadala ni kuelimishana tu, mtu huelewi kuwa tayari kuelimishwa.

Humu tumo watu wa maarifa mbalimbali, elimu mbalimbali na ujuzi mbalimbali.
Mbona hujamkosoa yeye kwanza kwa hiyo lugha aliyotumia dhidi yangu ..,hapa umeonesha kwamba na wewe ni mnafiki,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuelezea chanzo cha Urusi kuingia vitani mkuu bila kuwa na upendeleo,au ushabiki? Hebu tuongee kama wanaume tuweke pembeni hisia za mihemko,kama ukishindwa useme hapa kuna pande mbili,pro NATO na pro Russians. Wataleta michango ya kujenga. Karibu
 
Mbona hujamkosoa yeye kwanza kwa hiyo lugha aliyotumia dhidi yangu ..,hapa umeonesha kwamba na wewe ni mnafiki,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nafikiri sijaiona hiyo ila na yeye pia ujumbe wamlenga.

Narudia tena kwa wote tuwe na mijadala pevu ya kupanua wigo wa kufikiri nje ya boksi.

Tuache utoto na mizaha.
 
[emoji779]️Kiev’s Air Defense Systems May Have Malfunctioned — Reports

Footage accompanied by claims on social media are reporting Kiev’s air defense systems may have failed to intercept their targets in some cases.

Instead the missiles reportedly fell out of the sky and into the city during Russia’s Monday strikes on Ukraine’s energy infrastructure.

Subscribe to RT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…