Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Hivi kwa nini nyie watu mnapenda sana ushoga, kila saa mnawaza ushoga tu, hamuwezi kabisa kujadili mambo mengine bila kutuletea habari za ushoga. Ndio mbinu zenu za kueneza hizi mambo zenu? Mshindwe, shoga wakubwa nyie.Yanini kuendelea kupigana iwapo silaha hana.Na anachopewa anakitangaza hadharani.Hizo ni fitna za kuyagombanisha mataifa ya dunia nzima.Mataifa ya Ulaya yamuangalie sana huyu muigizaji shoga.
Hivi wewe unaakili kweli?nchi gani inayoweza kuigusa Russia ambayo ndo nchi yenye mabovu makubwa na mabaya zaidi ya nuclear kuliko nchi yoyote?wenyewe wanasema wanaweza kutumia nuclear iwapo uwepo wa nchi Yao duniani utahatarishwa hakuna nchi yenye mabomu makubwa na ya kutisha ya nuclear kama Russia duniani ndo maana wenyewe (NATO)kila siku wanasema hawapo tayari kuingia moja Kwa moja kwenye mgogoro na Russia wakati Rusia kila siku anawaambia yeye yupo tayari kutumia nuclear.Hiyo nyukria hata sisi tunatamani sana aidondoshe Ili wajanja wapate nafasi ya kumchakaza mazima..,na mpaka kufikia hapo nafikiri hii vita itaisha faster tu..,hizi danadana zinazoendelea zinatuumiza hata huku namtumbo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NATO wameshampa led line kuhusu hiyo nyukria..,ndio maana hata sisi tunatamani aitumie hiyo nyukria..,Ili tuweze kuona kama kweli urusi anaweza kuvumilia mziki wa NATO hata kwa wiki Moja,Akiamua kutumia nuclear Vita vinaisha mapema kwa hiyo uwezo wa kumaliza Vita mapema anao sema madhara ya nuclear ni makubwa Sana kwa hiyo hawawezi kutumia.akiamua kutumia nuclear Ukraine hakuna anayeweza kumgusa Kwa sababu Wana mabomu hatari ya nuclear kuliko nchi yoyote.wakiamua kutumia Yale madogo Ukraine hakuna wa kumgusa.sema madhara yake ni makubwa Sana.uwezo wanao
Hii coment Kila pro Russia anaikwot.., kweli Leo nimeamini mti mwema ndo upigwa mawe siku zote [emoji16][emoji16]UN wanawasumbua nchi maskini tu lakini siyo nchi kama RUSSIA mikoa ndio ivyo imeshaenda na aitorudi kamwe mmeshasahau gueterez alivyokuja apo KIEV na watu wakapiga bomu karibu na Hotel aliyofikia
NATO hawana uwezo wa kumpangia Russia hata kabla ya kuingia Ukraine walimpa redline ilisaidia nini Sasa?NATO wameshampa led line kuhusu hiyo nyukria..,ndio maana hata sisi tunatamani aitumie hiyo nyukria..,Ili tuweze kuona kama kweli urusi anaweza kuvumilia mziki wa NATO hata kwa wiki Moja,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe hapo unayekaa namtumbo ndo unasema kwamba hakuna nchi ya kuigusa urusi iwapo iitatumia silaha za nyukria..,, lakini NATO wenyewe wameliweka hili wazi kwamba iwapo urusi atadhubutu kutumia siraha za nyukria hata za kimkamkati tu,basi jeshi lake littaangamizwa huko ukraine..,na hayo so maneno yangu,ni maneno ya viongozi wa NATOHivi wewe unaakili kweli?nchi gani inayoweza kuigusa Russia ambayo ndo nchi yenye mabovu makubwa na mabaya zaidi ya nuclear kuliko nchi yoyote?wenyewe wanasema wanaweza kutumia nuclear iwapo uwepo wa nchi Yao duniani utahatarishwa hakuna nchi yenye mabomu makubwa na ya kutisha ya nuclear kama Russia duniani ndo maana wenyewe (NATO)kila siku wanasema hawapo tayari kuingia moja Kwa moja kwenye mgogoro na Russia wakati Rusia kila siku anawaambia yeye yupo tayari kutumia nuclear.
NATO,..,Red line waliyompa urusi endapo ataivamia Ukraine ilikuwa ni vikwazo tu .,hakuna popote waliposema kwamba iwapo urusi ataivamia Ukraine basi atakabiliwa kijeshiHii coment Kila pro Russia anaikwot.., kweli Leo nimeamini mti mwema ndo upigwa mawe siku zote [emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Leo ndege Vita ya Ukraine imeingia kwenye 18 za RF Armed Forces na ikakutana na kitu chenye ncha kali..
The bomber took a hit by a missile. The crew decided to return to the airfield, but failed to do so and crashed on the territory of Poltava Oblast.
View attachment 2386113
Jesus Mulokos atupe za frontlineKuna wavaa diaper wanakwambia Ukraine anamiliki anga
Ndio Maana ninasema wewe hujielewi ,kujadiliana na wewe ni kupoteza muda ,hiyo miundombinu mnajenga Kwa pesa zenu ? , Miundombinu nyingi ni grants na mikopo mnayopewa toka Kwa hao hao mnaoandika trash humu kuhusu wao ? ,Ni wapi miradi ya barabara na maji ilizuiwa Afrika ?
Hivi unajielewa kweli wewe , serikali zenu zimeshindwa kujenga visima vya maji Tu ? Can you imagine ,nenda Singida na Dodoma pale uone watu wanavyoishi kama punda , na hivyo visima vichache vimejengwa na USAID na civil NGOs. Nyingine za western countries kama DaNiDA nk , we jamaa sijui unaandika upupu gani hapa .
Unaongelea wao kupinga bwawa la umeme ,umeshajiuliza ni sababu gani ilikuwa inawasababisha wapingane na ujenzi WA Hilo bwawa ?
Suala la EACOP muwekezaji mkubwa kwenye huo mradi ni Total sijui hata unaongea ujinga gani aisee , Total ni Kampuni ya kifaransa na wameexist Kwa miaka mingi kwenye hiyo sekta , kwao wanapata backlash toka Kwa green energy movements , NGOs na activists wanaopambana na suala la dunia kuachana na fossil fuels na kutumia nishati mbadala ,wanaweka presha Kwa serikali ya ufaransa kuwapa presha EACOP waachane na mradi Kwani global direction ni towards sustainable energy sources , na hii wanafanya hata huko kwao mfano coal fired thermal power plants na miradi ya ujenzi WA mabomba ya mafuta almost zote zimefungwa na hazifanyi kazi tena pale Europe , pia suala la oil wanaweka presha kufikia 2030 Europe itumie magari yanayotegemea nishati ya umeme , na kupiga total ban ya magari yanayotumia mafuta hii ni kupambana na green houses emmisions toka kwenye fossil fuels .
Sijui kama unajua lolote kuhusiana na Paris Agreement kuhusu new green deal na hii nchi kibao dunia nzima ziliridhia makubaliano ya kuondokana na Matumizi ya fossil fuels kama makaa ya mawe na mafuta , itaonekana ni unafiki na mfano mbaya Kwa France kuwa pale kama host na mwenyekiti WA Yale makubaliano ya Paris ya kutunza mazingira na kuachana na fossil fuels halafu wanaacha kampuni Lao liendelee na kufungua miradi ya uzalishaji WA fossil fuels wakati makubaliano na targets zilizowekwa pale Paris ni tofauti .
Suala la bwawa la umeme kila mtu anajua ilikuwa ni concerns za kimazingira katika Ile hifadhi ya Selous na ni kweli kwani kulikuwa hakujafanyika environment impact assessment study Kwa huo mradi , miradi ya ujenzi WA mabwawa huwezi kujenga kama wewe unavyoamua kwenda kijijinini kwenu kujenga squatter houses ,ni lazima assessment ya mradi na imapct za kimazingira zifanyike Kwanza ,kitu ambacho serikali ya Tz haikufanya na ukawa inafirce Tu mambo bila kufuata standards na requirements zinazotakiwa hiki kitu hata Brasil pia na nchi kibao hata za Europe kinatokea , Brasil wamezuiwa kufanya miradi ya kujenga mabwawa ndani ya Amazon mpaka wafuate procedures Kwa sababu kuna uharibifu mkubwa WA kimazingira unaweza fanyika mule hasa deforestation kitu ambacho hata Selous hapa kwetu kwenye ule mradi WA umeme kimetokea Sana ,hapo huwezi jua biodiversity ambavyo imeathirika na huo mradi , and wanapewa presha na UN environmental agencies na government nyingine Kwa sababu unapoharibu mazingira hauharibu kwako Tu unaleta impacts Kwa wengine pia .
Environmental activism haifanyiki dhidi ya nchi za KiAfrica Tu IPO Hadi US ,kulikuwa na mega project ya ujenzi WA bomba la mafuta toka Canada kuna kwenye refineries za Ohio na Texas ambalo kama lingekamilika lingekuwa ndio bomba la mafuta refu kuliko yote dunia hii ,lakini Green movement activists walipambana na kuipa presha serikali ya USA mpaka mradi ukazuiwa na sababu ilikuwa ni environmental concerns kama za leakage ya mafuta kwenye mito na mahala Hilo bomba linapopita mpaka kufika kule Texas , deforestation na loss ya biodiversity na lingine lilikuwa ni kuharibu ancestral burial lands za red Indians WA hapo US .
Project ya Keystone pipeline USA
Ingia mtandaoni usome uone kinachoendelea dunia hii , sio kujifungia na bullshit conspiracy theories zisizo na kichwa wala miguu .
Umechanganyikiwa mpaka unaji qoute mwenyewe [emoji304]NATO,..,Red line waliyompa urusi endapo ataivamia Ukraine ilikuwa ni vikwazo tu .,hakuna popote waliposema kwamba iwapo urusi ataivamia Ukraine basi atakabiliwa kijeshi
Au kama una ushaidi kwamba NATO walisema kwamba wataiadhibu urusi kijeshi iwapo ingevamia Ukraine basi uweke hapa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
UJUMBE umefika lakiniUmechanganyikiwa mpaka unaji qoute mwenyewe [emoji304]