Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Mbona unatetea sana ushoga? We raia wa wapi kwani? Au ushaolewa tyr au lazima una boyfriend wa kizunguUshoga.
Wazungu walipofika Africa waliukuta ushoga. Waafrika hamjafundishwa ushoga au kufirana na wazungu. Wazungu walipofika Buganda mwaka 1884 walimkuta Kabaka Mwanga II tayari ni shoga na sababu mojawapo kubwa ya kufanya mauaji yake kwa mashahidi wamisionari 45 wanaume wa Kikristo ni wao kuwa kinyume na ushoga wake.
Ndoa za mitaala.
Hakuna mzungu aliyewakataza Waafrika kuwa na mke zaidi ya mmoja, wewe ukitaka oa hata wanawakwe 20 uone kama kuna mzungu yoyote atakuja kukugusa au kukupigia kelele, huku ni kujilalamisha kitoto.
Watoto kupata mimba na kurudi shule.
Unalalamika watoto wanaopata mimba kurudi shule wakati nchi imewahi kuwa hadi na elimu ya ngumbaru ya kufundisha wazee wenye mvi darasani kusoma na kuandika ili kufuta ujinga. Mmeshindwa kuwajengea watoto wa maskini mabweni, mmeshindwa kuwapa mabasi yawapeleke shule mmewaacha katika mikono ya bodaboda na makondokta karne ya 21 bado mmeshindwa kupeleka maji ya bomba majumbani na kwa haya na mingine mengi mnasababisha wabakwe na kupewa mimba halafu mnataka kuwafukuza shulen! Hamna akili.
#Arudi shule kusoma
Kupangiwa bei za Mazao
Kama hutaki kupangiwa bei mazao na madini yako pangeni bei wenyewe au msiuze. Halafu Wakenya na Watanzania au Waganda na Rwanda wanaoutibuana, kukorifishana na kununiana mara kadhaa huko mipakani hadi hawataki kuuziana bidhaa zao nao ni wazungu??! Hamna akili
USA na UE wafanya watu mandondocha wenyewe hawaoni makosa yao.Mcheki hapo rais wa azerbaijan akiwachana BBC khs kukamatwa kwa Assange, nilicheka Sana.
Ni clip ya dakika 3 tu,kila mpinga NATO aicheki aone upuuzi wa hii inayoitwa Freedom of press.
https://www.facebook.com/
Wewe huku ulishawah kuona RT inareport kuwa Russia imesema itaishambulia Europe? Chanzo cha kufungiwa RT Ulaya ni Documentary zikizoonyesha jinsi Germany alivyokawacamia kipindi hiko USSR katika maeneo ya Poland alifanya unyama mkubwa sana.Russia Today na hayo ma Sputnik news yalikuwepo yakionyoshwa tele Ulaya na Marekani kabla ya uvamizi. Baada ya uvamizi yaliwekwa chini ya vikwazo kwa sababu yalikiwa yanaendesha vipindi vinavyomuhamisha Putin azidi kuishambulia Ukraine na ikiwezekana West kabisa.
Ficha upumbavu wako wewe dada,ukulazimishwa kujibu coment yangu,kama mumeo hakuridhishi kitandani usilete stress kwangu,acha upumbavu kama huna cha kupost jaribu kua kama mtu mzima basi
Ficha upumbavu wakoAnahisi asipopost chochote atashuka kwenye trending [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hilo ni tone kwenye bahari MKUUJana umeuliza kuhusu air defence system. Leo helicopters zenu nne zimeshushwa ndani ya dakika 18 za air raidView attachment 2384817
Sawa Mr Buguchakov. Katibu Msaidizi Mrakibu wa Mwandamizi wa kitengo wa habari cha dikteta putini.....Hivi unajua madai ya Urusi yamebadilika? Na sasa hivi anakuja na masharti magumu kuliko Mwanzo?
Wahuko wanamisimamo ya wastani sio UGAIDI kama wale wakule KIEVHata ndani ya Urusi, Ujerumani, UK na hata Marekani wanazi wapo, Ina maana huko hamna usalama ?
Kuna helicopter zinatumiwa kujua mifumo ya adui ipo wapi baada ya hapo mvua ya makombora kama zamani. Russia anafanya replacement huku vita inaendelea. Ogopa mtu yupo vitani lakini anauwezo wa kufanya mazoezi ya kijeshi na mataifa mengine na anatuma majeshi kusaidia pengine na ligi yao kama kawaida .
HeheeMoja ya watu wenye uchambuzi magumashi kwa siku za karibuni ni huyo mgambo aliesoma english kwa rasi simba
Warabu wakivamiwa na wazungu wakiuwawa ni sawa,laikini Putin akipiga wazungu wenzake sio fair.
Wakifa Waafrika na Waarabu ndio saw a.
Putin dondosha nuclear hapo UK tuishi kwa amani.
Ukraines Air Force confirms theres photo and video evidence of shooting down of 4 Ka-52 helicopters on Wednesday
Ukrainska Pravda
Wed, October 12, 2022, 6:40 PM·1 min read
UKRAINSKA PRAVDA — WEDNESDAY, 12 OCTOBER 2022, 18:40
There is photo and video evidence to confirm the shooting down of 4 Russian Ka-52 combat helicopters.
Sources: Yurii Ihnat, the spokesman of Air Force Command, on air of the national 24/7 newscast, on October 12
Quote: "18 minutes is the period, within which we managed to successfully catch Ruscist helicopters [that flew] above the southern front, as they were providing fire support. There were [actually] more targets. The confirmation [of the fact that they were downed] is currently underway. These four targets (4 Ka-52s – ed.) are confirmed to have been shot down. There is even video and photo evidence. And we are also waiting for confirmation [of the fact] that perhaps two more helicopters were hit. This is a great result. Ruscist equipment is expensive. These are the Ka-52s that cost many millions of dollars."
Multipoar loading.....Biden made it clear there will be dire consequences for the Saudis, and the OPEC+ decision was a mistake - White House
Hivi ni mie tu au vipi? Naona kama hii itazidi kuisukuma Saudia kwenye bloc ya Iran-China-Russia hasa tukizingatia siku za karibuni kumeanza kua na maelewano baina ya Iran na Saudia.
Na endapo UAE na Saudis wakienda mazima Upande wa Eastern Bloc kisha akawa afanya biashara nao kwa their national currencies itachochea zaidi kuporomoka ama kupoteza zaidi kufa kwa petro-dollar. Na atakaye benefit zaidi ni China kwa Yuan yake.
Dementia Joe anahisi bado tupo karne ya 20 kila kitu anakipeleka kwa ubabe na vitisho [emoji23]...
It's 21st century bwana, zile za chagua upande imepitwa na wakati. Sasa ni kumwaga mboga wamwage ugali hadi akili ziwakae sawa!
Yah hata vikiisha Leo hicho kitakaochogunduliwa kama mbadala wa mafuta na gas,kinahitaji rasilimali kukiwezesha na hizo rasilimali UE hana bado tu itabidi ajikombe kwa Russia mwenye rasilimali lukuki.