TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Kilichowapata wanakijua wenyewe.......mrusi sio mnyama wakutaka mauaji makubwa ya binadamu....mzee mzima kapiga sehemu muhimu kabisa na katuliaKwamba hayo mashambulizi yameua wanajeshi wangapi wa ukraine mpaka muda huu?
Kaokoteni maiti ya mwenzenu huko kherson
Sio kwamba hawezi, angekuwa na hayo makombora angeweza...Ndio maana urusi akiambiwa afanye mashambulizi kama alivyofanya Leo kwa siku tatu mfululizo huo uwezo Hana.., vikombora vyenyewe alikuwa amevitunza kama nguo za sikukuu, maana vikwazo vya west vimembana sana kuwa na silaha kama hizo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Una uhakika na usemacho?Russia ametumia $6 billion mpaka leo, America na EU na NATO wameshatoa karibu $24 billion kwa Ukraine lakini Russia pamoja na kutumia gharama ndogo ameshachukua robo ya nchi ya Ukraine na kurudisha kwa mama yao Russia.
Kuna watu huwa wanashindia makande na kuota ndoto...Kwasababu yakurusharusha hovyo hivyo vikombora vyake jana?
Nimeshangaa sana jeshi kubwa kuangamizwa kirahisi hivyo...Hii jana tazama convoy ya missile launchers zilivyokaangwa aisee ni msafara mkubwa
Hii jana tazama convoy ya missile launchers zilivyokaangwa aisee ni msafara mkubwa
Alafu kumbe wana akili, wanajua fika west hutumia democracy kunyonya nchi nyingine. Aisee !! Mie nilijua ni empty kuchwani, hawajui walisemalo kumbe wanajua.Vipi bado Urusi anauvunja moyo wako? Au umepata ahueniView attachment 2382977View attachment 2382978
Europe uchumi na baridi sijui itakuwaje. Viongozi waliyopo wote watapigwa chini. France, German, UK, Italy tayari,[emoji298]️Ukraine will STOP exporting electricity to EU from Oct 11 - after strikes hit critical facilities on Monday (Country's energy ministry)
BREAKING @RT_India_officialView attachment 2383070
Kwasababu yakurusharusha hovyo hivyo vikombora vyake jana?
Kwa sababu za kibaguzi kama hizi ndio imepelekea waafrica wengi wanapinga unafiki wa westernersPro Russia wameamka sasa [emoji1787]
Ukifatilia huu mzozo utaona kabisa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla wanao support Russia ni wengi zaidi kuliko pro Ukraine.
Nimejaribu kufatilia Facebook na Twitter (angalia comments za watu kwenye post za BBC kuhusu huu mzozo utanielewa) hili liko wazi kabisa hata hapa Jamii forum sema tu kwa Tanzania kuna baadhi ya watu wanaweka kaudini, ukimshabikia Putin unaonekana mvaa kobazi [emoji1787] lakini ukweli kwa mzozo huu Waafrika wengi tupo upande wa Putin [emoji7]
Akili wanazo ila wanajitoa ufahamu, tatizo wamekua brainwashed na Hollywood movies.Alafu kumbe wana akili, wanajua fika west hutumia democracy kunyonya nchi nyingine. Aisee !! Mie nilijua ni empty kuchwani, hawajui walisemalo kumbe wanajua.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Vipi darajani pale au Binti wa Dugina ni wanajeshi wa uraisi, mabeberu na vibaraka wao wamegeuka magaidi🏃🏃Vita vipo luhansk nyie mnapiga makombora majengo kyiv....nyie hamnazo?