Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
economic hitmanHawawezi pro west kwenda kusoma. Kuna mwingine nilimwambia aende akasome kitabu kinaitwa economic hitman mpaka leo sidhan kama alienda kisoma maana huwezi ukafananisha occupation na systematic slavery plus institutional slavery. Majority ya jamii za kiafrika wakoloni walidili sana na kuharibu daraja la watawala, wasomi, wataalamu, wafanyakazi na wagunduzi. Pia walihalibu sana mofumo ya kifamilia ya jamii za kiafrika pamoja na kuwatenga kabisa na historia zao kiufupi ilikuwa ni total annihilation of black civilization
Na hii ndio sababu tunakuwa na watu wanaowatetea wakoloni waliowanyonya na wanaoendelewa kuwanuonya
Kwa msaada zaidi kasome willie lynch letter itawasaidia kuelewa nani adui yenu
Nyuklia imepigwa eti ili kuona!!! Wakati huo utakuwa wapi?!?! Unajua maana ya Vita vya nyuklia wewe?!?..mabomu ya nyuklia yaliyopo Russia na hata USA Yana uwezo wa kuiangamiza dunia hii zaidi ya Mara Mia moja...kwa hiyo wewe unadhani utakuwa umekaa mahali fulani eti unaangalia...duh...pole Sana, Ndugu...NATO wameshampa led line kuhusu hiyo nyukria..,ndio maana hata sisi tunatamani aitumie hiyo nyukria..,Ili tuweze kuona kama kweli urusi anaweza kuvumilia mziki wa NATO hata kwa wiki Moja,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Anajua half life ya uranium?Nyuklia imepigwa eti ili kuona!!! Wakati huo utakuwa wapi?!?! Unajua maana ya Vita vya nyuklia wewe?!?..mabomu ya nyuklia yaliyopo Russia na hata USA Yana uwezo wa kuiangamiza dunia hii zaidi ya Mara Mia moja...kwa hiyo wewe unadhani utakuwa umekaa mahali fulani eti unaangalia...duh...pole Sana, Ndugu...
Putin ana rekebisha ukorofi wa USA. Ili kila mtu amuogope na amuheshimu mwenzie. Hizo kelele za USA ni aibu kuogopa Russia kushinda, ata kuwa ame aibishwa. Ata dharauliwa na Iraq, Iran, Afaghastan, Syria, nk.Huyu fashsti dikiteta ameifanya dunia isiwe mahali salama Tena[emoji848][emoji848]View attachment 2386257
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa nchi Kama Tanzania, watatokea wapingaji tu wa huo mtazamo, Kama enzi zileTukiweka ushabiki pembeni Russia anapigana vita katika katika.mazingira magumu.sana, huku kuna vikwazo na kuna nchi zinapenda kumuunga mkono lakini kuna nyundo ya wababe wa ulaya magharibi na USA zinaogopa. Siamini katika dunia hii kama.kuna nchi inaweza pigina vita katika mazingira haya. Pamoja na haya nilitegemea nchi nyonge hasa za kiafrika zitumie fursa hii kupindua meza na kujenga mazingira ya kujitegemea kisiasa na kiuchumi kupitia mgongo wa haya yanayoendelea katika siasa za kidunua kupitia mbeleko.ya Russia. Titaumia kwa kipindi.Fulani maana misaada itasitishwa ila mbeleni tutasimama kwa kujitegemea na kuheshimika
Pro nato wengi wanachukia maandishi ni wachache sana ndio huenda wasomaji wao asilimia kubwa ulimwengu wanauelewa kutokana na taarifa za hbr hasa bbc dw voa n.keconomic hitman
Ukisoma hiki kitabu utajua ushenzi wahawa majamaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
US kawa Pimbi tu Hana ushawishi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2386261
Saudi Arabia responded Thursday to a barrage of criticism from the United States over a decision by the Saudi-led oil-producing cartel and its allies to cut production, saying the decision was based solely on “economic considerations” while denying it was “politically motivated” against the United States.
The unusually detailed and often caustic statement, attributed to a Saudi Foreign Ministry official, was issued after the White House and members of Congress condemned the kingdom for a decision by OPEC Plus last week to cut its oil output by 2 million barrels a day, a move that…
Continue Reading
News Source: https://www.washingtonpost.com/world/2022/10/13/saudi-opec-oil-production-biden/
The last sentence though...[emoji848][emoji2955]North Korea Releases Latest Missile Test Results
North Korea has claimed another victory in proving its nuclear warfare capability, declaring two cruise missiles that it launched on Wednesday successfully reached their targets 2,000 kilometers away.
The two missiles flew over the Yellow Sea, between the Korean Peninsula and China, and were in the air for nearly three hours before they “clearly hit” their unidentified target, according to a report by Pyongyang’s state-run KCNA media outlet. North Korean leader Kim Jong-un oversaw the launches and expressed “great satisfaction” with the test results.
Just last week, North Korea conducted its longest-range missile test on record, firing a projectile over Japan on a 4,600km flight. The country’s Hwasong-17 ballistic missile reportedly has a range of at least 15,000km, bringing US targets within reach.
Subscribe to RT