LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
hayo masuala hatakama kweli wanania nayo nakama wanataka kuyafanya basi sio marahisi wala mepesi kama unavyodhania MKUU
hayo mambo yanaweza kuchukua hata miaka 50 nazaidi natena yanaweza kuchukua ama kuondoka hata na roho za watu ndio yafanikishe
mkuu hicho ndicho nlichokisema kwe comment yangu soma tena, na ht hio miaka hamsini walioko kwe hizo industry nao kila kukicha wanawekeza mabilioni kwe researches development so kadri unavyowasogelea nao wanasogea mbele, kwa bahati mbaya kuna watu wao wanashangilia tu kauli za kisiasa za putin, halafu utegemezi wa urusi kwa west kwe civillian tech haujaanza leo kwan tangu enzi za USSR stalin alitegemea sn wamarekan kutengeneza refineries na sekta zingine za oil
 
Acheni kumlisha maneno mzee wa watu hakuna sehemu alisha sema hayo maneno .
Nadhani watu wanatumia maneno kama hayo kama utani na kumdhihaki lakini hakuna sehemu alipo sema hivyo.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana kuna comment yangu huko nyuma niliweka maneno ya tahadhari ya "kama ni kweli".Haingii akilini kuwa atazuia WC isifanyike kisa kapigwa ban.Asante kwa angalizo hili Mkuu.
 
Unachokisema ni kweli kabisa maana kuna msemo unasema " damu nzito kuliko maji" . Nimeona hata jinsi Israel mwanzo alikuwa hataki kuikosoa Russia kwenye huu mgogoro kwa lengo la kutokuharibu mahusiano yake na Russia na ilikuwa hataki pia kushiriki kupiga kura zile za juzi za UN General Assembly lakini akashinikizwa na West na dogo wa Ukraine alimpigia inasemekana waliongea mengi na baada ya hapo Israel ikashiriki kura za kuitosa Russia japo kwakujivuta sana.

Lakini hawa jamaa walizagaa sana nchi za Ulaya, maana kulikuwa na taarifa za Muda Mrefu zisizothibitishwa kuwa Mama yake Putin ana asili ya Uyahudi/Jewish. Na pia Waziri mkuu wa sasa wa Russia naye inasemekana ana asili hivyo. Ukiangalia tangu miaka ya nyuma Urusi imekuwa na mawaziri kadhaa wayahudi.
Ukraine ina wayahudi takribani 50,000 ila Russia ina wayahudi zaidi ya 190,000 wengi walikimbia holocost ujerumani, hata wale waliokimbilia Australia,Canada na Marekeni wengi tu ni Ashkenaiz walitokea USSR. kituo cha kwanza kilikuwa ussr kwasababu wao pia walikuwa victim wa hitler, then from there wakaanza kusambaa nchi zingine sasa. kuna wayahudi wengi sana urusi kuliko hata ukraine.
 
Acheni kumlisha maneno mzee wa watu hakuna sehemu alisha sema hayo maneno .
Nadhani watu wanatumia maneno kama hayo kama utani na kumdhihaki lakini hakuna sehemu alipo sema hivyo.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
yeah hamna ushahidi km aliongea hvyo but shida habari ilikuwa ikisambazwa sn na pro russia activits kwe mitandao ndio mana watu wameichkulia km ilivyo
 
Take it from me, hakuna vita hapo!

Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.

Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.

Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
mungu yupi unaemzunguzia mkuu ..libya.iraq.afghanstan.congo nk.mungu yupi sema wanadamu akili zetu tunazijua wenyewe tu
 
Hebu fuatilieni geopolitics ya Eastern Europe kwanza, sio kutema maneno tu, Kwa kiasi kikubwa Russia is not an agreesive state or rouge state or a threat to the world, USA na NATO ndio wanataka kuharibu hii Dunia.

Putin is very smart kuivamia Ukraine, ni kama preamptive attack, ana secure future ya Russia, marekani na NATO wanataka ku tip the balance of terror by strategically installing nuclear arsenals Ukraine, making Russia very vulnerable kwenye countermeasures Incase of War, with supersonic nuclear arsenals Moscow inaweza pigwa ndani ya dakika 5 tu kutoka Ukraine, unafikiri Putin ni mjinga kiasi hicho to let that happen? Putin is not a mad dog attacking foreign countries, he's simply security the future of Russia and averting future war (www3), which is imminent kama kutakuwa hakuna balance of terror between Russia and western Europe.

Lazima western Europe iwe vulnerable ili Dunia na Europe iwe salama, it's called balance of terror!!! Russia is not safe unless the western Europe is vulnerable to Russia.

Unaweza usinielewe, ukielewe geopolitics ya Eastern Europe, NATO and cold war utaelewa nachokwambia. Kila nchi haitakiwi kuwa salama ndio Dunia itakuwa salama na ndio hicho Putin anachopigania.
But Russia did the mistake to invade Ukraine, Ukraine alone without NATO can create Nuclear weapons.

Russia expected to cripple Ukraine arm on first 3 days but it seems other wise, Russia so far she has managed to capture only one major city and still facing pockets of resistance from both the army and residents.

Russia will have to face economic hardships abroad and at home, and may be could not be able to finance this war, shall this war continue for very long time, Now Finland and Sweden are thinking of possibility of joining NATO, will Russia also invade them?
 
Kwamba mambo yamekuwa magumu wanaanza kuleta visingizio
Russia hawataki kukubali kuwa Wali underestimate uwezo wa Ukraine na hawakutarajia aina ya vikwazo walivopata.

Siku ya kwanza ya uvamizi wa Russia Ukraine walitumia jeshi la anga, Maji, ardhini na hata jeshi la mitandaoni, yaani ilikuwa operation kubwa sana

Pia siku moja au ya pili Russia waliteka Hadi uwanja wa ndege Kiev na hata hiyo update Pro Putin humu ndani waliiweka na wote tulitarajia by 27 Kiev ingekuwa imeanguka, lakini Ukraine waliwatimua Askari wote wa Russia, Hakuna Pro Russia anayeweza kusema wale Askari wa Russia waliokuwa Mji Mkuu wako wapi.

Hadi Sasa Russia imerudishwa nyuma(defeated) mara 3 na Askari wa Ukraine.

Now imagine Ukraine ikipewa ndege vita na mifumo ya Anga Itakuwaje kwa Russia?
 
Baada ya Leo majeshi ya Urusi kusitisha mapigano kwa muda(temporary ceasefire) ili kuruhusu raia wakawaida kuondoka kwenye maeneo yamapigano/vita(war zones) lakini taarifa zandani kutoka balozi na jeshi la Urusi zinasema serikali ya Ukraine na za magharibi zimekataa kuwaruhusu raia,
Mfano huko mariopol na Volnovakha,
Taarifa za kutoka vyanzo vya Urusi zinaongeza kuwa lengo lao(UKRAINE authority&West)
Ni kusababisha milipuko kwakutumia rocket systems zinazowekwa kwenye nyumba Kisha kuzi rekodi(filming) kuweka kwenye filamu Kisha kutuma kwenye vyombo vya habari vya magharibi.
View attachment 2140443View attachment 2140444
 

Attachments

  • Screenshot_20220305-234052.jpg
    Screenshot_20220305-234052.jpg
    27.9 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220305-234150.jpg
    Screenshot_20220305-234150.jpg
    35.9 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220305-234150~2.jpg
    Screenshot_20220305-234150~2.jpg
    33.2 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220305-234052~2.jpg
    Screenshot_20220305-234052~2.jpg
    24.9 KB · Views: 22
Russia hawataki kukubali kuwa Wali underestimate uwezo wa Ukraine na hawakutarajia aina ya vikwazo walivopata.

Siku ya kwanza ya uvamizi wa Russia Ukraine walitumia jeshi la anga, Maji, ardhini na hata jeshi la mitandaoni, yaani ilikuwa operation kubwa sana

Pia siku moja au ya pili Russia waliteka Hadi uwanja wa ndege Kiev na hata hiyo update Pro Putin humu ndani waliiweka na wote tulitarajia by 27 Kiev ingekuwa imeanguka, lakini Ukraine waliwatimua Askari wote wa Russia, Hakuna Pro Russia anayeweza kusema wale Askari wa Russia waliokuwa Mji Mkuu wako wapi.

Hadi Sasa Russia imerudishwa nyuma(defeated) mara 3 na Askari wa Ukraine.

Now imagine Ukraine ikipewa ndege vita na mifumo ya Anga Itakuwaje kwa Russia?


Hii inaitwa don't hit them from the beach , waache waje Kwanza alaf uwape kitu roho inademand ..!!
 
Mrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu. Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.
mkuu kwa mfuga mbwa wewe mgeni tu muukizei jamaa mmoja ilikua anaitwa bongo
 
Sasa hao raia waondoke kwa sababu gani kwenye hili urusi kakosea hana cha kujitetea unampigaje mtu bila kukuchokoza atatumia makosa ya nato ya kupiga Libya na Iraq
 
Ndiyo maana kuna comment yangu huko nyuma niliweka maneno ya tahadhari ya "kama ni kweli".Haingii akilini kuwa atazuia WC isifanyike kisa kapigwa ban.Asante kwa angalizo hili Mkuu.
Dada mambo ya humu usiyatilie maanani sana.
Maswala ya sijui Putin amesema ataiteka Ukraine ndani ya masaa 24 ,sijui ataigeuza Ukraine kuwa majivu mm Nadhani watu walikuwa wanaongea tu ili kunogesha uzi tu.
Lakini hakuna sehemu yeyote ambapo Putin kasema hayo maneno, bali alitangaza kufanya operation maalumu ndani ya Ukraine hakutaja ita dumu kwa muda gani na malengo yake ni yapi.

Putin ame dumu kwenye haya masuala ya kijeshi zaidi ya miaka 40 na amepiga vita vingi na kushinda kuanzia Syria,Gorgia,chechinia kwa hiyo ana jua nn maana ya vita na ugumu wake kwa hiyo kinacho endelea Ukraine usidhani amekurupuka kukifanya ni ana jua anacho kifanya.

Uwezo wa Urusi kuiangamiza Kiev anao tena sana tu ila kumbuka lengo la putin ni kuitoa serikali ya sasa na kuweka serikali nyingine itakayo msikiliza,sasa akiiangamiza Ukraine hiyo serikali atakayo iweka ita ongoza nn wakati nchi imeangamia?
Pia kuna sheria za kimataifa kuhusu vita usidhani unatumia kila silaha unayo jisikia unatumia tu.

Siasa si kitu cha kuangalia kijuu juu maana imeficha mengi na makubwa sana.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom