More to come,bado.Zelensky kachokoza nyuki,watamng'ata kweli kweli..[emoji845] [emoji1255] [emoji2526] The energy crisis is spreading after the strikes: The government asks Ukrainians to continue limiting electricity consumption from 17:00 to 23:00.
Yaani Putin katwanga bwana ,hii game haitaji hasira kwa kweliTutapaki tupande daladala
Nimejaribu kuipitia hiyo Article 5 pamoja na sheria yote ya kujiunga kwenye NATO.Wataalam naomba mnieleweshe. Jana moja ya maeneo yaliyolambishwa mchanga ni ubalozi wa Ujerumani mjini Kyiv. Navojua ubalozi inakuwa ni ardhi ya nchi husika ndani ya nchi ubalozi ulipo so kama ubalozi wa Ujerumani umegongeshwa maana yake Ujerumani imegongeshwa jana. Je article 5 ya NATO hapa haiwezi kuingia kazini kumlinda Ujerumani?
Hiyo article inafanya kazi kwa vi-inchi vidogo vidogo. Russia ni lidude flani likuuuuubwa sana.Wataalam naomba mnieleweshe. Jana moja ya maeneo yaliyolambishwa mchanga ni ubalozi wa Ujerumani mjini Kyiv. Navojua ubalozi inakuwa ni ardhi ya nchi husika ndani ya nchi ubalozi ulipo so kama ubalozi wa Ujerumani umegongeshwa maana yake Ujerumani imegongeshwa jana. Je article 5 ya NATO hapa haiwezi kuingia kazini kumlinda Ujerumani?
Nikupe historia kipindi Yugoslavia inapigwa mabomu na NATO balozi wa china aliuwawa pamoja na ubalozi wao kupigwa wakaishia kuomba msamaha tu yakaisha tukija kwenye case ya germany embassy ni tofauti yani Ukraine walikuwa wanalitumia kama command post yao ya mashambulizi kwa wanajeshi wao waiopo mstari wa mbele kwaiyo tayari germany walishajiingiza kwenye SMO ya urusi indirectly na ndio mahana Russia awajasema chochote wala kuomba msamaha ..Wataalam naomba mnieleweshe. Jana moja ya maeneo yaliyolambishwa mchanga ni ubalozi wa Ujerumani mjini Kyiv. Navojua ubalozi inakuwa ni ardhi ya nchi husika ndani ya nchi ubalozi ulipo so kama ubalozi wa Ujerumani umegongeshwa maana yake Ujerumani imegongeshwa jana. Je article 5 ya NATO hapa haiwezi kuingia kazini kumlinda Ujerumani?
Na Ujerumani hawawezi kulalamika!Nikupe historia kipindi Yugoslavia inapigwa mabomu na NATO balozi wa china aliuwawa pamoja na ubalozi wao kupigwa wakaishia kuomba msamaha tu yakaisha tukija kwenye case ya germany embassy ni tofauti yani Ukraine walikuwa wanalitumia kama command post yao ya mashambulizi kwa wanajeshi wao waiopo mstari wa mbele kwaiyo tayari germany walishajiingiza kwenye SMO ya urusi indirectly na ndio mahana Russia awajasema chochote wala kuomba msamaha ..
[emoji23][emoji23]View attachment 2383603
[emoji779]️Putin Meets with UAE President Mohammed Bin Zayed Al-Nahyan in St Petersburg
The Russian leader stressed at the meeting that relations with the UAE remain extremely important, despite the complexity of relationships in the world.
"I know about your concern about the development of the situation and the crisis that is taking place," Putin said.
Wengine huwekwa hapa
View attachment 2383606
Hii sio vita ya ukraine ni NATO na RUSSIA‼️JUST IN‼️
‼️🇺🇸🇷🇺🇺🇦Russia's victory in the conflict in Ukraine will be a defeat for NATO, this cannot be allowed, Alliance Secretary General Stoltenberg said‼️
Kuna mzembe mmoja anashindwa kuhusianisha mashambulizi ya maroketi kwenye mikoa ya Ukraine na kinachoendelea huko frontline.Tumeanza kurudi kuleee kwa tulikokuwa
[emoji3544][emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️
[emoji635]The PMC Wagner captured #Ivangrad, south of #Bakhmut/#Artemovsk. The Ukrainian forces suffered losses and retreated towards #Klescheevka.
[#Bakhmut/#Artemovsk direction] https://t.co/57nMJjmIUs
Sana aise ngoja mtoto achezee kipondo kwanzaYaani Putin katwanga bwana ,hii game haitaji hasira kwa kweli
Sio kuwashuku wamehujumu daraja lazima wapate doziLengo la Putin ni kuweka miji yote ya Ukraine GIZA nene, ili watu wateseke na baridi... kosa lao kubwa ni kuwashuku kwamba wamehujumu daraja lake.
View attachment 2383690
Kwa taarifa yako hata f22 raptor ni ya miaka ya 90sHizo silaha anazotoa US [emoji1258] ni za miaka ya 90.., lakini zinamtoa kamasi urusi mpaka Sasa Ukraine imemuelemea..,kila siku vikosi vyake vinazidi kusukumwa nyuma..,Sasa Kuna haja gani us kuingia mzigoni kumchakaza??
Kaona asikuze tu mambo maana Ukraine kaonekana kumuweza sana urusi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app