Mkuu acha kufuatilia habari kutoka kwenye Telegram na Instagram, huko video nyingi unazo ziona ni za kutengeneza na habari nyingi ni za uongo.Mkuu kumbe Energedar ni uongo. Bado ipo chini yetu. Naona kuna propaganda nyingi sana mitandaoni
mkuu hicho ndicho nlichokisema kwe comment yangu soma tena, na ht hio miaka hamsini walioko kwe hizo industry nao kila kukicha wanawekeza mabilioni kwe researches development so kadri unavyowasogelea nao wanasogea mbele, kwa bahati mbaya kuna watu wao wanashangilia tu kauli za kisiasa za putin, halafu utegemezi wa urusi kwa west kwe civillian tech haujaanza leo kwan tangu enzi za USSR stalin alitegemea sn wamarekan kutengeneza refineries na sekta zingine za oilhayo masuala hatakama kweli wanania nayo nakama wanataka kuyafanya basi sio marahisi wala mepesi kama unavyodhania MKUU
hayo mambo yanaweza kuchukua hata miaka 50 nazaidi natena yanaweza kuchukua ama kuondoka hata na roho za watu ndio yafanikishe
Ndiyo maana kuna comment yangu huko nyuma niliweka maneno ya tahadhari ya "kama ni kweli".Haingii akilini kuwa atazuia WC isifanyike kisa kapigwa ban.Asante kwa angalizo hili Mkuu.Acheni kumlisha maneno mzee wa watu hakuna sehemu alisha sema hayo maneno .
Nadhani watu wanatumia maneno kama hayo kama utani na kumdhihaki lakini hakuna sehemu alipo sema hivyo.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ukraine ina wayahudi takribani 50,000 ila Russia ina wayahudi zaidi ya 190,000 wengi walikimbia holocost ujerumani, hata wale waliokimbilia Australia,Canada na Marekeni wengi tu ni Ashkenaiz walitokea USSR. kituo cha kwanza kilikuwa ussr kwasababu wao pia walikuwa victim wa hitler, then from there wakaanza kusambaa nchi zingine sasa. kuna wayahudi wengi sana urusi kuliko hata ukraine.Unachokisema ni kweli kabisa maana kuna msemo unasema " damu nzito kuliko maji" . Nimeona hata jinsi Israel mwanzo alikuwa hataki kuikosoa Russia kwenye huu mgogoro kwa lengo la kutokuharibu mahusiano yake na Russia na ilikuwa hataki pia kushiriki kupiga kura zile za juzi za UN General Assembly lakini akashinikizwa na West na dogo wa Ukraine alimpigia inasemekana waliongea mengi na baada ya hapo Israel ikashiriki kura za kuitosa Russia japo kwakujivuta sana.
Lakini hawa jamaa walizagaa sana nchi za Ulaya, maana kulikuwa na taarifa za Muda Mrefu zisizothibitishwa kuwa Mama yake Putin ana asili ya Uyahudi/Jewish. Na pia Waziri mkuu wa sasa wa Russia naye inasemekana ana asili hivyo. Ukiangalia tangu miaka ya nyuma Urusi imekuwa na mawaziri kadhaa wayahudi.
Hana hzo silaha ni mkwara tuu , helicopter zake zinaendelea kupukutika kama ukoma , huwez kuua vijana wako vitani wakat unashort curt ya kufinish the war,Kwanza putin anawaonea huruma hawa vijana binafsi sijaona silaha ya kisasa hata moja
yeah hamna ushahidi km aliongea hvyo but shida habari ilikuwa ikisambazwa sn na pro russia activits kwe mitandao ndio mana watu wameichkulia km ilivyoAcheni kumlisha maneno mzee wa watu hakuna sehemu alisha sema hayo maneno .
Nadhani watu wanatumia maneno kama hayo kama utani na kumdhihaki lakini hakuna sehemu alipo sema hivyo.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
mungu yupi unaemzunguzia mkuu ..libya.iraq.afghanstan.congo nk.mungu yupi sema wanadamu akili zetu tunazijua wenyewe tuTake it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
But Russia did the mistake to invade Ukraine, Ukraine alone without NATO can create Nuclear weapons.Hebu fuatilieni geopolitics ya Eastern Europe kwanza, sio kutema maneno tu, Kwa kiasi kikubwa Russia is not an agreesive state or rouge state or a threat to the world, USA na NATO ndio wanataka kuharibu hii Dunia.
Putin is very smart kuivamia Ukraine, ni kama preamptive attack, ana secure future ya Russia, marekani na NATO wanataka ku tip the balance of terror by strategically installing nuclear arsenals Ukraine, making Russia very vulnerable kwenye countermeasures Incase of War, with supersonic nuclear arsenals Moscow inaweza pigwa ndani ya dakika 5 tu kutoka Ukraine, unafikiri Putin ni mjinga kiasi hicho to let that happen? Putin is not a mad dog attacking foreign countries, he's simply security the future of Russia and averting future war (www3), which is imminent kama kutakuwa hakuna balance of terror between Russia and western Europe.
Lazima western Europe iwe vulnerable ili Dunia na Europe iwe salama, it's called balance of terror!!! Russia is not safe unless the western Europe is vulnerable to Russia.
Unaweza usinielewe, ukielewe geopolitics ya Eastern Europe, NATO and cold war utaelewa nachokwambia. Kila nchi haitakiwi kuwa salama ndio Dunia itakuwa salama na ndio hicho Putin anachopigania.
Russia hawataki kukubali kuwa Wali underestimate uwezo wa Ukraine na hawakutarajia aina ya vikwazo walivopata.Kwamba mambo yamekuwa magumu wanaanza kuleta visingizio
Kwahio ulikaririshwa kuwa ukiwa dar ndio unajua kila kitu so ndio?Sisi vilaza wa Tanzania, mpaka wachambuzi wa nyuklia tunao. Na mchambuzi wa nyuklia unakuta anakaaa manyoni, ata Dar es salaam Tanzania apajui. Lakini anaichambua Russia na Ukraine kama anaichambua
Russia hawataki kukubali kuwa Wali underestimate uwezo wa Ukraine na hawakutarajia aina ya vikwazo walivopata.
Siku ya kwanza ya uvamizi wa Russia Ukraine walitumia jeshi la anga, Maji, ardhini na hata jeshi la mitandaoni, yaani ilikuwa operation kubwa sana
Pia siku moja au ya pili Russia waliteka Hadi uwanja wa ndege Kiev na hata hiyo update Pro Putin humu ndani waliiweka na wote tulitarajia by 27 Kiev ingekuwa imeanguka, lakini Ukraine waliwatimua Askari wote wa Russia, Hakuna Pro Russia anayeweza kusema wale Askari wa Russia waliokuwa Mji Mkuu wako wapi.
Hadi Sasa Russia imerudishwa nyuma(defeated) mara 3 na Askari wa Ukraine.
Now imagine Ukraine ikipewa ndege vita na mifumo ya Anga Itakuwaje kwa Russia?
mkuu kwa mfuga mbwa wewe mgeni tu muukizei jamaa mmoja ilikua anaitwa bongoMrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu. Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.
Wanaita military operation kwao hii siyo vita just military operation.Sasa hao raia waondoke kwa sababu gani kwenye hili urusi kakosea hana cha kujitetea unampigaje mtu bila kukuchokoza atatumia makosa ya nato ya kupiga Libya na Iraq
Military operation kwanini asifanye Moscow?Wanaita military operation kwao hii siyo vita just military operation.
Yaani Russia imebidi iweke Sheria ngumu kwenye upatikanaji wa Taarifa, ukihesabu haya matukio ya kufa kwa Askari wa Russia kwa siku ni zaidi ya 100View attachment 2140439
Hii inaitwa don't hit them from the beach , waache waje Kwanza alaf uwape kitu roho inademand ..!!
Dada mambo ya humu usiyatilie maanani sana.Ndiyo maana kuna comment yangu huko nyuma niliweka maneno ya tahadhari ya "kama ni kweli".Haingii akilini kuwa atazuia WC isifanyike kisa kapigwa ban.Asante kwa angalizo hili Mkuu.
sasa hvi ukikosoa jeshi au ukitoa taarifa ya kuhusu ukraine ikawa inapishana na taarifa ya serikali ni jela miaka 15,Yaani Russia imebidi iweke Sheria ngumu kwenye upatikanaji wa Taarifa, ukihesabu haya matukio ya kufa kwa Askari wa Russia kwa siku ni zaidi ya 100
ushoga ndo ustaarabuEti Aeroflot will stop all flights abroad--------semeni kweli mmezuiliwa na waastarabu wa dunia.