There are always a solution to every problem.Putin proposed transferring the lost volume of transit via Nord Streams to the Black Sea region by creating the largest gas hub in Turkey.
Subscribe to @Sputnik
Haya magaidi ni ya kuyapiga tuARREST VIDEOS: UKRAINIAN SBU AGENT CAUGHT WITH MANPADS IN MOSCOW; SECOND CAUGHT IN BRYANSK
WORLD HAL TURNER 12 OCTOBER 2022 HITS: 5357
The Russian Federal Security Bureau (FSB) has released arrest video of a Ukrainian Intelligence Bureau (SBU) Agent, in Moscow, with MANPAD, shoulder carried surface-to-air missiles! A second video, shows another arrest in Bryansk, of a man with rocket-propelled grenades, to carry out a terrorist attack upon a logistics facility in Russia.
In the first of two videos below, an actual Agent of Ukraine's SBU is caught driving a Volkswagon minivan, with two "Igla" MANPAD surface-to-air weapons. These are shoulder-fired weapons that can take down any aircraft at relatively low altitude, especially civilian air liners.
As you will see in the video, the weapons were hidden in a carefully constructed secret compartment, beneath the vehicle:
Since Moscow is not a gigantic military hub, it is initially thought this man was going to hit civilian airliners, to sew terror in the Russian civilian population:
SECOND ARREST: BRYANSK
In Bryansk, a second man was quickly taken down, and found to be in possession of some type of rocket-propelled explosive, allegedly to be used against a Russian Logistics center. Video of that arrest, and of the device to be used, is below:
Mwaka 1884 ni Karne ya kumi na Tisa (19) ambayo hiyo migasho wenzio walishafika Toka Karne ya 15.Ushoga.
Wazungu walipofika Africa waliukuta ushoga. Waafrika hamjafundishwa ushoga au kufirana na wazungu. Wazungu walipofika Buganda mwaka 1884 walimkuta Kabaka Mwanga II tayari ni shoga na sababu mojawapo kubwa ya kufanya mauaji yake kwa mashahidi wamisionari 45 wanaume wa Kikristo ni wao kuwa kinyume na ushoga wake.
Ndoa za mitaala.
Hakuna mzungu aliyewakataza Waafrika kuwa na mke zaidi ya mmoja, wewe ukitaka oa hata wanawakwe 20 uone kama kuna mzungu yoyote atakuja kukugusa au kukupigia kelele, huku ni kujilalamisha kitoto.
Watoto kupata mimba na kurudi shule.
Unalalamika watoto wanaopata mimba kurudi shule wakati nchi imewahi kuwa hadi na elimu ya ngumbaru ya kufundisha wazee wenye mvi darasani kusoma na kuandika ili kufuta ujinga. Mmeshindwa kuwajengea watoto wa maskini mabweni, mmeshindwa kuwapa mabasi yawapeleke shule mmewaacha katika mikono ya bodaboda na makondokta karne ya 21 bado mmeshindwa kupeleka maji ya bomba majumbani na kwa haya na mingine mengi mnasababisha wabakwe na kupewa mimba halafu mnataka kuwafukuza shulen! Hamna akili.
#Arudi shule kusoma
Kupangiwa bei za Mazao
Kama hutaki kupangiwa bei mazao na madini yako pangeni bei wenyewe au msiuze. Halafu Wakenya na Watanzania au Waganda na Rwanda wanaoutibuana, kukorifishana na kununiana mara kadhaa huko mipakani hadi hawataki kuuziana bidhaa zao nao ni wazungu??! Hamna akili
Huyu jamaa Ni akili kubwa Sana. Na hapa anawafumbua macho na akili wakuu wa nchi zingine kuhusu ushenzi wa hao "International Community".Putin: Suppose the West introduces a "price ceiling" for Russian oil.
But who can guarantee that the same ceiling will not be introduced in other areas later? Agricultural products, semiconductors, metallurgy. And not only in relation to Russia, but also to any other country in the world?
No one will give such a guarantee. This means that the West is destroying the world market.
Subscribe to @Sputnik
Huu moto unaotolewa kwa sasa ni lazima watu watafute machaka![emoji16][emoji23][emoji23][emoji298]️[emoji1255]The air alert was announced in Kiev and a number of regions of Ukraine, according to local publications.
Subscribe to @Sputnik
Hii maana yake Ni kwamba, huyo Zelensky amezidi kuomba omba mno.Tunawaambiaga Huyu Zelensky ni kichaa hamuelewi[emoji38][emoji38]
[emoji298]️[emoji631][emoji1255]US President Biden has warned Ukrainian President Zelensky that it will be difficult for him to continue asking Congress for money if he continues to be ungrateful. - Washington Post
Kama kweli wangekuwa na hicho kiwango Cha demokrasia kama unavyohubiri wangeruhusu Russia Today na Sputnik News kuonyesha na kutangaza habari zao Marekani kama nchi na ulimwenguni kote.Na hii Inadhihilisha kiwango kikubwa Cha democracy waliyonayo west.., maana fox news ni chombo rasmi Cha habari Cha west,
Lakini bado kina uhuru kutoa mahudhui yanayoegemea upande wa Russia na kwingineko,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumsaidia kuna limits.MKUU hawa US wanatafta namna yakujitoa hawana lolote
Kama wmeamua kumsaidia wamsaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nilisema serikali ya Russia ilidai itatumia siku tatu?Inawezekana hatukuyauliza sababu hatukuyaona
Ama hatukuyauliza sababu tunajua aloyatoa sio msemaji wa serikali ya PUT IN na hana cheo chochote kule
Mwisho leta ushahidi kutoka KREMLIN kwamtu rasmi alosema kama hii OP itachukua siku tatu
Yaani kama unataka kuanzia leo tuyaamini maneno ya pro RUSSIA kupitia jf pole sana MKUU
hayo maneno hata mie ningeweza kuyatamka ila hayaondoi uhalisa kama yanabakia kua maneno ya Bwana Utam ila sio ya RUSSIA
Acha Kukwepa kwepa MKUU tunaomba ushahidi MKUU achana na jf memba
Sent using Jamii Forums mobile app
There are always a solution to every problem.
Jana umeuliza kuhusu air defence system. Leo helicopters zenu nne zimeshushwa ndani ya dakika 18 za air raid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikutegemea kama T14 Armata sikumoja angeweza mtumia memba wa hapa jf kama vvd yake
PUT IN kamatia hapo hapooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Una utoto mwingi mno, UKRAINE hadi sasa yeye mwenyewe hana silaha, anaomba misaada ya silaha kila siku, na bado anakula kichapo. EU wamesema wazi wanaenda kuishiwa silaha kwenye stock zao ambapo wakiendelea watalazimika kutoa zile ambazo zinawalinda wao wenyewe.Leo milipuko inaendelea huko Kherson na Zaphorizhia ambako Urusi anasema ni ardhi yake.
Sasa ardhi yake inazidi kushambuliwa tuone nini atafanya zaidi ya kurusha rusha tukombora hovyo na kuua raia pasipo athari ya jeshi la Ukraine.
Basi tufunge thread maana hamna mwenye cheo Ukraine wala Russia humu.Kwahiyo mkuu huyo memba wa jf ambaye unamtumia kama ushahidi wako siku hizi ana cheo ndani ya serikali ya Urusi?
Tena ukilikuta halijafa unagonga nyundo ya kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya magaidi ni ya kuyapiga tu
Kama kweli wangekuwa na hicho kiwango Cha demokrasia kama unavyohubiri wangeruhusu Russia Today na Sputnik News kuonyesha na kutangaza habari zao Marekani kama nchi na ulimwenguni kote.
Ila kitendo Cha kuzifungia ni ishara tosha hawana hiyo demokrasia kama unavyotaka tuamini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]