kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ficha upumbavu wakoMpumbavu ni wewe uliye pumbaa.
Nusu mboga wewe
Nusu Mboga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hongera mtaallam wakijeshiKwa wataalam wa mambo ya kijeshi tukiona hali hii,tunajua tu kuwa tayari kwenye uwanja wa vita mambo yameshakuwa magumu kwa upande wake.
Mrusi na US alotupia bomu la NYUKLIA nani anaroho mbayaYani mkuu Mambo mengine yafikirisha Sana, Sasa anapiga huko akilenga nini, mrusi ana roho mbaya sana
Kweli mwanangu wee ni kokolo tena zile zenye matobo matobo ambazo ata ukitegea samak,i samaki hawakamatiki kabisa sorry bro bt i hav to ignore you aisee wewe ni brainless kabisa yaani wewe ni empty set broo ninakuignore kama ifutavyo
Sikiliza huyo Col. Mstaafu wa jeshi la Marekani anasema toka mwaka 2014 USA na washirika wake walijiandaa kuivamia Russia, USA alipeleka silaha nyingi na mafunzo lukuki kwa wanajeshi wa Ukraine, Russia alikuwa anawachora tu. Sasa hivi Russia kabadili gear angani kwa kumweka kamanda katiri sana ambaye hana chembe ya huruma, anataka kumaliza mchezo. Hao wanajeshi wa kigeni toka Poland, ufaransa, UK na USA wanauwawa kila siku. Sasa hivi njia zote na kambi zote za jeshi la Ukraine ni mwendo wa kapeti bombing tu hakuna Cha msalia mtume. Njia zote za usafiri, majengo ya serikali vituo vya Police ni kulipuliwa tu. Wakimaliza hapo jeshi la ardhini linaenda kumaliza kazi na kisafisha, Col. Mstaafu anasema wanajeshi wa Ukraine watauwawa Sana kama hawatakimbia, wakati huo makombora ya masafa marefu yanakuwa yanazidi kuzoofisha silaha toka nje kuja mstari wa mbele upande wa Ukraine. Ndani ya mwezi huu vita itaisha na zelesiki atakimbia nchi au kuuwawa. Maana Makamu wa raisi wa Russia anasema wanataka kubadili raisi mwingine wa Ukraine.
1. According to Col. Mubobezi na deputy secretary of defense of USA, 80% of Ukraine air defense system is down
2. USA HIMASA equipment is not working enough due to it's complexity, Russia is destroying more.
3. 90% of Best Ukraine soldiers are already dead or eliminated
4. 100,000+ Ukraine soldiers arleady dead
5. 400,000+ wounded
6. Only poorly training and foreign fighter from Poland, USA, UK, France are in front line.
Sasa kilichobaki hapo ni nini kama siyo zelesiki kukimbia nchi.
From Khokhols
[emoji23][emoji23][emoji23]
Massive missile attack on Ukraine.
According to preliminary data, about 4-6 launches.
Already flew low through the Odessa region, already seen in Vinnitsa.
There is an assumption that they continue to "disconnect" Ukraine from the "breaker".
Air defense is once again silent and does not detect missiles.
We are waiting for high-profile reports from the Office of the President that dozens of missiles were shot down, somewhere in the sea and in the forests.
[emoji188][emoji188][emoji188]
Inaonekana wanajua taarifa zao kutoka viongozi wao zinapikwa sana!
Binafsi naona huyo dada wasimtese sana..,Bali wampe chakula kizuri pamoja na vipodozi vya kutosha, nimeangalia hiyo video kiukweli sura yake inalipa sana..,huyu anaweza kuwapa pumziko zuri wajeda wa Ukraine walioko front line.., Cha msingi wampime kwanza kama ana magonjwa ya zinaaMwanamke wa kwanza katika jeshi la Russia amekamatwa leo kumbe mobilization ilibeba mpaka akina mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiwe rofa wamenunua huko kwa mataifa yaliyo kuwa members wa USSR na leo wamekuwa na mkutano tena khazakistanMarch 14 2022 ....tuliambiwa missiles zinaisha kwa stores
View attachment 2385993
Lt. Gen Hodges: Russians are about ten days away from ‘culminating point’ of exhausting ammo, manpower
As Russian President Vladimir Putin unleashes terror across Ukraine, Lt. Gen. Ben Hodges told “The Faulkner Focus” Monday that he believes Putin's army is about “ten days away” from running out of resources.www.foxnews.com
Propaganda za kibeberu mpaka zinatia kinyaa....kauli moja ?!?! Yaani zote ziliunga mkono hoja?!?! Ninavyofahamu Mimi na wengine Wengi ni kuwa katika nchi 193 ni nchi 143 ziluzounga mkono hoja...nne zilipinga na nyingine 46 hazikutaka kujihusisha na upande wowote...kwa hiyo hakuna kauli moja hapo..Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Nowadays fox wamepunguza propaganda, na ni as if kama wako against Ukraine na democratic party kwa ujumla. Hii nayo shows how kile kinachokuja kwenye masikio ya wasikilizaji au wafatiliaji kua uhalisia ni mchache bali kwingi au mengi katika hayo ni ile 'image' wanayo taka kuipandikiza katika jamii.March 14 2022 ....tuliambiwa missiles zinaisha kwa stores
View attachment 2385993
Lt. Gen Hodges: Russians are about ten days away from ‘culminating point’ of exhausting ammo, manpower
As Russian President Vladimir Putin unleashes terror across Ukraine, Lt. Gen. Ben Hodges told “The Faulkner Focus” Monday that he believes Putin's army is about “ten days away” from running out of resources.www.foxnews.com
Na hii Inadhihilisha kwamba urusi Ina ukosefu mkubwa wa vitendea kazi mpaka askari wake wanaamua kutembea na kolola badala ya magari ya kijeshi..,Frontline ya mrusi inachekesha unapeleka Corolla vitani cheki walivyopasuliwa walikuwa wanakimbia wamechapika na corolla yao na wanatembelea spare tyre [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hautaki ukweli, ndiyo hali halisi, Putini anawasiliba mupate akili.Kweli mwanangu wee ni kokolo tena zile zenye matobo matobo ambazo ata ukitegea samak,i samaki hawakamatiki kabisa sorry bro bt i hav to ignore you aisee wewe ni brainless kabisa yaani wewe ni empty set broo ninakuignore kama ifutavyo
Asante ndugu kwa hiloUlisikia lini King of England kaziacha kama nchi huru?
Canada na Australia head of state ni King of England
Lakini pia tofautisha Kati ya maeneo ambayo waliyachagua kuweka Settlement Yao na kufanya Ethnic cleansing na maeneo waliyoyanyonya tu kama Afrika.
Hata Afrika huwezi linganisha South Africa, Zimbabwe na Kenya na maeneo mengine kwa sababu maeneo tajwa walikaa settlers wao kwa wingi hivyo kupelekea msaada wa kimaendeleo.
Ni punguani pekee ndio atashindwa kutofautisha ukoloni wa Afrika, sehemu za Asia na Kanada & Australia
Uyu inabidi apewe adhabu Kali Mpaka Mpaka atoe habari za mahandaki hambako Putin amejichimbia huko clemlin ,Huyu mjeda wenzake wamekimbia yeye majeruhi akaona ajisalimeshe na akapewa huduma ya kwanza hatuma kinyongo utajieleza ukipona
Hakuna ulinzi wa jumla duniani...Pentagon isinge pigwa 2011.Sasa hivi nchi nyingi za Ulaya zimeahidi kupeleka mifumo Yao ya ulinzi wa anga Ukraine.
Ujerumani imeshapeleka tayari, UK anapeleka mda sio mrefu, Ufaransa nae, Uholansi nae na baba Yao USA nae atapeleka.
Lengo sio kuilinda Ukraine bali ni kufanya majaribio Kama mifumo Yao inaweza kutoboa mbele ya makombora ya Urusi...
Tusiombe ifanikiwe mifumo ya USA ama UK, maana itapigwa promo kuliko kawaida.
Hawawezi pro west kwenda kusoma. Kuna mwingine nilimwambia aende akasome kitabu kinaitwa economic hitman mpaka leo sidhan kama alienda kisoma maana huwezi ukafananisha occupation na systematic slavery plus institutional slavery. Majority ya jamii za kiafrika wakoloni walidili sana na kuharibu daraja la watawala, wasomi, wataalamu, wafanyakazi na wagunduzi. Pia walihalibu sana mofumo ya kifamilia ya jamii za kiafrika pamoja na kuwatenga kabisa na historia zao kiufupi ilikuwa ni total annihilation of black civilizationNenda kasome kitabu kinaitwa Why Afrika is Marginalized in the Globalization world
Poa ,tusubiri muda uongeeBasi Ukraine na dada zake wamalize vita, wawarudishe urusi nyumbani kwao...
Na repeat grow up , stop this nonesense please"Jomba" naona ww ndio unajiabisha bila shaka umeamia kufukia kichwa chako kwenye mchanga na sijui upo nchi gani kwa kukusaidia tu haya mambo kwa sada yanapamba moto kwenye nchi za west. Well nenda kafatailia issue za gender identity at young age mpaka elementary schools watoto wanfundishwa kuwa familia sio tu baba na mama inaweza kuwa pia baba na baba na mtoto au mama na mama na mtoto