Pro Russia wameamka sasa [emoji1787]
Ukifatilia huu mzozo utaona kabisa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla wanao support Russia ni wengi zaidi kuliko pro Ukraine.
Nimejaribu kufatilia Facebook na Twitter (angalia comments za watu kwenye post za BBC kuhusu huu mzozo utanielewa) hili liko wazi kabisa hata hapa Jamii forum sema tu kwa Tanzania kuna baadhi ya watu wanaweka kaudini, ukimshabikia Putin unaonekana mvaa kobazi [emoji1787] lakini ukweli kwa mzozo huu Waafrika wengi tupo upande wa Putin [emoji7]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
General Michael Flynn says Putin and his Security Council Dep #Medvedev are “bold leaders who have everything at stake in terms of protecting their country,” and Zelensky is a “foolish person, a dangerous fool.”
#NATORussiaWar #Kiev #ZelenskyWarCriminal
View attachment 2383141
Okay,na hii?Huyu alikuwa anafanyia kazi Warusi katika timu ya Trump kwa siri akanaswa na FBI na akatiwa hatiani na mahakama, alipewa msamaha wa Rais na Trump, ni wa kupuuzwa tu.
Machalii wadogo tu, a.k.a. masharobaro wa kirusi, wanamtoa kamasi Superpower wetu wa mchongo Marekani kwenye fani ya IT...wanajidukulia kokote watakako[emoji38][emoji1787][emoji56]
Aisee kumbe USA walikuwa overrated sana kuliko uhalisia! Bora hata ma IT wetu wa Bongo wanaweza kulinda websites zetu muhimu zisidukuliwe...
View attachment 2383151View attachment 2383152
Kuna wakati unasoma coment ya mdau wa hii thread inabidi ucheke tu!
Hivi bado kuna mtu anazani Ukraine+NATO wana uwezo wa kupigana vita na Russia?
Acheni kuadaika na propaganda za west.
Hii ni SMO tu na inaendeshwa kijamaa sana, unless Russia akiamua anaweza kupiga na kuikamata Ukraine yote ndani ya microseconds!! Hakuna cha USA wala NATO
Sasa kama Ukraine anafinyangwa kwa muda mchache hivi na ndo taifa lililokuwa na jeshi kubwa ulaya je nchi kama ufaransa si nusu siku imeisha
Wamarekani wenye damu au walipitia elimu ya Urusi elementary..au sio??Wamarekani ndio waanzilishi wa Internet na Google unayotafutia vi-propoganda vyako vya Urusi kuwaletea wavivu hapa.
Makampuni makubwa 10 ya IT duniani hakuna la Russia hata moja. Microsoft , Oracle, IBM, Cisco na mengine mengi ni ya US.
Wamarekani wenye damu au walipitia elimu ya Urusi elementary..au sio??Wamarekani ndio waanzilishi wa Internet na Google unayotafutia vi-propoganda vyako vya Urusi kuwaletea wavivu hapa.
Makampuni makubwa 10 ya IT duniani hakuna la Russia hata moja. Microsoft , Oracle, IBM, Cisco na mengine mengi ni ya US.
Jifunze basi kuielewa hii lugha ya wanaokula mayai kila siku kabla kuposti shombo la migebuka....
Katika mkutano wa UN mataifa 141 yaliunga mkono azimio la kulaani uvamizi wa Russia, 34 hawakupiga kura kabisa, 5 tu ndio waliunga mkono huo uvamiziSio waafrica tu mjomba...kwa ufupi dunia nzima wapo upate wa putin..ukiaaondoa EU tuu..the rest are pro putin
Acha uongo na kuwalisha wenzako matangopori.Vile vile kuhusu "Grain deal", wamepost hiki (chini hapo), someni pote ila kila mtakapo ona neno Afrika muweke kituo mfikirie mara mbili. "Their true color".
Bila kusahau walizipiga sanctions feltilizers kutoka Russia zika'kwama kwenye bandari zao. Putin alipo tangaza kuzigawa bure barani Afrika wakaona sijui tutafaidi sana wakaamua kuziondolea vikwazo wakaziingiza nchini mwao.
Then wakiwa na jambo lao la kupiga kura kwenye baraza la UN watakuja kutaka support yenu wakitaka muwe upande wao... TUJITEGEMEE hii inafanana na kile ulichokisema asubuhi!
[emoji116]
The "grain deal", promoted by the Ukrainian authorities as a solution to world hunger, is leaving the agenda. The term of the Istanbul agreements expires in November and the export of wheat under the contracts of Western lobbyists is almost completed.
The "grain deal" did not become a "cure" for world hunger - most of the Ukrainian wheat went to Europe, and not to African countries, for example. On the other hand, the Office of the President "raised" a lot of money on the export of wheat.
Thus, according to UN data, 65 out of 88 ships with Ukrainian grain went to Western countries, and 70% of the exported is fodder corn and other fodder.
But, according to insider information, Bankova launched an interesting scheme - large batches of expensive wheat from Ukrainian storage facilities go abroad under the guise of fodder grain, and functionaries of the President's Office earn on the colossal difference in price.
What will happen next is a big question, since Ukraine has sold out most of the future harvest, and there is virtually no wheat left in the state reserve.
Unahisi wanachokifanya Russia ni tofauti na Marekani kipindi cha libya, iraq na afganstan?
Russian mass missile attacks and civilian terror showcase the “style” of the newly appointed commander of the Russian invading forces in Ukraine, General Sergey Surovikin, Ukrainian military intelligence spokesperson Andriy Yusov said
Wataalam naomba mnieleweshe. Jana moja ya maeneo yaliyolambishwa mchanga ni ubalozi wa Ujerumani mjini Kyiv. Navojua ubalozi inakuwa ni ardhi ya nchi husika ndani ya nchi ubalozi ulipo so kama ubalozi wa Ujerumani umegongeshwa maana yake Ujerumani imegongeshwa jana. Je article 5 ya NATO hapa haiwezi kuingia kazini kumlinda Ujerumani?
Ahaa hivi kumbe lengo la Urusi ni kuiteka kiev? Naomba ushahidi nani alisema hivyo, samahani lakini mkuu. Natambua uwezo wako wa hali ya juu kwenye military analysis
Nb: go Zelensky go, slava Ukraine slava Ukraine
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hii sio vita ya ukraine ni NATO na RUSSIA
TANZANIA na KENYA ndio ziliripua hizo balozi !!!??Balozi za Marekani zilipolipuliwa na magaidi Tanzania na Kenya mwaka 1998 NATO waliingilia kati??