Vita ipi ? Vita ya kukopa drones toka Iran ?Mimi nakuuliza kuhusu vita,ww unaleta habari za biashara,ww ni mweupe kichwani aise,nimekugundua,sina mda na ww tena
Sasa mbona kila muda anatishia kutumia nuclear as if yeye ndiyo anayo peke yake na ndiye kaiunda.Kwa threat IPI kutoka kwa Ukraine imfanye Russia atumie nuclear, hayo mambo ya nuclear mnaya promote nyie NATO.
Time !!
Baada ya miezi 3 utajua nina maana gani?
Rusia kashapotea...better Putin akubali yaishe mezani...I badala ya vitisho vya hovyo hovyo..I promise you.
Wengi humu hamjui namna Dunia yetu inavyoongozwa...ni ushabiki usio na maana
Putin will be fixed. Over.
Tusubiri.Ila ameshasema kwamba akiona nchi yake is on the verge of being destroyed atazitumia,ila tumuombe Mungu tusifike huko.Mkuu jiulize swali dogo tu,kama Marekarni ilitumia against Japan,tena bila kuwa kwenye tishio la kuwa destroyed,why not Russia,ni commonsense tu.War 3 haipo; mchina si wa kutegemea...Mkorea kaskazini na vikombora vyake 2 anavyotamba navyo...mturuki anabanwa na NATO sababu ni member...haya nchi gani nyingime tishio upande wa Urusi? SA ? Au India ?
Mrusi hawezi kujiingiza kwemye nuclear war...anayajua madhara yake.
Labda JF ife..nakwambia Putin kashaingia kwa 18 tayari.Ulichoandika ni hisia. No facts.
Anyway... if wishes were horses, bagger would ride ...
GDP ppp Spain ipo wapi hapa mwananguYeah, anaihitjai hapohapo anamtuma Rais wa Uturuki kutaka mazungumzo ya amani, anaishiwa silaha na kwenda kuokoteza NK na Iran, wanajeshi wake wanauawa, silaha zake zinatekwa, budget yake ya vita siku moja ni mabilioni wakati uchumi wake kwa sasa wa Spain ni mkubwa, anafanya mobilization vijana waende vitani badala yake wanakimbia nchi!
Hawezi...he knows consequences za kutumia nuclear!! Putin ni kama Mandonga wetu.. ngumi inayokata kona.Tusubiri.Ila ameshasema kwamba akiona nchi yake is on the verge of being destroyed atazitumia,ila tumuombe Mungu tusifike huko.Mkuu jiulize swali dogo tu,kama Marekarni ilitumia against Japan,tena bila kuwa kwenye tishio la kuwa destroyed,why not Russia,ni commonsense tu.
GDP nominal siioni SpainYeah, anaihitjai hapohapo anamtuma Rais wa Uturuki kutaka mazungumzo ya amani, anaishiwa silaha na kwenda kuokoteza NK na Iran, wanajeshi wake wanauawa, silaha zake zinatekwa, budget yake ya vita siku moja ni mabilioni wakati uchumi wake kwa sasa wa Spain ni mkubwa, anafanya mobilization vijana waende vitani badala yake wanakimbia nchi!
Urusi ina jeshi au panya road! Wanakimbia frontline kuliko wanariadha wa olympics.Kwa hiyo Nato ingekuwa haitumi silaha kwa Ukraine ingekuwa inapambana kwa kutumia mikuki sio?
Nato hii hii iliyo pigana miaka zaidi ya 20 na Talban wakashindwa kuiangamiza ndio watakuwa na uwezo wa kuliangamiza jeshi la Urusi?
Au Putin atakuwa amekaa chumbani huku akiangalia kwenye TV jeshi lake likiangamizwa huku yy akinywa kahawa na kucheka sio?
Wanakimbia front line wanaanza kurusha makombora wanaua watu wapo bar, restaurants Kyiv..still you cal it war..ujinga mkubwa...Urusi ina jeshi au panya road! Wanakimbia frontline kuliko wanariadha wa olympics.
Ulaya inaweza ku exist bila gasi na mafuta ya urusi kama ulikuwa hujui. Hapa ndipo mnapojidanganya.
Kifupi Putin ajiandae kupigana vita ndefu, vita hii si ya leo wala kesho.
Huyo mwamba unaemjibu,alikuja kama yule jamaa mwingine mjua Kila kitu kua Hana upande.Nini msingi wa swali lako achana na maana ya mgambo!!?? Kila nchi Ina MFUMO wake wa kijeshi ....
Hahaha Putin anazidi kugongelea msumari wa mwisho kwa EUHata Urussi alishasema ni muda wa kuwapa cheap energy mataifa mengine na sio EU anayeumia ni EU maana maandamano ni kila siku kwenye viunga vyao. EU inakwenda kufa na Asia uchumi wake unakua kwa kasi matajiri sahv wanawekeza huko EU itabaki history nadhani wanangu watasoma kwenye historia.
Finance minister wa UK karesign huko una habari?? Unajua kama EU wananunua nishat za Russia kwa siri?? Sahv wananunua kupitia azerbaijan na turkey na wanalipa bei kubwa. EU inakwenda kufa hawana mbadala wa Nishat yet na wao wamekiri hawaoni mbadala kwa kipindi cha miaka 5 ijayo.
Russia kaingia mkataba na pakistan na baadhi ya nchi za Asia atauza gas kupitia Iran. Kuna mataifa yanaimendea cheap gas ya Mrussi hasahasa China na India. EU kwasasa wananunua gas kwa cost ya 5x sasa nani anaumia hapa??.
View attachment 2387227
Warusi ni kenge tu, mikwara kibao lakini hawana lolote. Frontline wanajua watapata cha moto. Imagine special forces za Russia ndio zipo maeneo kama Kherson zikinyukwa na askari wa kawaida wa Ukrane.Wanakimbia front line wanaanza kurusha makombora wanaua watu wapo bar, restaurants Kyiv..still you cal it war..ujinga mkubwa...
Thanks kwa comment yako.
🙏🙏🙏🙏🙏Hawezi...he knows consequences za kutumia nuclear!! Putin ni kama Mandonga wetu.. ngumi inayokata kona.
Hasira zako binafsi haziizuii Urusi kusonga mbele. Tayari majimbo manne yameingizwa Russia. Wewe unaendelea kubweka bweka kama wenzako.Warusi ni kenge tu, mikwara kibao lakini hawana lolote. Frontline wanajua watapata cha moto. Imagine special forces za Russia ndio zipo maeneo kama Kherson zikinyukwa na askari wa kawaida wa Ukrane.
Hawa panya wengine ambao wanakuwa mobilized wakisikia hivyo, ndio wanaamua kukimbia nchi, ni bora kwao kujiokoa:
Si alisema yeyote atakayeingilia au kusaidia atakiona cha mtema kuni, check wababe:
Russia's army would be "annihilated" by the West's military response if Vladimir Putin uses nuclear weapons against Ukraine, EU foreign policy chief Josep Borrell has warned.
"Putin is saying he is not bluffing. Well, he cannot afford bluffing, and it has to be clear that the people supporting Ukraine and the European Union and the member states, and the United States and Nato are not bluffing either," Borrell said in Brussels.
"Any nuclear attack against Ukraine will create an answer, not a nuclear answer but such a powerful answer from the military side that the Russian army will be annihilated."
Kwenye hayo majimbo warusi wanapata kipigo, na maeneo yanakombolewa kwa spidi kali, umemsikia Putin akilalamika Ukraine inatumia silaha za NATO ?Hasira zako binafsi haziizuii Urusi kusonga mbele. Tayari majimbo manne yameingizwa Russia. Wewe unaendelea kubweka bweka kama wenzako.
View attachment 2387264