Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani Russia hawatumii internet, Google na Microsoft?? makampuni yote makubwa ya IT ya Marekani yalikuwa Russia, hadi KFC na Pepsi walikuwa wanauza sana vyuku na soda Russia kabla ya uvamizi, ni nadra kukuta makampuni ya Russia ya aina hiyo US[emoji16]
Russia wanajitosheleza zaidi kwenye ngano na mafuta, hata matunda kwa kiasi kikubwa walikuwa wananunua Ulaya[emoji16]
Makampuni makubwa kwa Mujibu wa nani?
Unadhani duniani kote wanaishi kama tunavyoishi Bongo?
Russia japo sio kisiwa ila kuna namna flani wanajitegemea
 
Mmarekani ni mmarekani tu, hata akiwa ametokea Namtumbo, Kajiado au Buza[emoji16]
Kuweza kuvutia talents na akili kubwa nchi mwako ni akili kubwa zaidi[emoji16]
Wajinga hawa hawajui what made And what still makes America great , the secret lies in diversity , watu kila pembe ya dunia wenye background na races tofauti wapo pale , ndio Maana hawa jamaa wakiambia kushindana na America that's means unashindana na ulimwengu na hautashinda kamwe . Kuna brains za kujerumani ,kijapan ,kichina ,warusi, kikorea ,kiingereza, kihiindi ,kiAfrica ziko pale na zinafanya mambo makubwa ya invention na technological development ambazo nyingi ndio zimeleta mageuzi ndani ya Karne hizi mbili .

Marekani ndio nchi pekee dunia hii ambayo inampa chance even mhamiaji kutumia talent yake ipasavyo kujinufaisha ,kuna sababu why intellectuals wote dunia hii wanatamani kuingia na kusetle ndani ya Ile nchi , kuinua maisha yake na kutimiza ndoto zake , intelligent brains na intellectual kama kina Nikola Tesla , akina Eisten NK wote walikuwa wahamiaji angalia new generation ya intelligent brains kama akina Elon Musk ,we unafikiri Yule Elon Musk angeendelea kuwa Afrika Kwa wajaa laana huku mpaka leo angekuwa levels alipo au angeweza kucontribute katika scientific innovation kama anachofanya sasa ?
Kuna watu kibao toka Nigeria na Ghana mule USA kwenye mashirika makubwa kama NASA NK na wanafanya vitu vikubwa mno , Afrika na nchi zake za kipuuz hazijui Hakuna valuable resource kama skilled human labour , watu wanarisk life kuzamia hizo nchi Kwa machungu na yaani nyingi wanakimbia hizi nchi za ovyo wanaenda Kule na wanapokelewa mwisho WA siku wakisucceed wapumbav wanaanza kuropoka "Marekani anaiba wataalamu " pumbav
Mlikuwa wapi kuwatumia ?
God bless America
 
Putin maji ya shingo, anataka kuomba poo...


 
Brain drain inasifiwa na washed brain. Shaabash

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Russia bado wanafel na hapo jamaa hawana strong air defense syestem nb vile vindege(drones) jana chali vyote vimekua chuma chakavu,yale makombora ya eskalenda,calibas,s300 yaliyorushwa saa 5 toka black sea na mpakani mwa belaruz yote chali.
11:13 pm
Zelensky: Russia launched 28 missiles, over 15 drones at Ukraine on Oct. 11.

Ukrainian Armed Forces intercepted 20 missiles and shot down almost all drones, President Volodymyr Zelensky said in an evening address.
10:32 pm
CNN
 
Libya dikteta Gaddafi aliondolewa na raia wake waliomchoka, Afghanistan Taliban walikataa kuwatoa Al-Qaeda ya Osama Bin Laden waliokiri kufanya mashambulizi ya September 11 nchini Marekani.

Kijana ushakua zombified na wstern propaganda kojoa ulale maana unafikiri wote wa kutulisha matangopori. [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Changamoto ninayoiona ni exposure hatuna maana unavyoiongea Russia as if Burundi, hivi unadhani ni kitu rahisi kuweza kuleta ukinzani katika dunia eti kisa unachakula na mafuta tu?
 
Mmarekani ni mmarekani tu, hata akiwa ametokea Namtumbo, Kajiado au Buza[emoji16]
Kuweza kuvutia talents na akili kubwa nchi mwako ni akili kubwa zaidi[emoji16]
Hakuna nchi isio na talent ila kunawabinafsi wachache wanazuia talent za wengine kitu ambacho sasa kinafika mwisho ndio maana unaona mapambano yamekuwa makali
 

Nafikiri Iron Dome ni kwa Hamas na kwa mbali Hezbollah, siyo kwa giant kama Russia. Unaweza kutumia Iron Dome, lakini Russia akizigundua anabadili vifaa
 
Hivi unajua madai ya Urusi yamebadilika? Na sasa hivi anakuja na masharti magumu kuliko Mwanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…