Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Nchi za Africa zinaogopa vikwazo direct ndomana tunahitaji balance of power. Tusipangiane cha kufanya kila taifa liwe huru.

Afu tunaomba utuambie sheria za kivita za kimataifa.
 

Saudia naye kaanza kumwona marekani ni takataka hana maana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona unamtofautisha putin na Russia hapo hebu jisome tena

Macron amewaonya NATO wasimtegee [emoji631]
Usisome au kusikia vipengele vichache Soma habari kamili dude

Habari zipo nyingi inategemea unasoma za wapi au kusikia za wapi
Wengine wanadaka za vijiweni na wengine wakiendelea na propaganda
 
Urusi ina jeshi au panya road! Wanakimbia frontline kuliko wanariadha wa olympics.
Umejaa makamasi kichwani badala ya ubongo kwa hiyo ni lazima utoe mawazo mgando na ya kipuuzi.

Nchi zaidi ya 30 zimejiunga kijeshi kwa ajili ya kupambana na hilo jeshi unalo liita panya road.
Hilo jeshi la Nato unalo liona lina nguvu lilishindwa vibaya sana na wanamgambo wa Talban ambao hawakuwa hata na viatu vya kuvaa.
 
IQ yako ni ndogo

Atarusha lini nuclear huyu kenge Putin, mbona anaongea tu, arushe.
Kaka makenge wengi kama jamaa yao Putin, hawajui lolote kwamba Purin has been fixed already.

Kura za juzi 143 against 35 hakuna vita kuu ya 3 hapo...arushe nuclear ili watu wambokoe hadi ajikojolee.

Afu unategemea ati mchina, muhindi na yule pink guy akusadie ha ha ha
 

Mtavaa sana Diaper uyo mwamba yupo mpaka kazi yake iishe. Embu tuambie Dunia inavyoongozwa ndugu yetu nasisi tupate elimu.
 
Useless.
 
Mbona Urusi fans ni low IQ kiasi hiki, arguments za kijinga, nawaacha kuwajibu. Hivi kwenye huu uzi hapakuwepo warusi weusi wanaoandika vitu vyenye mashiko hata kama ni uongo, lakini angalau ujengaji wa hoja ?
 
Umesema kweli mwamba.
Putin Kila hotuba yake haachi kutaja neno multipolar,
Na ni kweli Kuna wimbi kubwa sana la nchi zilizokua watiifu kwa Marekani Sasa zinaikaidi.
Inawezeka Kuna mipango nyuma ya pazia Urusi aliiandaa na kuwamezesha sumu wakuu wa nchi hizo juu ya ukoloni wa Marekani.hebu tazama wimbi la wakuu wa nchi za kiarabu Wanavyopishana kwenda kwa mzee mzima Putin.
Tazama Soud Arabia wanamvimbia USA,na USA anatishia kuondoka wanajeshi wake na mifumo ya ulinzi wa anga kwenye visima vya mafuta ya soud.Hivi hapa kweli kuondoka mifumo ya ulinzi si ndio kitu Urusi anaombea ili apeleke Yeye vifaa vyake?
Kama Kuna kitu Urusi wameonesha uwezo wao wa kucheza Chess basi ni kumvutia kwake Saudia.

Huwezi Amini hata wale ambao sikuwategemea kumfuata Urusi katika umoja wake ni pamoja na Pakistan.
Pakistan nae anatamani sana kujiunga na umoja ambae Russia ndio kaka mkubwa wao ama china
Wakati Pakistani miaka yote ni mfuasi wa Marekani.
Sasa watiifu wote wa Marekani wanaanza kumkwepa.
Tusubiri.
 

Foolish!! Umetumia kigezo gani kusema uchumi wa Spain mkubwa kuliko Russia??? Nasubir pumba zako hapa
 
Ukikimbia frontline wewe sio panya road ? Kwa sababu panya ndio huwa tunawaona wakikatiza upande mmoja wa barabara kwenda mwingine, ni analogy tu.
 
Labda JF ife..nakwambia Putin kashaingia kwa 18 tayari.

Na akitaka vita hii iishe wiki 3 arushe nuclear...

Na akitaka vita iwe 5 to 10 years yeye aendelee kutumie silaha za kawaida..

Option ya mwisho arudi mezani.

Ana Option 3 tu.

Vita haiwezi fika 3yrs kama itafika bhs Europe itakia ishakufa kiuchumi muda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…